Dunia haiko fair, leo mtoto wa Nyerere analalamika watu Serikali hawapokei simu za familia ya Nyerere

Shobo ndo mdudu gani...ukiandika humu utajibiwa...usitupangie cha kufanya...
Narudia tena acha shobo kama ambavyo wewe hutaki kupangiwa na Mimi sitaki unipangie Cha kuandika punguza shobo sijakushokea peleka mzigo kwa wengine unanuka
 
Narudia tena acha shobo kama ambavyo wewe hutaki kupangiwa na Mimi sitaki unipangie Cha kuandika punguza shobo sijakushokea peleka mzigo kwa wengine unanuka
Mzigo upi tena? Wa mavi au? Mbona sijanya...
 
Umeandika pumba na mashudu tupu.
 
Makongoro na Madaraka mwaka 2020 kama sijakosea waligombea uongozi huko kwao Musoma
Cha ajabu wote waliangukia pua sijajua ilikuaje wote kugombea uongozi eneo moja
 
Makongoro na Madaraka mwaka 2020 kama sijakosea waligombea uongozi huko kwao Musoma
Cha ajabu wote waliangukia pua sijajua ilikuaje wote kugombea uongozi eneo moja
System haimuliki Hawa wanafamilia!wametelekezwa wajifie by natural selection!

CCM ya Sasa haiwataki hao jamaa ,sijui wanaogopa kufunikwa!!?

Au wanaogopa wakiingia kwenye Baraza la mawaziri!
 
System haimuliki Hawa wanafamilia!wametelekezwa wajifie by natural selection!

CCM ya Sasa haiwataki hao jamaa ,sijui wanaogopa kufunikwa!!?

Au wanaogopa wakiingia kwenye Baraza la mawaziri!
Ila kwann imulikwe baba yao kazi alifanya akalipwa na mshahara
 
Ila kwann imulikwe baba yao kazi alifanya akalipwa na mshahara
Kwani mwinyi senior hakulipwa!?mbona mwanae Kawa mkubwa,Riz one nae tunamuona yupo kwenye line!!

Alihitajika walau kijana mmoia ndani ya familia aandaliwe kufuata nyendo za baba yake kisasa has rushwa na ubadhirifu kutokomeza!

Kizazi Cha sokoine kikowapi!!?

Wazalendo watoto wao wanapotezwa,mafisadi watoto wao wanashika hatamu!!

Kuna tatizo mahali!!!

Kina Uhuru kenyata ni nembo wa Kenyatta senior!

Ccm chama changu hakijatutendea haki kabisa!!
 
Jifunze kutumia H kwenye negation! Kiswahili si kigumu hivi! Dah!
 
Makongoro mbona ana lipeperusha jina vizuri tuu
Btw Jf oyeeeeeeeeee uongozi oyeeeeeeeee niwatajie na mimi jina langu 😄 jina langu oyeeeeeeeeee
 
Alitakiwa kuwachangamsha wangekuwa na biashara ambazo ni halali ,wangekuwa matajiri tu bila mali za wizi kuliko kulia wametupwa na viongozi.

Lakini naamini serikali ilishawasaidia na kuweka mkono wake ,sio wafa njaa
 
Nyerere hakuwaanda watoto wake waje wawe viongozi inawezekana pia hakutaka kuwaingiza watoto zake kwenye uongozi serikali
Kingine naona watoto wa Nyerere labda hawakuchangamka kuingia kwenye mabiashara ya nchi kama wanavyofanya watoto wa wenzao
Sahvi

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…