Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Teh Teh kuna mmoja alisema wengi ni wachawi!
Kaka jambazii alisema au jambazi mwenyewww
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh Teh kuna mmoja alisema wengi ni wachawi!
Kaka jambazii alisema au jambazi mwenyewww
Hivi huu msiba ulipangwa utatokea lini? Mligawa kadi? mlikuwa mnafanya sensa? wanao lalamika wamehudhuria misiba yote?
Diamond pia anaplan zake kama alituma mwakilishi jee?Watu kama nani tena yeye kila msiba yupo huu sijui alikuwa wapi hadi akaukosa ?Yap nimekumbuka alikuwa kuleee kwa yule dogo alipewa shavu kama la Mswati......:lol:
Tatizo Dully elimu ndogo!
Itabidi ajitahidi ahudhurie huu wa Mez B huko Dodoma.
Kwani yeye amemtaja Diamond au amesema wasanii wenzake? Au kwako wewe tatizo ni Diamond tu lakini wengine hata wasipoenda, poa tu??Duuuh,,!! Ajirekebishe mambo kama hayo ya msiba ya msingi sana kuhudhulia maana leo kwako kesho kwangu,, au yeye yakimfika zari na wema ndio watakao mpa company labda
Hbr wakuu hivi haya malalamiko ya mr misifa juu ya baadhi ya wasanii kutohudhuria mazishi ya baba yake na kudai kuwa hawamjali na kusisitiza kuwa wengine wanajifanya kumuita brother lakini hawakutokea na kudai kuwa sasa ashajua nani mkweli kwake na nani sio mkweli Je malalamiko yake yana msingi
Source; Amplifaya ya clouds
==========
==========
​Sa si ndiyo hapo!!!!ifike mahali wabongo tujifunze, yani watu wasipokuja kwenye mazishi ya baba yako basi unaita media unalalamika, sasa unalazimisha klila mtu ahudhurie mazishi ya baba yako? wengi wana shughuli zimewabana kama wameshindwa kufika siku ya maziko basi watakuja kukupa pole siku wakipata nafasi
Daaa nimecheka sana hapa kwenye red.Bongo panachekesha sana utakuta mtu analia utafikiria haoni wanaokuja msibani kumbe bhana ana mark kila mmoja na siku ukikutana nae anakuuliza mbona kwenye msiba sikukuona unashangaa ina maana alivokua analia alikua anaona kumbe. Kiasi utapewa list ya wasiokuja na ukiangalia unakuta ni kweli sasa ile kulia huwa gelesha tu nini.
Wenye busara huwa wanalalamikia marafiki kutokuja kwenye harusi au sherehe na sio kwenye msiba au majonzi! It sounds good kusema, "vp wangu, mbona hukuja harusini kulikuwa na bia za kumwaga...!" sasa unapolalamikia msiba sijui unasemaje... au labda "mbona hukuja kumzika baba angu....!" ebo, si baba ako wewe... labda mwenzako amefurahia kifo cha baba ako, kwanini umlaumu kutokuja!!! Wenye busara wanaishia tu kujiuliza peke yao "mnh! yaani hata huyu...!"
Wabongo hawishi maneno ndugu!
Chukulia angekuwa anahudhuria misiba yote ya Wasanii wangesema Anapenda misiba yote awepo!
Kama huamini muulize kikwete aliambiwa anajipendekeza kwenye misiba!
Sio elimu ndogo hana elimu kabisa sababu form two haiwezi kua elimu ndogo!