Dumu la mafuta ya kupikia lita 20 ni 82000 na cement ni 24000, hakuna wa kuongea tena!

Dumu la mafuta ya kupikia lita 20 ni 82000 na cement ni 24000, hakuna wa kuongea tena!

Nani atawasemea tena Watanzania kuhusu hizi gharama za kila kitu kupanda?

Je, bado hatuoni faida ya Wapinzani Tanzania?

Je, ni Wapinzani pekee wanaumizwa na gharama hizi? Maoni yako tafadhali.

Tukumbuke cement haitoki nje (kisingizio cha COVID-19 hakipo).

Tunalima alizeti mikoa mingi tu, karanga, mawese kitu gani kinapandisha hizi gharama?
Kutoka bei gani?
 
Hizo ndio bei za JF...utaambiwa kula kulala hujawahi kujenga hata chumba kimoja
Lakini mkuu kuna commodities zimepanda bei mno, yaani hadi unajiuliza shida iko wapi? Tangu kipindi cha uchaguzi kuna bidhaa zinapanda bei sielewi shida iko wapi!!!
 
Lakini mkuu kuna commodities zimepanda bei mno, yaani hadi unajiuliza shida iko wapi? Tangu kipindi cha uchaguzi kuna bidhaa zinapanda bei sielewi shida iko wapi!!!
Tatizo watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia
Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi
Utafaidi matunda ya awamu hii ya Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Vinginevyo utaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
 
Lakini mkuu kuna commodities zimepanda bei mno, yaani hadi unajiuliza shida iko wapi? Tangu kipindi cha uchaguzi kuna bidhaa zinapanda bei sielewi shida iko wapi!!!
Ni kweli.
 
Jiwe likishaharibu mahali halisemi tena linahamia kwingine...Jiwe limeharibu biashara nyingi moja wapo korosho leo korosho ni sawa na maharage mnada wa mwisho wamejitokeza wanunuzi wawili tu...hilo ndo Jiwe na kwa sasa wala halisemi kitu liko bize na Chato .
 
Cement 24,000 wapi huko mie nimeulizia jana huku kwetu ni 15,000
 
Nani atawasemea tena Watanzania kuhusu hizi gharama za kila kitu kupanda?

Je, bado hatuoni faida ya Wapinzani Tanzania?

Je, ni Wapinzani pekee wanaumizwa na gharama hizi? Maoni yako tafadhali.

Tukumbuke cement haitoki nje (kisingizio cha COVID-19 hakipo).

Tunalima alizeti mikoa mingi tu, karanga, mawese kitu gani kinapandisha hizi gharama?

Wapinzani walitucheleweshea sana Maendeleo hiyo elfu 82 imepungua sana ,wakati JIWE anaingia madarakani dumu la lita 20 lilikuwa linauzwa laki 4 sasa limepungua hadi elfu 82.

Awamu ya 5 wamejenga maduka ambayo makada wa SISIEMU wakienda wananunua bei elekezi ya CHATTLE na maduka mengine ni ya wapinzani ,hivyo sokoni kuna bei za makada na makamanda.
 
Hiyo 82000 ni wapi nije kununua? Huku Mbeya sasa tunaongelea 110000 wewe unasema 82,000? Lita huku ni 5500/= huna ukale chukuchuku. Huko bei poa sana halo. Mafuta yakipanda kila mwaka ndio inacheza hapo kwenye 80+k ni bei ya kawaida sana.
Hapo mjini Kawe, jana jamaa yangu mtaani kaenda akakuta yana 84000 yakamshinda akaacha kununua.
 
Hakuna aliyelaumu zaidi ya majungu yenu,wavivu ndiyo mnalalamika watu wanapiga kazi hawana muda wa kuloloma ati.

Maisha yamewashinda na bado aisee mtakimbia wote nchi kenge nyie
Mkuu vipi... Mbona unanifokea? Hahahaaa
 
Back
Top Bottom