Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
imani za kipumbavu hizi...Kwa nini usianze kumuuluza yule aliekuuluza?
Kama nilivyo sema watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia
Tatizo lipo na Tatizo lenyewe Watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia
Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi
Utafaidi matunda ya awamu hii ya Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Vinginevyo utaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
Mkuu hii nchi sio ile ya Akina jakaya wachache Ndio walikua wanafaidiimani za kipumbavu hizi...
Ukiendekeza roho mbaya tegemea mafanikio kwa muda mfupi tu.Mh Rais anapitia wakati mgumu sana kuna watu hawapend kweli apeleke maendeleo hakika binadam wana roho mbaya.
Tatizo watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumiaBado iyoo bei walaji wanamudu ingefika 20ltr kwa 500, 000 au cement kwa 200, 000 apo kweli ingekuwa mbaya
Haya Mkuu nimekusoma nje ya box mikumi tena........Mkuu hii nchi sio ile ya Akina jakaya wachache Ndio walikua wanafaidi
Nchi hii kwa sasa kila mtu ananufaika na kweli watanzania tuna maisha bora na Hali nzuri sana kuliko wakati wowote ule
Unafikiri mpaka benki ya dunia kutusifia na kutuweka Sisi Uchumi wa kati kama Afrika kusini ni mchezo?
Yaani majirani wanatuonea wivu sana
Watu wapige kazi mkuu bado bei ipo poa sana watu wanataka cement yenye ubora na mafuta yenye ubora wanataka wanunuwe 20ltr kwa 50, 000 haiwezekani kabisa cement bado bei ya ata 30, 000 bado ni rahisi mfuko mmoja unatoa tofali imara za kutoshaTatizo watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia
Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi
Utafaidi matunda ya awamu hii ya Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Vinginevyo utaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
Hakuna bei elekezi bei zita kipanga zenyewe kama TRA wanavyo panga kodi bila majadiliano na mteja 😂Ingekuwa ni nchi nyingine watu wangeshaandamana na bei ingerekebishwa fasta lakini ndo hivo
Hii hali sijui itakuwaje au ni michezo ya wafanyabiashara??
Hivi ni wapi huko cement inauzwa 24,000?
Yaani mtapiga vuvuzera hadi mtanyamaza tu maisha ndiyo hayahaya na akili zenu.Nani atawasemea tena Watanzania kuhusu hizi gharama za kila kitu kupanda?
Je, bado hatuoni faida ya Wapinzani Tanzania?
Je, ni Wapinzani pekee wanaumizwa na gharama hizi? Maoni yako tafadhali.
Tukumbuke cement haitoki nje (kisingizio cha covid-19 hakipo).
Tunalima alizeti mikoa mingi tu, karanga, mawese kitu gani kinapandisha hizi gharama?
Wewe nymba ulikuwa unalioa kodi huko nyuma sawa na sasa? au nauli ya daladala ilikuwa ni hii unayolipa sasa?Hata kama itarejea haitafika lita 3000 ka mwanzo tena
Hakuna aliyelaumu zaidi ya majungu yenu,wavivu ndiyo mnalalamika watu wanapiga kazi hawana muda wa kuloloma ati.Tuliamua wenyewe.... So tusilaumiane wala kutukanana....
Tuvumilie.....
Watu wangekuwa wanaumia wasingeipa ccm ushindi.Na ninachojiuliza zaidi na sipati jibu kila siku ni kwamba kwa gharama hizi zinazoendelea tunaoumia ni sisi wote au wapinzani tu kama ni sisi wote hawa wenzetu wanaraha gani ya kufurahia miaka mitano mingine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tuanzie hapo kwanza
Na wewe acha chuki za kijinga maisha ndiyo hayahaya fanya kazi,congo watu wanatembea na magunia ya hela kwenda sokoni sembuse TZ.Achana na mambo ya fursa kaka tuzungumzie gharama za maisha kupanda alafu serikali ya wanyonge ipo kmy nini maana yake ndio CCM mbele kwa mbele na tumeitaka wenyewe acha ushabiki wa kijinga