Dume rijali la JF. Hajibu SMS zangu, nifanyaje jamaniii?

Dume rijali la JF. Hajibu SMS zangu, nifanyaje jamaniii?

Mchape kifurushi cha miezi mitatu by surprise alafu njoo hapa utoe ushuhuda...pesa haitaki kelele japo inaongea ..stukaa
Au nyie ndo wa kusubiri muombwe badala ya kujiongeza onhooo 40 itakukuta hapo hapo
 
mimi ni dume rijali, la mbegu, la j.f miaka 35 sijaoa,miezi kama miwili iliyopita nikampata binti baada ya kuongea nae akakubali tuwe wachumba ila muda mwingi sipo nae karibu anaishi kwa wazazi wake..

Tatizo linakuja nikimpigia simu anajibu kwa mkato, ana kazi. inafika kipindi namtumia sms asubuhi anajibu jioni, nikiuliza anadai kazi nyingi.. je kuna mapenzi kweli hapo? tukikutana anaongea sana nashindwa kumwelewa kuwa ni uvivu wa mawasiliano au ana mtu wake,na mimi nilimgomea mapenzi hadi tupime kwanza.jee nifanyeje .


picha zaidi za huyo bint zipo kwenye comment
Achana naye we jikite kwenye kulima utatoboa tu!
 
Back
Top Bottom