Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumiaMafuta hali mbaya
Taratibu BasiTatizo watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia
Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi
Utafaidi matunda ya awamu hii ya Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Vinginevyo utaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
Hakuna mtu aliyelazimishwa kuja kwenye kampeni, wazalendo walijitokeza kwa wingi, na ni hao hao wazalendo ambao huwezi kuwasikia wakilia lia kwa sababu ya uvivu, wanaangalia fursa zilizopo na kujoshughulisha. Nyie timu pingapinga ndio mko humu tu kuichafua serikali.Kaka ungekuwa karibu ningekuwamba booooooongeee la kooofi pumbavu hapa tunazungumzia maisha ya mwananchi kwenye kipato cha chini sio wewe mwenye uwezo tunazungumza kwa niaba yao hivi mimi kama mkulima au mmachinga yule uliyekuwa unanipa tisheti pamoja na kuniletea usafiri wakuja kuhudhuria kwenye kwenye kampeni zenu leo leo gharama za maisha zimepanda unaniambia nijishughulishe sasa nijishughulishe mara ngapi?
Eti serikali haiwezi kuja kukulisha ila kwenye kampeni mlikuwa mnaweza kuja na kutuhonga vi elfu kumi pamoja na usafiri bure kwenye shida tukanye tunapokunyaga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumiaHii ni kweli juzi nimenunua kwa alfu 84 nimeshangaa kidogo nilikuwa nasoma tu ni kawa kama naona utani ila nimeshuhudia kuhusu cement sijui sababu sijengi lakini sikatai pia. ok tatizo liko wapi? biashara ni supply and demand maana tunaweza kufungua somo kabisa. kuna mambo mawili au matatu tuanzie kwenye mafuta na mifano huu ndio kwa bidhaa zote. kwanini mafuta leo yamepanda? Je uzalishaji umepungua wa viwanda vya ndani? mafuta hayajafika toka nje? nini sababu? au kuna kodi mpya zimewekwa na kuongeza gharama. jambo moja tu litakuwa zuri kwa uchumi kama demand imekuwa kubwa sababu tu watumiaji wamekuwa wengi na watu wanatumia sana mafuta labda biashara nyingi maana inflation sio kitu kibaya kwa kila kitu ni dalili pia pesa ipo mahitaji makubwa, sasa kama ni hii sababu ya mwisho ni suala la kuongeza supply ili viwanda vikue zaidi na ajira zitaongezeka fursa kubwa lakini kwa kuona ukimya wa wazalishaji hawachangamkii fursa hii basi ziko sababu hawataki kusema wazi hii ni biashara ya watu binafsi sasa serikali kusema meli inakuja meli ya nani? kweli biashara wasijue timing ya kuagiza wakijuwa mahitaji au watu wamebaniwa pesa $ hakuna ya kulipa....mambo ya cement PM kawaka moto sasa kimya maana sheria ya biashara Demand and supply hata sokoni nyanya nyingi bei itashuka nyanya kidogo bei itapanda unless nyanya kiwango kilekile ila wanunuzi wengi zitapanda ila ni nzuri dalili kuwa pesa watu wanazo wananunua sana kwa hiyo supply izidi wanufaike kwa maana mfanya biashara ataleta tenga 100 badala ya 60 au ikiwa hazipatikani ni wazalishaji kuongeza huo ndio uchumi kukuwa ila ukiona watu kimya basi hakuna sababu za msingi kuongeza uzalishaji kuna tatizo kubwa.
Mimi ni mzalendo, maslahi mapana ya taifa ni muhimu kuliko maslahi yangu. Asiyefanya kazi n asile, wavivu na wachonganishi wakubwa nyie kama mnaona maisha magumu hameni nchi. Mbona sisi wanyonge maisha yetu yanaendelea kama kawaida na tunafurahia fursa zinazofunguliwa na hii miradi mipya inayozinduliwa na serikali yetu sikivu.Yaani wewe siku maslahi yako binafsi yatakapo guswa na pale utakapo kosa la kufanya ndo uje hapa kusema "tuache kulialia tufanye kazi kwa bidii"....we tulizana tu,siku hazigandi...utafikiwa tu.
Hakuna mchezo niserikalli kuweka tozo nyingi huku Gharama za uzalishaji zikiwa juu.hakuna mfanyabiashara anaetaka kufanya kazi ya hasara.Hii hali sijui itakuwaje au ni michezo ya wafanyabiashara??
Meli ipo njiani acha keleleHiyo meli ilikuwa wapi kabla ya upungufu kuwepo.
Nileteeeni GWAJI BOYIIIIII
Ukitangaza ndio mafuta yatashuka bei ? Tangaza mema ya nchi yako, hayo mengine kuna njia sahihi za kufikisha ujumbe kwa wahusika. Kwani hauna mbunge ? Hauna Diwani ? Wote wapo kutatua matatizo yako sio kila kitu ulete kwenye mitandao ni ulimbukeni tuShda sio kutangaza mabaya hatuoni hata mtu bungeni anae ongelea HILI yani wapo Kama hawaoni vile
Wewe unauwezo mdogo sana wa kufikiria, gharama za maisha lazima zipande kila mwaka i duniani kote, unachotakiwa kufanya ni kutumia fursa zilizokuzunguka kuongeza kipatoacha ujinga wewe, gharama za maisha kupanda kwako ni Jambo la kawaida. Mshenz kwel wewe
Imefika wapi meli[emoji1787]Meli ipo njiani acha kelele
Mbona unatoka nje ya mada hakuna sehemu nimemlaumu Rais haya hayamhusu Rais hii issue ya wafanya biashara wenyewe kujiongeza kama mahitaji makubwa ongeza uzalishaji sasa ya kutii sheria yametoka wapi? Hawa wapiga dili kwenye mafuta tu? kila kitu kikipanda bei lazima kuwe na sababu na sababu pekee itaigusa serikali ikiwa kodi imepanda lakini navyojuwa hiyo haiwezi kuwa sababu maana bado tuko katika mwaka wa budget na hakukuwa na ongezeko la kodi. hakuna siasa katika hili ni wafanya biashara kutoa maelezo tatizo ni nini? mimi sijamlaumu mtu hapa nimeongelea biashara tu. hizi kauli za kupiga dili kauli hazina mashiko ni kauli za kupoteza malengo una ushahidi mahakama zipo.Tatizo watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia
Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi
Utafaidi matunda ya awamu hii ya Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Vinginevyo utaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
Tulieni sio kila kitu lazima mjue, serikali inashughulikia hili jambo kwa umakini mkubwa sana.Imefika wapi meli[emoji1787]
Tumetulia lakini bado tunaumia beberu.Tulieni sio kila kitu lazima mjue, serikali inashughulikia hili jambo kwa umakini mkubwa sana.
Mvumilivu hula mbivu, vumilia tu mambo yatakaa sawa. Hata serikali inaumia kuona jinsi mnavyopitia wakati mgumu na serikali pia inaundwa na binadamu.Tumetulia lakini bado tunaumia beberu.
Nakubaliana na wewe kupanda kuko kila sehemu ila maisha yakiwa yanapanda yanakuwa yanaendana na hali halisi ya kiuchumi, watu wakiwa wanapata pesa mzunguko mkubwa mahitaji yanaongezeka vitu vitapanda na fusra unazo ongelea ni kuongeza huduma tatizo kama bei zinapanda ila sio kwa kuwa pesa ipo au mahitaji makubwa kwa sababu zingine iwe kisiasa au kibiashara lakini kipato cha mtu ni kilekile basi kuna tatizo kubwa.Wewe unauwezo mdogo sana wa kufikiria, gharama za maisha lazima zipande kila mwaka i duniani kote, unachotakiwa kufanya ni kutumia fursa zilizokuzunguka kuongeza kipato
Kwa nini usianze kumuuluza yule aliekuuluza?Mbona unatoka nje ya mada hakuna sehemu nimemlaumu Rais haya hayamhusu Rais hii issue ya wafanya biashara wenyewe kujiongeza kama mahitaji makubwa ongeza uzalishaji sasa ya kutii sheria yametoka wapi? Hawa wapiga dili kwenye mafuta tu? kila kitu kikipanda bei lazima kuwe na sababu na sababu pekee itaigusa serikali ikiwa kodi imepanda lakini navyojuwa hiyo haiwezi kuwa sababu maana bado tuko katika mwaka wa budget na hakukuwa na ongezeko la kodi. hakuna siasa katika hili ni wafanya biashara kutoa maelezo tatizo ni nini? mimi sijamlaumu mtu hapa nimeongelea biashara tu. hizi kauli za kupiga dili kauli hazina mashiko ni kauli za kupoteza malengo una ushahidi mahakama zipo.
Tatizo lipo na Tatizo lenyewe Watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumiaNakubaliana na wewe kupanda kuko kila sehemu ila maisha yakiwa yanapanda yanakuwa yanaendana na hali halisi ya kiuchumi, watu wakiwa wanapata pesa mzunguko mkubwa mahitaji yanaongezeka vitu vitapanda na fusra unazo ongelea ni kuongeza huduma tatizo kama bei zinapanda ila sio kwa kuwa pesa ipo au mahitaji makubwa kwa sababu zingine iwe kisiasa au kibiashara lakini kipato cha mtu ni kilekile basi kuna tatizo kubwa.
Sawa beberu mzalendoMvumilivu hula mbivu, vumilia tu mambo yatakaa sawa. Hata serikali inaumia kuona jinsi mnavyopitia wakati mgumu na serikali pia inaundwa na binadamu.
Duh ujinga wa bendera huu ....kulamba viatuGharama za maisha zinapanda duniani kote. Hilo suala la mafuta na saruji imeshaongelea na inashughulikia kuweka mambo sawa, serikali haiwezi kuja kukulisha inachoweza kufanya ni kukupa fursa ili ujikimu. Kama ni mvivu utaendelea kulia eti maisha magumu huku wenzio tunaona maisha ni kawaida tu.