Dunia haiko fair, leo mtoto wa Nyerere analalamika watu Serikali hawapokei simu za familia ya Nyerere

Nilimsikiliza Bwana Madaraka Nyerere akilalamika kwamba muda Huwa awanapiga simu na viongozi wa serikali kama DC, RC, DED, mawaziri n.k hawapokelei simu

Hadi analalamika wasanii kutumia jina la baba yake, Mbona familia ya Dangote hawalalamiki Kwa Diamond platnumZ, Mbona familia ya Bakhresa hawalalamiki Kwa Harmonize.

Yaani Nyerere ambaye kila pesa ina picha yake, watoto wake hawapati ushirikiano na pesa wanaotafuta na wanaiomba bila shaka wananyimwa

Tuseme kama Leo RC kama Bashite, Sabaya, Jokate,Chalamika hawapokei simu za watoto wa Nyerere au mama Maria Nyerere😅.

Nyerere tunaambiwa ndo baba wa Taifa, na kila siku viongozi wanamuimba kuwa ndo kila kitu.

Soma Pia: Kumbukizi ya Nyerere: Familia ya Mwalimu Nyerere yawataka wasanii kuacha kutumia jina la Baba wa Taifa kama ubin wao

Chonde chonde nyie viongozi pokeeni simu za familia ya Nyerere. Wapeni msaada na kila kitu, maana baba yake ndo aliweka misingi ya vyote hivi
hiyo ni kweli na mie na urafiki na mafaraka huwa ananiambia japo ukweli ni kwamba huwa wanaomba sana,maana hawana kitu na mama yao hatoi hata senti
 
Nilimsikiliza Bwana Madaraka Nyerere akilalamika kwamba muda Huwa awanapiga simu na viongozi wa serikali kama DC, RC, DED, mawaziri n.k hawapokelei simu

Hadi analalamika wasanii kutumia jina la baba yake, Mbona familia ya Dangote hawalalamiki Kwa Diamond platnumZ, Mbona familia ya Bakhresa hawalalamiki Kwa Harmonize.

Yaani Nyerere ambaye kila pesa ina picha yake, watoto wake hawapati ushirikiano na pesa wanaotafuta na wanaiomba bila shaka wananyimwa

Tuseme kama Leo RC kama Bashite, Sabaya, Jokate,Chalamika hawapokei simu za watoto wa Nyerere au mama Maria Nyerere😅.

Nyerere tunaambiwa ndo baba wa Taifa, na kila siku viongozi wanamuimba kuwa ndo kila kitu.

Soma Pia: Kumbukizi ya Nyerere: Familia ya Mwalimu Nyerere yawataka wasanii kuacha kutumia jina la Baba wa Taifa kama ubin wao

Chonde chonde nyie viongozi pokeeni simu za familia ya Nyerere. Wapeni msaada na kila kitu, maana baba yake ndo aliweka misingi ya vyote hivi
Huyo anatafuta kiki tu. Hao Tanzania ni kama Royal family, nyumba za baba yao zote za Kijiji kizima huko Mwitongo, Butiama na Dar, bajeti zake zipo chini ya serikali. Na pesa za watu wanazolipa wanapokwenda ziara ni zao zote. Nyerere Foundation pia inawachungulia. Kanisa ndiyo usiseme.

Kama hajuwi kulitumia jina lao na kina Steve Nyerere na Yericko nyerere wanajuwa kulitumia kujiingizia kipato, akae atulizane.
 
Ni aibu kubwa sana kwa familia ya baba wa taifa kuoneshwa dharau namna hyo, hakika ni laana hao viongozi wasiopokea simu za familia ya J.K Nyerere itawatafuna .
 
Unataka iende wapi ? wakati matajiri kibao walipata mali enzi za Nyerere , unafikiria wanaomiliki mashamba mpaka vijiji kama mzee wake maria surungi , unajua walipata enzi gani?
Huwezi kunielewa we Moo!
 
Ni aibu kubwa sana kwa familia ya baba wa taifa kuoneshwa dharau namna hyo, hakika ni laana hao viongozi wasiopokea simu za familia ya J.K Nyerere itawatafuna .
Madaraka Nyerere ampe hata ubalozi hapo Burundi
 
Mwaka juzi alikuwepo "Nyerere" mwingine hapa Msasani kwenye sherehe and nobody complained.
Lile ni jina: mtu anazaliwa Jumanne anaitwa "Jumanne"
Mtu anazaliwa wakati kuna caterpillars anaitwa " Nyerere".
Mtu anamwigiza Nyerere anaitwa "Nyerere"
What are we complaining about?
 
Bora useme wewe first born wa Kambarage.

Huyo mdogo wako anatuzinguwa tu.
 
Kumbe shida ni simu hazipokelewi
Anaona wakina steve wanapata dili

Angesema sio kuhamishia hasira zake kwa vijana wapambanaji
Nyerere ni Baba wa taifa
Hata mimi naitwa BoyOfGod Nyerere
 
Madaraka anasema,nimemsikia, anasema,"Sasa huyu comedian anajiita Steve Nyerere, wakati yupo mtu tayari katika familia anaitwa Steve Nyerere.
Sasa inatokea confusion.
Lakini there is no confusion, kwamba huyu Steve Nyerere ambaye anasema yuko katika familia,he is just a trouble maker.
In fact huyu jamaa ambaye supposedly anaitwa yuko katika familia,I declare him right now to be persona non grata hapa kwenye Msasani Residence. I declare him to be persona non grata,not the comedian one,but this ' family person'.
 
Vipi Winston Churchill? Vipi Joseph Stalin? Watoto wao wapo wanafaya nini kwa sasa? Ni masikitiko makubwa.
Yule Katibu wa Rais , tulipokuwa msibani mwaka jana, alikuwa anasimulia, anasema alikuwepo kwenye deathbed, Mwalimu Nyerere alipokuwa amekaribia kufa,siku za mwisho, Mwalimu anasema,"Focus yangu yote ilikuwa katika nchi,na familia yangu nasikitika naiacha katika hali mbaya sana".
Hizi ndio authentic remarks za Mwalimu when he was on his deathbed.
 
Unaumiza sana
 
Great men wote walijitolea sana maisha yao kutumikia mataifa au jamii zao kuliko familia zao.

Sidhani watoto wa Wanafalsafa wa Kigiriki kama nao walikuja kuwa watu Wakubwa. Hata statesmen wengi Wakubwa hawakuwa wabinafsi kujali sana familia zao kuliko taifa.Watoto wa Winston Churchill, Nelson Mandela,Vladimir Lenin,n.k wanathibitisha hilo.

Ni Watoto wa vilaza na Viongozi wa kawaida kawaida (siyo Geat men) ndo huja kuwa watu Wakubwa. Hiyo ni kwasababu MUNGU HAKUPI VYOTE.
 
Back
Top Bottom