hiyo ni kweli na mie na urafiki na mafaraka huwa ananiambia japo ukweli ni kwamba huwa wanaomba sana,maana hawana kitu na mama yao hatoi hata sentiNilimsikiliza Bwana Madaraka Nyerere akilalamika kwamba muda Huwa awanapiga simu na viongozi wa serikali kama DC, RC, DED, mawaziri n.k hawapokelei simu
Hadi analalamika wasanii kutumia jina la baba yake, Mbona familia ya Dangote hawalalamiki Kwa Diamond platnumZ, Mbona familia ya Bakhresa hawalalamiki Kwa Harmonize.
Yaani Nyerere ambaye kila pesa ina picha yake, watoto wake hawapati ushirikiano na pesa wanaotafuta na wanaiomba bila shaka wananyimwa
Tuseme kama Leo RC kama Bashite, Sabaya, Jokate,Chalamika hawapokei simu za watoto wa Nyerere au mama Maria Nyerere😅.
Nyerere tunaambiwa ndo baba wa Taifa, na kila siku viongozi wanamuimba kuwa ndo kila kitu.
Soma Pia: Kumbukizi ya Nyerere: Familia ya Mwalimu Nyerere yawataka wasanii kuacha kutumia jina la Baba wa Taifa kama ubin wao
Chonde chonde nyie viongozi pokeeni simu za familia ya Nyerere. Wapeni msaada na kila kitu, maana baba yake ndo aliweka misingi ya vyote hivi
Kwa mentality kama hizi hakuna mahali nchi hii itaenda!Nyerere alifeli wenzie kipindi kile hamna media walijichotea mali , wali walimilizi mashamba ukubwa wa vijiji , yeye anatoa macho bora asingezaa watoto.
Huko Moro watu walikuwa na Hekari za kutosha , yeye anatoa macho .
Huyo anatafuta kiki tu. Hao Tanzania ni kama Royal family, nyumba za baba yao zote za Kijiji kizima huko Mwitongo, Butiama na Dar, bajeti zake zipo chini ya serikali. Na pesa za watu wanazolipa wanapokwenda ziara ni zao zote. Nyerere Foundation pia inawachungulia. Kanisa ndiyo usiseme.Nilimsikiliza Bwana Madaraka Nyerere akilalamika kwamba muda Huwa awanapiga simu na viongozi wa serikali kama DC, RC, DED, mawaziri n.k hawapokelei simu
Hadi analalamika wasanii kutumia jina la baba yake, Mbona familia ya Dangote hawalalamiki Kwa Diamond platnumZ, Mbona familia ya Bakhresa hawalalamiki Kwa Harmonize.
Yaani Nyerere ambaye kila pesa ina picha yake, watoto wake hawapati ushirikiano na pesa wanaotafuta na wanaiomba bila shaka wananyimwa
Tuseme kama Leo RC kama Bashite, Sabaya, Jokate,Chalamika hawapokei simu za watoto wa Nyerere au mama Maria Nyerere😅.
Nyerere tunaambiwa ndo baba wa Taifa, na kila siku viongozi wanamuimba kuwa ndo kila kitu.
Soma Pia: Kumbukizi ya Nyerere: Familia ya Mwalimu Nyerere yawataka wasanii kuacha kutumia jina la Baba wa Taifa kama ubin wao
Chonde chonde nyie viongozi pokeeni simu za familia ya Nyerere. Wapeni msaada na kila kitu, maana baba yake ndo aliweka misingi ya vyote hivi
Unataka iende wapi ? wakati matajiri kibao walipata mali enzi za Nyerere , unafikiria wanaomiliki mashamba mpaka vijiji kama mzee wake maria surungi , unajua walipata enzi gani?Kwa mentality kama hizi hakuna mahali nchi hii itaenda!
Huwezi kunielewa we Moo!Unataka iende wapi ? wakati matajiri kibao walipata mali enzi za Nyerere , unafikiria wanaomiliki mashamba mpaka vijiji kama mzee wake maria surungi , unajua walipata enzi gani?
Bora useme wewe first born wa Kambarage.Mwaka juzi alikuwepo "Nyerere" mwingine hapa Msasani kwenye sherehe and nobody complained.
Lile ni jina: mtu anazaliwa Jumanne anaitwa "Jumanne"
Mtu anazaliwa wakati kuna caterpillars anaitwa " Nyerere".
Mtu anamwigiza Nyerere anaitwa "Nyerere"
What are we complaining about?
Tafuta maisha.Usimsingizie Nyerere kwa ugumu wa maisha yako.Tapeli tu huyo ndio kaleta ujinga na umasikini Kwa watanzania
Vipi Winston Churchill? Vipi Joseph Stalin? Watoto wao wapo wanafaya nini kwa sasa? Ni masikitiko makubwa.Mchongameno alifeli kwanzia kuongoza nchi hadi familia
Yule Katibu wa Rais , tulipokuwa msibani mwaka jana, alikuwa anasimulia, anasema alikuwepo kwenye deathbed, Mwalimu Nyerere alipokuwa amekaribia kufa,siku za mwisho, Mwalimu anasema,"Focus yangu yote ilikuwa katika nchi,na familia yangu nasikitika naiacha katika hali mbaya sana".Vipi Winston Churchill? Vipi Joseph Stalin? Watoto wao wapo wanafaya nini kwa sasa? Ni masikitiko makubwa.
Unaumiza sanaYule Katibu wa Rais , tulipokuwa msibani mwaka jana, alikuwa anasimulia, anasema alikuwepo kwenye deathbed, Mwalimu Nyerere alipokuwa amekaribia kufa,siku za mwisho, Mwalimu anasema,"Focus yangu yote ilikuwa katika nchi,na familia yangu nasikitika naiacha katika hali mbaya sana".
Hizi ndio authentic remarks za Mwalimu when he was on his deathbed.
Great men wote walijitolea sana maisha yao kutumikia mataifa au jamii zao kuliko familia zao.Yule Katibu wa Rais , tulipokuwa msibani mwaka jana, alikuwa anasimulia, anasema alikuwepo kwenye deathbed, Mwalimu Nyerere alipokuwa amekaribia kufa,siku za mwisho, Mwalimu anasema,"Focus yangu yote ilikuwa katika nchi,na familia yangu nasikitika naiacha katika hali mbaya sana".
Hizi ndio authentic remarks za Mwalimu when he was on his deathbed.