Dully alaumu wasanii ambao hawakuja kumzika baba yake

Dully alaumu wasanii ambao hawakuja kumzika baba yake

huyu dully mbona akipindi kile alivyoliwa kiboga hakutoa lawama kwa waliofanikisha zoezi lile kama anavyotoa lawama leo kwa wasiohudhuria mazishi ya mshua wake....
 
Yeye anahudhuriaga ya wenzake? kipindi kile Ngwea amedanja anaagwa Dar aliripotiwa yuko Morogoro anajirusha na malaya
 
huyu dully mbona akipindi kile alivyoliwa kiboga hakutoa lawama kwa waliofanikisha zoezi lile kama anavyotoa lawama leo kwa wasiohudhuria mazishi ya mshua wake....

Mh kaka umefika mbali sana!
 
Dully anachefua ati! Nimesikia muda si mrefu kwenye kipindi gani sijui clouds Fm, eti anasema inamuuma ukizingatia huwa anampenda sana diamond! Chinekeeeeeeee! ! Cc. Dinazarde Kim nana Ruttashobolwa

Hakika Dully nime amini ana lake jambo kabisa na kuna kitu ana kitafuta bila shaka...hakika amezidi kunikera! Akawadanganye wajinga ..uwezi kusema mtu unampenda huku ukijaribu kumharibia tena kwenye media! Huu ni unafiki na uchawi tunao usema kila leo..hivi Diamond amewafanya nini watanzania?
 
Last edited by a moderator:

Kesho utawasikia hawa Wanga wakisema ohh diamond anapenda kuzungumziwa! ! what a joke! Coverage tumpe wenyewe bado tumnange! People try harder kutembelea nyota ya diamond!
 
Kesho utawasikia hawa Wanga wakisema ohh diamond anapenda kuzungumziwa! ! what a joke! Coverage tumpe wenyewe bado tumnange! People try harder kutembelea nyota ya diamond!

Shigongo kapata habari!Aisee hii nchi ngumu sana kuishi..
 
dully ni bogas....msiba haupangwi ila ratiba hupangwa kwan peke yake ndo hakuja kwenye harusi ya dadaake mwenyewe hakuwepo @ esthmaplatnumz ...sio ishu kwan ni shoo hyo kwamba angekuja angeongeza mashabiki na mtonyo

madawa yanamsumbua dats y still kanyoa kiduku mpka msibani ## pumbafu
 
baada aomboleze anapiga sensa###kichaa huyo## angekuwa mwanza tungemlaza bugando C1: na vichaa wenzie
 
Dully ni Mzaramo jamani, msipoteze nguvu bure....wangekuja wasanii wote angesema "wamekuja lakini kapu la sadaka lipo empty"...kapu lingejaa angehoji "kwa nini hawakuchanga tangu wakati anauguza"....wangemsupport kuuguza bado angewananga "mbona hamjaandaa wimbo wa msiba"

Kwa kuwa dawa ya moto ni moto atafutwe Julio na Mbwiga wakampooze.
 
Yeye anahudhuriaga ya wenzake? kipindi kile Ngwea amedanja anaagwa Dar aliripotiwa yuko Morogoro anajirusha na malaya

Na wakati msiba wa Sharo alisema hakwenda coz ameogopa angeenda msibani angezimia....

Sasa akidanja yeye na mahudhurio yasiridhishe nadhani huko akhera itawabidi wamuINJECT valium kila baada ya saa kadhaa alale, coz kila akizinduka itakuwa ni complain.
 
Dully anachefua ati! Nimesikia muda si mrefu kwenye kipindi gani sijui clouds Fm, eti anasema inamuuma ukizingatia huwa anampenda sana diamond! Chinekeeeeeeee! ! Cc. Dinazarde Kim nana Ruttashobolwa

Hana lolote anatafuta kick tuu....anataka Kutoka kwa kutumia jina la Dai, tushamsahau yanii....tatizo nyotaa
 
Last edited by a moderator:
Hana lolote anatafuta kick tuu....anataka Kutoka kwa kutumia jina la Dai, tushamsahau yanii....tatizo nyotaa

Huyu kafiwa juzi tuu lakini sasa hivi ana zunguka kila media kusema Diamond hakwenda msibani! Huyu mzima kweli?
 
naomba kuuliza,kwani kwenye huo msiba Dai peke yake ndio hajaenda...!? na kama angeenda angemfufua au kabuli lake lingekuwa angani...!?:thumbdown:
 
Mi
Teh Teh mi nilikuwa nasubiri ushahidi daa nilivunja mbavu kishenzi

Advocate Ruttashobolwa, tunaomba link sijauona
Mibongo mingi ni michawi kwelikweli!! Na tunaishi nao huku mitaani . Hayo yaliyomkut kikwete ni mf halisi. Pole jk
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom