Dully Sykes: Haiwezekani kuwapatanisha Diamond na Ali Kiba kwa sasa, wote wamelewa sifa

Dully Sykes: Haiwezekani kuwapatanisha Diamond na Ali Kiba kwa sasa, wote wamelewa sifa

liendelee bana,tena lipambe moto.GK alishasema anaweza kutengeneza hela nyingi sana kwa hilo bifu kwa kuliongeza upana.
likiisha ladha itayeyuka.kwa mfano hadija kopa huyu sio yule wa nasma hamisi kidogo.wacha liendelee na timu mkiweza kaazimeni kuni mbichi kwa mpoto na dito mzichochee.
natamani hata na huu ushindani ungezaliwa tena tupate mziki mzuri
Dogo janja vs aslay
young killer msodoki vs Dogo janja city of David
tmk wanaume vs east coast team
tmk wanaume vs tiptop connection
afande sele vs oten
chidbenzi(madawa) vs kalapina(mpinga madawa)
fid q vs Rado
nk
[emoji23] [emoji23] [emoji23] et chidbenz (madawa) shauri yako Mungu anakuona ujue
 
Akili ndogo nani aliyeanza kutoka kimuziki? Kwanza unalijua ilo? Inaelekea mziki umeanza kuujua Jana ngoja nikukumbushe nyimbo za alikiba kabla mondi hajatoka alafu ulinganishe na ulichokiandika,kuna nyimbo kama,mpenz yanalaani dunia,duu shelele,maki muga,sinderela,njiwa, zipo nyingi sana izo ni baathi tu kilichomkost uyuu kiba kuna kipindi alikaa kimya bila kufanya mziki anarudi anakuta mambo yamebadilika na mond kashafika mbali sana
Mmmmh we jamaa. Alikiba kwani yeye ndo wa kwanza kutoka kabla ya mondi. Na kina sugu wasemeje. Zama zipo lakini sio ndio hoja ya kua wewe ni the best kuliko wengine.

Daz nundaz unawajua? Je ulijua kama ferouz angesahaulika? Kiba asijikweze kisa katoka kabla ya mondi wapo wengi waliotoka kabla yake. Zama zake zime expire ndo analilia bifu tuendelee kumkumbuka [emoji58]
 
Mtu anatoa hit songs toka Mwaka 2006 atalewaje sifa?!

Ipo wazi hapo alielewa sifa ni Dimond wa Madale Kwanza hana adabu kwa shemeji yake.
 
Binafsi ningekuwa jk ninge wapatanisha watu hawa.Tatizo sisi waafrika hatujui tunachokifanya levo yetu kimuziki duniani ipo chini tungekuwa na umoja tungeweza kuitangaza nchi yetu vyema,mpira wa miguu tumefeli,riaza tumefeli,michezo yote hovyo kwanini tusitumie mwanya huu tulioupata kusonga mbele kimataifa tukawa na wasanii wengi izi bifu niujinga pia shule ndogo kichwani nalotatizo

Riadha sio riaza maana tofauti
 
Sishangai kuona ugomvi huo hauna mwamuzi!! Kilichopo hapo kati yao ni bifu la kimaslahi na kuwagawa mashabiki wanaowasapoti ktk kazi zao. Unakumbuka bifu la Nasma na khadija kopa?
 
Mmmmh we jamaa. Alikiba kwani yeye ndo wa kwanza kutoka kabla ya mondi. Na kina sugu wasemeje. Zama zipo lakini sio ndio hoja ya kua wewe ni the best kuliko wengine.

Daz nundaz unawajua? Je ulijua kama ferouz angesahaulika? Kiba asijikweze kisa katoka kabla ya mondi wapo wengi waliotoka kabla yake. Zama zake zime expire ndo analilia bifu tuendelee kumkumbuka [emoji58]
Mbona unatoka nje ya mada?!

Habari inawahusu Ali na Dimond mambo ya Kina Sugu umeyatoa wapi tena?!
 
mi siona kichwa wala miguu ya ili bifu zaidi ni huyo Kiba kulia lia kila siku kwenye media
Nani analia lia?!

ukumuona Baba ako Dimond alipotoa povu XXL?!
Anagombana na Ommy Dimpoz anamuingiza mpaka Ali.

Vipi uliwahi kusikia Ali akimjibu?!
 
Kuna kitu kimoja ambacho bado watu hawajajua.
Bifu iliyopo kati ya hawa jamaa wawili ni kwa ajili ya maslai yao binafsi na si vinginevyo, na huu ndiyo mpango wao. Wakati ambao sisi tunafikiri kuhusu tofauti zao, na wakati ambao sisi tunahoji na hata kutaka wapatane, wenzetu wao behind the scenes wanawasiliana vizuri, wao na familia zao na wanapiga mihela kibao kutokana na nadharia hewa ambayo wameitengeneza wao wenyewe katika vichwa vya mashahabiki wao na kwenye vyombo vya habari.

Swali la kujiuliza: Ni nini hasa kilifanya hawa jamaa waingie katika mgogoro huu ambao umedumu kwa mda mrefu?
Kwanini hawataki kukutanishwa kwa ajili mapatano, licha ya ushauri/jitihada ambazo zimefanyika kutoka kwa watu mbalimbali na hata mashahabiki wao?

Ebu sikilizeni wimbo (Sumu wa Fid Q) kisha fanyeni tafakuri ya hiki tunachokijadili na uhalisia wenyewe.
 
Akose kisa nini?
Alikiba hana ubunifu wakupata show zaidi ya kutegemea bifu lake na Diamond.
Alikiba hana ubunifu wa kupata mashabiki hana zaidi ya kutegemea bifu na Diamond.

Alikiba atapoteza show na mashabiki wengi siku atakapo tangaza kupatana na Diamond.
 
yani kiba akubali kupatanishwa na mondi!! atakula wapi?! kiba hawezi kukubali hiko kitu, mondi ndo anamuweka jamaa mjini, kama si mondi tungekuwa tumeshamsahau jamaaa!
We kijana mtanashati, umeongea point kubwa sana. kiba alishachemka muda mrefu. Ugomvi ndo unafanya aendelee kutajwa... wapenzi wake sasa hivi wanamsapoti sana DARASA kisa ni uadui kati ya hao wawili...
 
Mmmmh we jamaa. Alikiba kwani yeye ndo wa kwanza kutoka kabla ya mondi. Na kina sugu wasemeje. Zama zipo lakini sio ndio hoja ya kua wewe ni the best kuliko wengine.

Daz nundaz unawajua? Je ulijua kama ferouz angesahaulika? Kiba asijikweze kisa katoka kabla ya mondi wapo wengi waliotoka kabla yake. Zama zake zime expire ndo analilia bifu tuendelee kumkumbuka [emoji58]
Wa kwanza kutoka ndo nini? Anaweza kumeinteini pozisheni? Kiba alichemkia pale alipotoka kuimba na R Kely, angenyoosha. Ukizingatia alikuwa na AIRTEL. Mr Nice hakutoka? LEO YUPO WAPI? Hao Daz dundaz si umeona? wapo wapi? wameweza kumeinteini?? Kuna mwana bongo fleva yeyote aloyewahi kufikia alipo Mondi leo?? Acheni mambo yenu... K ni K tu
 
Kwani wana ugomvi???? Ni kwamba kuna mmoja kati yao anavimba kutokana na jeuri na uwepo mashabiki tu , ila angesha acha mziki mda mrefu.
 
Hana ubunifu wa kupata mashabiki? mbinu kubwa ya kupata mashabiki ni kutoa nyimbo bora kaka hizo nyingine mbwembwe wangapi walifanya hiyo ya kutafuta bifu kwa Diamond wakapotea mazima....
Ukiona unabeef na Diamond na unasurvive basi wewe pia bora kwani Diamond ni mwanamuziki bora pia...
Nakumbuka tulikuwa na team ya kumshabikia Ally tangu 2010 kuanzia form one hadi form six shuleni kwetu kipindi hicho tukimshabikia Diamond bila hiyana hadi leo hii tunamshabikia Alikiba na Diamond...

Hizo kauli za kusema Kiba anabebwa na Mond ni maneno tuu ya watabiri uchwara walinganishao na ilivyokuwa kwa Ray na Kanumba wakati hakuna ufanano wa harakati za Ray na Kanumba na Harakati za Ally na Naseeb...
Hilo bifu linawanufaisha wote tena kwa kiwango kidogo huku ubora wa kazi zao ukiwabeba...

Yuko wapi Q chief aliyelalama kaibiwa nyota?
Yuko wapi Omary Nyembo aliyetabiriwa kumpiku Naseeb yuko wapi Sam wa Ukweli?
Bob Juniour yuko wapi?...
Tuachane na tabiri uchwara, Naseeb anakula alichokipanda na Ally pia hivyo hivyo..

Alikiba hana ubunifu wakupata show zaidi ya kutegemea bifu lake na Diamond.
Alikiba hana ubunifu wa kupata mashabiki hana zaidi ya kutegemea bifu na Diamond.

Alikiba atapoteza show na mashabiki wengi siku atakapo tangaza kupatana na Diamond.
 
Kwani wana ugomvi???? Ni kwamba kuna mmoja kati yao anavimba kutokana na jeuri na uwepo mashabiki tu , ila angesha acha mziki mda mrefu.
Mkuu sema tu anayevimba kwa sababu ya mashabiki ni K
 
Wa kwanza kutoka ndo nini? Anaweza kumeinteini pozisheni? Kiba alichemkia pale alipotoka kuimba na R Kely, angenyoosha. Ukizingatia alikuwa na AIRTEL. Mr Nice hakutoka? LEO YUPO WAPI? Hao Daz dundaz si umeona? wapo wapi? wameweza kumeinteini?? Kuna mwana bongo fleva yeyote aloyewahi kufikia alipo Mondi leo?? Acheni mambo yenu... K ni K tu

Kuimba na R Kelly kisha kupotea isiwe kigezo cha kujiaminisha uongo.
Kwa taarifa yako tuu katika wale wanamuziki walioshiriki ile project hakuna ambaye hakuwa na wazo walau la kufanya wimbo mmoja na R Kelly lakini hakuna aliyefanikiwa kwanza ni ratiba ya mwanamuziki pili na kikubwa ilikuwa pesa..
Hata hivyo hiyo kollabo isingekuwa na nguvu labda ingekuwa kwa 2face na R Kelly kwani alikuwa amefanikiwa kuiteka Afrika hivyo ngoma yake ingemfungulia milango nje ya Afrika lakini mtu kama Ally ndo kwanza alikuwa anahangaika kujihakikishia utawala Afrika Mashariki.
Kusini hawajamwelewa, Magharibi hawamjui , Afrika ya kati hawamtambui...
Kumbuka hapo ' social media' bado hazina nguvu ya kumbeba mwanamuziki.
Wakapanga kufanya muziki baina yao ili kuongeza ushawishi kwenye nchi za wenzao.Ilifanikiwa Fally na Ally japo haikutoka.
2face akawa bussy na matamasha huku na huko, Aman na Redsun wakawa mwendo kinyonga yule Mkameruni na wenzake ndo tukawasahau kabisa kwani njia za kuwafuatilia wanamuziki zilikuwa finyu zaidi ya redio na Tv ambazo bado zilikuwa za kitaifa.
Alikiba akapotea kwa miezi si chini ya 10(si miaka mitatu kama anavyodai) kwani My everthing ilitoka 2013 machi na 2014 july akatoa Mwana.

Huku akiendelea kushirikishwa na wanamuziki wachanga mashabiki wake wakataka aimbe wimbo wake na hatimaye akaiachia rasmi Mwana(kumbuka kimasomaso ni project ya Kusaga kama sijasahau, wanamuziki kuzirudia nyimbo za zamani kisasa wimbo mwingine katika project hiyo ulikuwa Yalaiti ya Mwana Fa na Linah).
Matokeo ya mwana wengi mliyaona na ikaja kuwa njia ya Ally kufika alipo huku nyimbo zake zikiongea zaidi...
Wenzake wa one 8 najua tunajua walipo...
Hivyo tusipotoshane kuhusu sijui one 8 sijui hakuitumia vyema lakini ukweli ni kwamba ameweza kutamba nyakati zote tangu hatuijui Instagram hadi leo tuna snapchart Alikiba ameweza kwenda navyo ingaws kutokana na kuwa wa zama zile amejikuta akishindwa kwenda na kasi juu ya matumizi ya ' socia media'....

Kongole kwa Alikiba , amefanya kilichowashinda wengi wa zama zake.
 
Back
Top Bottom