Dully alaumu wasanii ambao hawakuja kumzika baba yake

Dully alaumu wasanii ambao hawakuja kumzika baba yake

Nakumbuka Diamond alienda hadi kwenye msiba Wa Bi Kidude
 
Mi mwenyewe nimeshangazwa na huu utoto wa Dully utafikiri alipanga siku ya msiba.
 
Hivi huu msiba ulipangwa utatokea lini? Mligawa kadi? mlikuwa mnafanya sensa? wanao lalamika wamehudhuria misiba yote?

Ni kweli msiba haupangwi wala msibani sio kwakuchunguzana,, na pia kama umebanwa na ishu zako sio lazma kwenda, ila kama unapata muda ni muhimu kuhudhuria maana binadamu tunategemeana, hapo nilichukulia kwamba labda alikuwa anajua ila akapotezea ndio maana nika comment vile,,
 
Bongo panachekesha sana utakuta mtu analia utafikiria haoni wanaokuja msibani kumbe bhana ana mark kila mmoja na siku ukikutana nae anakuuliza mbona kwenye msiba sikukuona unashangaa ina maana alivokua analia alikua anaona kumbe. Kiasi utapewa list ya wasiokuja na ukiangalia unakuta ni kweli sasa ile kulia huwa gelesha tu nini.
 
Diamond pia anaplan zake kama alituma mwakilishi jee?Watu kama nani tena yeye kila msiba yupo huu sijui alikuwa wapi hadi akaukosa ?Yap nimekumbuka alikuwa kuleee kwa yule dogo alipewa shavu kama la Mswati......:lol:

Wabongo hawishi maneno ndugu!

Chukulia angekuwa anahudhuria misiba yote ya Wasanii wangesema Anapenda misiba yote awepo!

Kama huamini muulize kikwete aliambiwa anajipendekeza kwenye misiba!
 
Cha ajabu ni wengi tuu wahakwenda lakini wakaona wamtoe Diamond kama mbuzi wa kafara kubebeshwa lawama zote, ila mfiwa ndio kasababisha yote haya, alitoka wapi kuhesabu walioenda na wasioenda?? team wema kuidaka wakamwagia petrol kwa diamond, hivi wema alienda???
 
Itabidi ajitahidi ahudhurie huu wa Mez B huko Dodoma.
 
Duuuh,,!! Ajirekebishe mambo kama hayo ya msiba ya msingi sana kuhudhulia maana leo kwako kesho kwangu,, au yeye yakimfika zari na wema ndio watakao mpa company labda
Kwani yeye amemtaja Diamond au amesema wasanii wenzake? Au kwako wewe tatizo ni Diamond tu lakini wengine hata wasipoenda, poa tu??
 
Wenye busara huwa wanalalamikia marafiki kutokuja kwenye harusi au sherehe na sio kwenye msiba au majonzi! It sounds good kusema, "vp wangu, mbona hukuja harusini kulikuwa na bia za kumwaga...!" sasa unapolalamikia msiba sijui unasemaje... au labda "mbona hukuja kumzika baba angu....!" ebo, si baba ako wewe... labda mwenzako amefurahia kifo cha baba ako, kwanini umlaumu kutokuja!!! Wenye busara wanaishia tu kujiuliza peke yao "mnh! yaani hata huyu...!"
 
Hbr wakuu hivi haya malalamiko ya mr misifa juu ya baadhi ya wasanii kutohudhuria mazishi ya baba yake na kudai kuwa hawamjali na kusisitiza kuwa wengine wanajifanya kumuita brother lakini hawakutokea na kudai kuwa sasa ashajua nani mkweli kwake na nani sio mkweli Je malalamiko yake yana msingi

Source; Amplifaya ya clouds

==========
==========

sitoshangaa kuona nyota ya dully ina anza kung'ara tena....team kafara.
 
ifike mahali wabongo tujifunze, yani watu wasipokuja kwenye mazishi ya baba yako basi unaita media unalalamika, sasa unalazimisha klila mtu ahudhurie mazishi ya baba yako? wengi wana shughuli zimewabana kama wameshindwa kufika siku ya maziko basi watakuja kukupa pole siku wakipata nafasi
​Sa si ndiyo hapo!!!!
 
Bongo panachekesha sana utakuta mtu analia utafikiria haoni wanaokuja msibani kumbe bhana ana mark kila mmoja na siku ukikutana nae anakuuliza mbona kwenye msiba sikukuona unashangaa ina maana alivokua analia alikua anaona kumbe. Kiasi utapewa list ya wasiokuja na ukiangalia unakuta ni kweli sasa ile kulia huwa gelesha tu nini.
Daaa nimecheka sana hapa kwenye red.
 
Wenye busara huwa wanalalamikia marafiki kutokuja kwenye harusi au sherehe na sio kwenye msiba au majonzi! It sounds good kusema, "vp wangu, mbona hukuja harusini kulikuwa na bia za kumwaga...!" sasa unapolalamikia msiba sijui unasemaje... au labda "mbona hukuja kumzika baba angu....!" ebo, si baba ako wewe... labda mwenzako amefurahia kifo cha baba ako, kwanini umlaumu kutokuja!!! Wenye busara wanaishia tu kujiuliza peke yao "mnh! yaani hata huyu...!"

Alicho nisikitisha zaidi ni kuanza kuwaponda wenzie eti hawakuja kwakuwa walifikiri atawaomba hela! Kwakweli hii kauli imenikera sana....hakika.
 
Wabongo hawishi maneno ndugu!

Chukulia angekuwa anahudhuria misiba yote ya Wasanii wangesema Anapenda misiba yote awepo!

Kama huamini muulize kikwete aliambiwa anajipendekeza kwenye misiba!

Ina shangaza sana umenikumbusha walivyo kuwa wana msema Jk eti anapenda misiba maana kila msiba yupo...hakika kama atahudhuria misiba mingi lazima aambie ana tafuta sifa na kujishow "watanzania wengi ni wachawi sema hawajijui"
 
Back
Top Bottom