Dumu la mafuta ya kupikia lita 20 ni 82000 na cement ni 24000, hakuna wa kuongea tena!

Mafuta hali mbaya
Tatizo watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia
Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi
Utafaidi matunda ya awamu hii ya Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Vinginevyo utaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
 
Taratibu Basi
 
Hakuna mtu aliyelazimishwa kuja kwenye kampeni, wazalendo walijitokeza kwa wingi, na ni hao hao wazalendo ambao huwezi kuwasikia wakilia lia kwa sababu ya uvivu, wanaangalia fursa zilizopo na kujoshughulisha. Nyie timu pingapinga ndio mko humu tu kuichafua serikali.
 
Tatizo watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia
Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi
Utafaidi matunda ya awamu hii ya Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Vinginevyo utaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
 
Yaani wewe siku maslahi yako binafsi yatakapo guswa na pale utakapo kosa la kufanya ndo uje hapa kusema "tuache kulialia tufanye kazi kwa bidii"....we tulizana tu,siku hazigandi...utafikiwa tu.
Mimi ni mzalendo, maslahi mapana ya taifa ni muhimu kuliko maslahi yangu. Asiyefanya kazi n asile, wavivu na wachonganishi wakubwa nyie kama mnaona maisha magumu hameni nchi. Mbona sisi wanyonge maisha yetu yanaendelea kama kawaida na tunafurahia fursa zinazofunguliwa na hii miradi mipya inayozinduliwa na serikali yetu sikivu.
 
Hii hali sijui itakuwaje au ni michezo ya wafanyabiashara??
Hakuna mchezo niserikalli kuweka tozo nyingi huku Gharama za uzalishaji zikiwa juu.hakuna mfanyabiashara anaetaka kufanya kazi ya hasara.
 
Shda sio kutangaza mabaya hatuoni hata mtu bungeni anae ongelea HILI yani wapo Kama hawaoni vile
Ukitangaza ndio mafuta yatashuka bei ? Tangaza mema ya nchi yako, hayo mengine kuna njia sahihi za kufikisha ujumbe kwa wahusika. Kwani hauna mbunge ? Hauna Diwani ? Wote wapo kutatua matatizo yako sio kila kitu ulete kwenye mitandao ni ulimbukeni tu
 
acha ujinga wewe, gharama za maisha kupanda kwako ni Jambo la kawaida. Mshenz kwel wewe
Wewe unauwezo mdogo sana wa kufikiria, gharama za maisha lazima zipande kila mwaka i duniani kote, unachotakiwa kufanya ni kutumia fursa zilizokuzunguka kuongeza kipato
 
Mbona unatoka nje ya mada hakuna sehemu nimemlaumu Rais haya hayamhusu Rais hii issue ya wafanya biashara wenyewe kujiongeza kama mahitaji makubwa ongeza uzalishaji sasa ya kutii sheria yametoka wapi? Hawa wapiga dili kwenye mafuta tu? kila kitu kikipanda bei lazima kuwe na sababu na sababu pekee itaigusa serikali ikiwa kodi imepanda lakini navyojuwa hiyo haiwezi kuwa sababu maana bado tuko katika mwaka wa budget na hakukuwa na ongezeko la kodi. hakuna siasa katika hili ni wafanya biashara kutoa maelezo tatizo ni nini? mimi sijamlaumu mtu hapa nimeongelea biashara tu. hizi kauli za kupiga dili kauli hazina mashiko ni kauli za kupoteza malengo una ushahidi mahakama zipo.
 
Wewe unauwezo mdogo sana wa kufikiria, gharama za maisha lazima zipande kila mwaka i duniani kote, unachotakiwa kufanya ni kutumia fursa zilizokuzunguka kuongeza kipato
Nakubaliana na wewe kupanda kuko kila sehemu ila maisha yakiwa yanapanda yanakuwa yanaendana na hali halisi ya kiuchumi, watu wakiwa wanapata pesa mzunguko mkubwa mahitaji yanaongezeka vitu vitapanda na fusra unazo ongelea ni kuongeza huduma tatizo kama bei zinapanda ila sio kwa kuwa pesa ipo au mahitaji makubwa kwa sababu zingine iwe kisiasa au kibiashara lakini kipato cha mtu ni kilekile basi kuna tatizo kubwa.
 
Kwa nini usianze kumuuluza yule aliekuuluza?
Kama nilivyo sema watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia
Tatizo lipo na Tatizo lenyewe Watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia
Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi
Utafaidi matunda ya awamu hii ya Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Vinginevyo utaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
 
Duh ujinga wa bendera huu ....kulamba viatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…