Na meli ya cement inakuja lini kurejesha cement katika bei yake ya awali ?Waovu tu mnasherekea kutangaza mabaya. changamoto zinazojitokezea ni kawaida, sio kwamba serikali haioni na imelala, inashughulikia meli ya mafuta inakuja na bei itarejea kikawaida.
Meli ya sukari nayo inakuja lini kurejesha sukari katika bei yake ya awali ?Waovu tu mnasherekea kutangaza mabaya. changamoto zinazojitokezea ni kawaida, sio kwamba serikali haioni na imelala, inashughulikia meli ya mafuta inakuja na bei itarejea kikawaida.
Hutaki sisi wakulima tupate hela? Acha unaa wewe mtoa mada!Nani atawasemea tena Watanzania kuhusu hizi gharama za kila kitu kupanda?
Je, bado hatuoni faida ya Wapinzani Tanzania?
Je, ni Wapinzani pekee wanaumizwa na gharama hizi? Maoni yako tafadhali.
Tukumbuke cement haitoki nje (kisingizio cha COVID-19 hakipo).
Tunalima alizeti mikoa mingi tu, karanga, mawese kitu gani kinapandisha hizi gharama?
Mbona kama una hasira mkuu nani kasema nina shida na wapi nimedanganya ? Au unayasema maisha yako ?We ni muongo pindukia maisha yamekushinda mzee huna hela kula chukuchuku tu mzee
Meli ya nini badala ya kutengeneza viwanda? Na cement mnasubiri meli ipi ili mfuko uwe buku 10?Waovu tu mnasherekea kutangaza mabaya. changamoto zinazojitokezea ni kawaida, sio kwamba serikali haioni na imelala, inashughulikia meli ya mafuta inakuja na bei itarejea kikawaida.
Tatizo watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumiaKinachopandisha bei ni kodi za kukurupuka.
Maadam serikali inapata kodi wewe mwananchi pambana na hali yako
Nani atawasemea tena Watanzania kuhusu hizi gharama za kila kitu kupanda?
Je, bado hatuoni faida ya Wapinzani Tanzania?
Je, ni Wapinzani pekee wanaumizwa na gharama hizi? Maoni yako tafadhali.
Tukumbuke cement haitoki nje (kisingizio cha COVID-19 hakipo).
Tunalima alizeti mikoa mingi tu, karanga, mawese kitu gani kinapandisha hizi gharama?
Tatizo watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumiaKuna kitu kinachangia gharama kwenda juu. Tuache maneno maneno tutafute ukweli. Ukweli pekee ndio utatuweka huru. Hizo gharama haiwezekani zikaenda juu bila sababu yoyote. Nini kinapandisha gharama za uzalishaji juu?
Kuishi kwa ujanja ndio gharama ipande juu kiasi hicho? Mbona tunaoathirika ni wote, hata hao wanaosema wengine wanaishi kwa ujanja ujanja.Tatizo watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia
Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi
Utafaidi matunda ya awamu hii ya Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Vinginevyo utaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
Mkuu ukiwa muadilifu kama Sisi viongozi wa CCM yaani wala hayo makali ya maisha hutayahisiKuishi kwa ujanja ndio gharama ipande juu kiasi hicho? Mbona tunaoathirika ni wote, hata hao wanaosema wengine wanaishi kwa ujanja ujanja.
Nakupa mfano, TRA wanakusanya kodi. Hivi maofisa wao wengi ni safi kiasi gani? Sio hawa wanaoomba rushwa wakidanganya kuwasaidia walipa kodi kupunguza kodi wanazodaiwa? Anayedhani amesimama aangalie asianguke
Mwenzetu unapata chochote nini toka huko ziziem?!Waovu tu mnasherekea kutangaza mabaya. changamoto zinazojitokezea ni kawaida, sio kwamba serikali haioni na imelala, inashughulikia meli ya mafuta inakuja na bei itarejea kikawaida.
Sisi viongozi wa CCM Kwa sababu ya uadilifu wetu yaani wala hayo makali ya maisha hutayahisiMwenzetu unapata chochote nini toka huko ziziem?!
Hivi wewe unasema tufanye kazi,siku zote kazi huwa unatufanyia wewe?!!!Hata isiporejea kana zamani Ndio mabadiliko ya bei , hata hiyo 3000 haikuwapo zamani. Tufanye kazi tuache kulia lia
Fanya kazi, kama unaona maisha magumu hama katafute nchi watakayokununulia chakula ule unenepe. Sisi tunajenga nchi na tunajitolea kufanya kazi ili vizazi vijavyo vineemeke.Hivi wewe unasema tufanye kazi,siku zote kazi huwa unatufanyia wewe?!!!
Sipati chochote mimi ni mtanzania muadilifu ninayeenzi misingi ya chama cha mapinduzi.Mwenzetu unapata chochote nini toka huko ziziem?!
Kwahiyo wewe ndio unafanya kazi sana kuliko watanzania wote?Wanaoumia ni wavivu wasiotaka kujishughulisha. Fursa zipo nyingi,ufanye kazi ili uweze kujikimu.
Watanzania wanaofanya kazi hawapo kwenye mitandao wakilialia kitu kinapopanda bei kidogo, wanatangaza mema ya nchi, fursa zilizopo na kubadilishana mawazo ya burudani.Kwahiyo wewe ndio unafanya kazi sana kuliko watanzania wote?
Watanzania wanaofanya kazi hawapo kwenye mitandao wakilialia kitu kinapopanda bei kidogo, wanatangaza mema ya nchi, fursa zilizopo na kubadilishana mawazo ya burudani.
Sisi watanzania Waadilifu na viongozi wa CCM yaani wala hayo makali ya maisha hutayahisiWatanzania wanaofanya kazi hawapo kwenye mitandao wakilialia kitu kinapopanda bei kidogo, wanatangaza mema ya nchi, fursa zilizopo na kubadilishana mawazo ya burudani.