Dunia Haiwezi kuwa na Amani endapo kizazi cha Israel bado kipo hai

Tycoon huyo ndiyo wayahudi Wote au ni kiongozi wa Israel? Chuki zenu zinawapeleka pabaya!!!
 
Kwani wayahudi wapo Israel peke yake!? Mbona kama wapo Mataifa mengine pia ukiachana na Israel!? Sasa hiyo atomic bomb ikiwa dropped Israel inawezaje kumaliza generation ya wayahudi wakati wapo kwenye nchi nyingine.!?
 
Kwahiyo na mauaji ya tarehe 29 October walifanya wayahudi.

Mkuu upo very brainwashed sana kiasi kwamba sometimes hutumii logic kutengeneza hoja kwa issue delicate sana. Unasapoti hoja zako kwa kutumia conspiracy theories ambazo hazijadhibitishwa popote na zinazosukumwa na antisemites, na wewe niseme ni antisemite.
 
Ana back up ya Mossad au hujui maana ya deep state? Unawekwa mbele tu kuwakilisha maslahi ya nchi. Wanaiba madini Congo alafu mnadai eti taifa teule!!
Antisemite ni mtu anayebeba chuki, ubaguzi au uhasama dhidi ya Wayahudi kwa misingi ya dini, kabila au asili ya rangi. Ni kweli kwamba baadhi ya Wayahudi, kama ilivyo kwa makundi mengine yoyote duniani, wanaweza kuhusika katika baadhi ya matatizo yanayotokea.

Kwahiyo wewe mkuu ni antisemite.

Hata hivyo, kusema kwamba kila jambo baya linahusishwa na Wayahudi si sahihi mtazamo huo unakufanya mtu kuwa na chuki za kibaguzi (antisemitism).
Matatizo mengi duniani yanayosababishwa na makundi mbalimbali, yakiwemo sisi Waafrika wenyewe, pamoja na watu wa dini tofauti kama Waislamu na Wakristo, na pia mataifa na jamii nyingine kama Wazungu, Wachina, Waarabu, Wahindi etc.Kwa hiyo, kuhusisha kila kitu kibaya na Wayahudi pekee hakina mantiki kwa mtu anayefikiria sawasawa bila kuwa brainwashed.
Lakini pia fuatilia kwa makini chimbuko la chuki dhidi ya Wayahudi barani Ulaya, pamoja na kuelewa sababu za kihistoria na kijamii zinazoathiri mwenendo wa baadhi ya Wayahudi katika nyakati za sasa na matendo Yao ya ajabu wanayofanya dhidi ya Wairan na baadhi ya jamii za kiarabu kama Palestina.
 
Conspiracy ni ipi? Israel literally inasupport RSF kule Sudan mbona ni public news
Je unaunga mkono Israel kusaidia magaidi wanaochinja watu weusi?

2. Israel ina support Somaliland kujitenga na Somalia ili tu iweke kambi ya jeshi kupigana na Houthi rebels
Swali je una unga mkono Israel kuigawa Somalia ili tu wapate kambi ya jeshi?

3. Fact nyingine Huyo myahudi ambaye ni agent amehukumiwa kulipa zaidi ya Billion 50 za Bongo sababu ya rushwa na ufisadi wa dhahabu na mafuta huko DRC. Nimekuwekea hapo chini hukumu usome alafu unadai nipo brainwashed?
 
Acha upotoshaji mkuu, Semites ni wengi sana ni mpaka Syrians, Arabs, Ethiopians (Amharic) etc sielewi kwanini mnalazimisha anti semitism ni Israel je syrians vipi?
Hata hivyo, kusema kwamba kila jambo baya linahusishwa na Wayahudi si sahihi mtazamo huo unakufanya mtu kuwa na chuki za kibaguzi (antisemitism)
Wapi nimesema matatizo yote duniani? Unaweza ni quote wapi nimesema hivyo? Usinilishe maneno bwana mdogo kama umeshindwa kujibu hoja walk away maana unajifanya hujaona kuhusu RSF na Somaliland.
 

Dan Gertler is a Mossad agent disorganizing Eastern Congo soma hiyo article ya the economist ambayo ni gazeti LINALOHESHIMIKA sana kwa mabeberu na pia mmoja wa wamiliki wa gazeti ni Rothschilds ambao ni JEWS.

Sasa mimi na wewe nani anaishi kwenye conspiracies?
 
Israel ndo waasisi wa aman duniani..Jamii au kizazi au dini yoyote itayojaribu kutishia amani ya dunia Israel ndo hutumika kuadhibu kisawa sawa..
Nitajie vita Moja tu ambayo Irani ndio aliianzisha tokea wewe umezaliwa?
Hili swali hauwezi kujibu maana Irani hajawahi kuanzisha Vita na nchi yoyote

Nyinyi wagalatia sijui mna shida gani Wazungu wamekudanganyeni katika mambo ya Imani kuwa Binadamu wenzenu Yesu ndio Mungu wenu na Sasa wanakudanganyeni katika mambo ya Kidunia

Wewe peke yako ndio mjinga unayedanganywa na Marekani laki wenye akili timamu wote wanajua kuwa lengo la Marekani ni kupora rasilimali za Irani Yani gasi , mafuta na tecnologia na Alisha Fanya hivyo
Iraq
Libya
Venezuela
Congo Sasa hivi anapora madini

Maana wewe jinsi ulivyo mjinga ukiambiwa M23 ni kikosi Cha kigaidi kinachodhaminiwa na Marekani utapinga

Ni Bora tu mkae kimya Ili kuficha upumbavu wenu na ujinga wenu
 
Utakuwa onaota ndugu kobisi. Naishia hapa tu
 
Waisrael hawajawahi kuwa na shida na mtu yoyote hapa duniani, ni watu wa amani wanao angalia maisha yao. Tatizo wanaona uchungu sana mtu kuwaua kwa sababu ya race yao, hali hiyo imewafanya wawe mahiri wa kujilinda katika njia zozote zile na hicho wamefanikiwa. Israel usipoichokoza hutajua kama wanna exist duniani. Mtu yeyote anayejua karibu ya nyumba yake kuna makazi ya nyoka atatafuta njia yoyote ya kumwangamiza ili aishi salama. Wairan na wapalestina wakiamua kuishi kwa amani na wayahudi middle east itakuwa tulivu kuliko sehemu yoyote duniani.
 
Mongolian empire uliwahi kuisikia na madhambi yake kabla ya hizo dini?

Wale ni nyoko walikuwa wanachinja watu daily just for fun and politica reasons
 
Hahaha
 
Kuna tofauti kati ya Uyahudi (kama jamii na dini) na Uzayuni (Sera ya kujitanua ya waisrael wenye msimamo mkali).

Kusema Wayahudi ndio tatizo sio kweli ila ni chuki tu za kibaguzi.

Siasa za kizayuni ndio chanzo cha vurugu mashariki ya kati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…