Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kwani ni lazima kwenda kwenye misiba ya watu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu dully mbona akipindi kile alivyoliwa kiboga hakutoa lawama kwa waliofanikisha zoezi lile kama anavyotoa lawama leo kwa wasiohudhuria mazishi ya mshua wake....
Huyu jamaa mjinga sana ndio maana hadi sasa ana nyoa kiduku!
Waombolezaji waliitwa majina nini...jana na leo...!
Dully anachefua ati! Nimesikia muda si mrefu kwenye kipindi gani sijui clouds Fm, eti anasema inamuuma ukizingatia huwa anampenda sana diamond! Chinekeeeeeeee! ! Cc. Dinazarde Kim nana Ruttashobolwa
Hakika Dully nime amini ana lake jambo kabisa na kuna kitu ana kitafuta bila shaka...hakika amezidi kunikera! Akawadanganye wajinga ..uwezi kusema mtu unampenda huku ukijaribu kumharibia tena kwenye media! Huu ni unafiki na uchawi tunao usema kila leo..hivi Diamond amewafanya nini watanzania?
Kesho utawasikia hawa Wanga wakisema ohh diamond anapenda kuzungumziwa! ! what a joke! Coverage tumpe wenyewe bado tumnange! People try harder kutembelea nyota ya diamond!
Shigongo kapata habari!Aisee hii nchi ngumu sana kuishi..
Yeye anahudhuriaga ya wenzake? kipindi kile Ngwea amedanja anaagwa Dar aliripotiwa yuko Morogoro anajirusha na malaya
Dully anachefua ati! Nimesikia muda si mrefu kwenye kipindi gani sijui clouds Fm, eti anasema inamuuma ukizingatia huwa anampenda sana diamond! Chinekeeeeeeee! ! Cc. Dinazarde Kim nana Ruttashobolwa
Hana lolote anatafuta kick tuu....anataka Kutoka kwa kutumia jina la Dai, tushamsahau yanii....tatizo nyotaa
Teh Teh mi nilikuwa nasubiri ushahidi daa nilivunja mbavu kishenzi