Dume rijali la JF. Hajibu SMS zangu, nifanyaje jamaniii?

Dume rijali la JF. Hajibu SMS zangu, nifanyaje jamaniii?

Hakika hiki ni kiburi cha uzima , hauna tofauti mtoto anaenyimwa kula kabla ya kunawa halafu akasusa na kula kabisa.
🤣🤣🤣🤣

Anyway just joking, ila Wanawake wanaoolewa ndio hao hao. Ila point ni kwamba mwanamke huyo hampendi
 
Sio kwamba hataki ni kwamba hajayapata tu, huyu nikimpata kwanza namlima dawa za minyoo dozi kama mbili , halafu namfungia ndani kama miezi mitatu nampangilia lishe na mazoezi,akitoka hapo utamsahau kabisa.
Kwahio huyo dada ana Minyooo?????🤣🤣🤣
 
Huoni pete kaolewa ndio mana anaogopa kuwa free na wewe
 

Attachments

  • Screenshot_20250225_153232_Gallery.jpg
    Screenshot_20250225_153232_Gallery.jpg
    72.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom