Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 5,668
- 9,806
Mirembe inakuhusu
Unabii huu wa kuuziwa mafuta na udongo bila ya shaka ushatimiaCha kusikitisha ni kwamba mwisho wa Iran umefika na ilishaandikwa hii takriban miaka 2000 iliyopita. Na kibaya ni kuwa Iran itaanguka na na mataifa mengine mengi ikiwemo russia, turkey, libya, ethiopia na mengine mengi tu. Ni raha sana kuona unabii unatimia.