Unabii huu wa kuuziwa mafuta na udongo bila ya shaka ushatimiaCha kusikitisha ni kwamba mwisho wa Iran umefika na ilishaandikwa hii takriban miaka 2000 iliyopita. Na kibaya ni kuwa Iran itaanguka na na mataifa mengine mengi ikiwemo russia, turkey, libya, ethiopia na mengine mengi tu. Ni raha sana kuona unabii unatimia.
We ni antisemite na hizo articles unazoweka hapa chini ni liberal articles and antisemite so Sina haja ya kuendelea kujibizana na mtu ambaye anatengeneza hoja with antisemite motives.Acha upotoshaji mkuu, Semites ni wengi sana ni mpaka Syrians, Arabs, Ethiopians (Amharic) etc sielewi kwanini mnalazimisha anti semitism ni Israel je syrians vipi?
Wapi nimesema matatizo yote duniani? Unaweza ni quote wapi nimesema hivyo? Usinilishe maneno bwana mdogo kama umeshindwa kujibu hoja walk away maana unajifanya hujaona kuhusu RSF na Somaliland.
THIS IS FALSE.Conspiracy ni ipi? Israel literally inasupport RSF
Haya ni mawazo mfu.Andiko kutoka madrasa,dunia hii ya sasa uislamu ndio chanzo cha haya yote.
Hahaha wewe unamatatizo economist a liberal magazine...!?
Dan Gertler is a Mossad agent disorganizing Eastern Congo soma hiyo article ya the economist ambayo ni gazeti LINALOHESHIMIKA sana kwa mabeberu na pia mmoja wa wamiliki wa gazeti ni Rothschilds ambao ni JEWS.
Sasa mimi na wewe nani anaishi kwenye conspiracies?
Jibu hoja acha kujificha, ulidhani mimi ni bogus eeh? Nimekuja na facts naomba usikimbie. The economist inamilikiwa na myahudi pia BBC ni Pro Israel so naomba ujibu hoja je unakubaliana na Israel kuivuruga DRC, Somalia na Sudan?We ni antisemite na hizo articles unazoweka hapa chini ni liberal articles and antisemite so Sina haja ya kuendelea kujibizana na mtu ambaye anatengeneza hoja with antisemite motives.
Nimekuwekea source, can you provide yours? Maana hapa ni facts tu sio maneno au maoniTHIS IS FALSE.
Gazeti ni la wayahudi, story inasema Dan Gertler ni Mossad anayetumika kuvuna madini DRC kwa kutoa rushwa na kutumia waasi.Hahaha wewe unamatatizo economist a liberal magazine...!?
Wewe tatizo lako unaconnect dots Kila sehemu ukiona jina Israel or Jew unadraw conclusion zako mwenyewe kwamba Jews are behind that specific issue.
Hahaha, kwa hiyo unamaanisha Wayahudi wenyewe wamejitokeza na kuuambia ulimwengu kwamba wao ndio wanahusika na uvunaji wa madini nchini DRC, kutoa rushwa na kutumia makundi ya waasi!?Gazeti ni la wayahudi, story inasema Dan Gertler ni Mossad anayetumika kuvuna madini DRC kwa kutoa rushwa na kutumia waasi.
Sasa wewe ume fanya investigation kuliko the Economist? Kwamba hao wayahudi kina Rothschild ambao ni shareholder wa gazeti hawamjui myahudi mwenzao Dan gertler kuliko wewe mmatumbi kutokea Intabagomba?
You're delusional
-Crusade war.Andiko kutoka madrasa,dunia hii ya sasa uislamu ndio chanzo cha haya yote.
Nani alianzisha UKOLONI na BIASHARA ZA UTUMWA WA MABARA!??Ukitaka hayo kwa Israel , jiandae kizazi chenu kiwe chini ya utawala wa hawa wafia dini
Watu wanakimbilia Ulaya kwasababu ya fursa za kikazi na biashara. Hilo halipingiki Ulaya fursa za kikazi na kibiashara ziko vizuri. Ila sio tofauti na hapo.Hata waislamu wenyewe wanauogopa uislamu,ndio mana wakipata gep hao wanenda ulaya na marekani
-Serikali ya Spain imefukuza mabalozi wa Israel mwezi huu,je Pedro Sanchez muislam??KWa hiyo waislam ndio watu kutoka dini zote?
Pedro Sanchez waziri mkuu wa Spain anachukia wayahudi na ameanza kwa kufukuza mabalozi wa Israel,na yeye ni mkristo,je hilo unalizungumziaje??Na ww tuambie ni wapi umepata ushahidi wa Wayahudi kuchukiwa na dini zote duniani.
Mm n mkristo na siwachukiiPedro Sanchez waziri mkuu wa Spain anachukia wayahudi na ameanza kwa kufukuza mabalozi wa Israel,na yeye ni mkristo,je hilo unalizungumziaje??
Japan wamefuta visa kwa raia wa Israel kutembelea Japan,je hilo unalizungumziaje?
Kwahiyo myahudi anayepingana na harakati za kizayuni hafai kuwa expose wayahudi wenzake!??Hahaha, kwa hiyo unamaanisha Wayahudi wenyewe wamejitokeza na kuuambia ulimwengu kwamba wao ndio wanahusika na uvunaji wa madini nchini DRC, kutoa rushwa na kutumia makundi ya waasi!?
You are not a critical thinker na upo shallow sana endelea na maisha Yako.
Wewe uliyepokea ukristo kutoka kwao ukiwakubali haibadilishi kuwa dunia inawachukia.Mm n mkristo na siwachukii
Waisrael n wayahudi, sio wakristo.Wewe uliyepokea ukristo kutoka kwao ukiwakubali haibadilishi kuwa dunia inawachukia.
Ugiriki kwa wakatoliki waliwazuia mwaka jana walipofika na boti bandari ya Athens. Waliwazuia na kuwatupia chupa na takataka.
Inaonesha dunia haiwapendi wayahudi.
Mwaka jana Uholanzi mashabiki wa Maccabi Haifa walipigwa hadharani mtaani na waholanzi.