Dume rijali la JF. Hajibu SMS zangu, nifanyaje jamaniii?

Dume rijali la JF. Hajibu SMS zangu, nifanyaje jamaniii?

mimi ni dume rijali la j.f miaka 35 sijaoa,miezi kama miwili iliyopita nikampata binti baada ya kuongea nae akakubali tuwe wachumba ila muda mwingi sipo nae karibu anaishi kwa wazazi wake..

Tatizo linakuja nikimpigia simu anajibu kwa mkato, ana kazi. inafika kipindi namtumia sms asubuhi anajibu jioni, nikiuliza anadai kazi nyingi.. je kuna mapenzi kweli hapo? tukikutana anaongea sana nashindwa kumwelewa kuwa ni uvivu wa mawasiliano au ana mtu wake,na mimi nilimgomea mapenzi hadi tupime kwanza.jee nifanyeje .

picha zaidi za huyo bint zipo kwenye comment
Mkuuu hizi ndoa zetuuu usihisii tunatoka na asura za kina mobeto weeee else ndoa ZETU zisingekaa mpaka Leo hii....

Usichague sura Wala umbooo angalia ana nyotaaa na nyota inangaa kuna zilizofifia kama ndio

HUYO max yas mkuuuu pita nae tu
 
Wewe utajuaje kama ana nyota kali
 
Back
Top Bottom