Dunia Haiwezi kuwa na Amani endapo kizazi cha Israel bado kipo hai

Mbona unaruka ruka??
Hao wazungu waliokuletea huo ukristo wanawachukia waisrael.
Hapo umeelewa!??
Nchi ya kukuongezea BELGIUM.
Bc USA haiwachukii Israel ndo mana wapo nao kuwapelekea moto
 
Wayahudi wanapingwa na watu kutoka dini zote. Hii sio 1900s, dunia imeamka. Ushahidi ni maazimio dhidi ya Israel kuikalia Palestine kaangalie ni kwanini Israel imepingwa kwa 90% ya nchi zote?
Daah mkuu kwanini mnaaminishwa ujinga na nyie mnaamua kuugandisha kichwani kama vile tuko miaka 90. Haya mambo mnayatoa wapi? Kapingwa na nan? na hizo asilimia unazitoa wapi?

Kuupinga ugaidi ni kazi kubwa sio kila mtu anaweza kuwa na moyo huo ndio maana kunaudanganyifu mwingi kama huo ulioshika
 
Katika kauli zao wenyewe walishasema wanataka kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia. Mungu alivyo mkubwa wanazidi kuishia wao tu. Israel anayohaki ya kujilinda na threats zozote dhidi yake. Hawezi kukaa kinyonge ndio maana wengi wenu mnaumia mambo anayofanya Israel.

Wekeni silaha chini dunia ibaki na amani
 

Attachments

  • 1700916433922.png
    372.6 KB · Views: 15
Sasa kwani wayahudi wote duniani wanakubaliana na Netanyahu or Mossad? Au hujui hata Israel kuna vyama vya upinzani?

Nimekuwekea The Economist maana ni jarida credible na hapo limesimamia ukweli kuhusu uhusika wa Mossad na Israel in destabilisation ya Eastern Congo.

We kimbia sababu huna uwezo wa kujibu hoja zangu, next time njoo na facts usiaibike tena
 
Daah mkuu kwanini mnaaminishwa ujinga na nyie mnaamua kuugandisha kichwani kama vile tuko miaka 90. Haya mambo mnayatoa wapi? Kapingwa na nan? na hizo asilimia unazitoa wapi?
Mkuu ukitaka kujifunza angalia facts sio hisia. UN resolution za kupinga Israel kuikalia Palestine kinyume cha makubaliano ya 1967 and beyond. Nchi zaidi ya 90% zilizopiga kura zimeipinga Israel kuikalia ile ardhi ya wapalestina, Syria etc
Hapa nimekuwekea resolutions 15 za mwaka 2025 alafu do the maths kwenye hizo votes.

 
Eid Mubarak sheikh
 
Kuupinga ugaidi ni kazi kubwa sio kila mtu anaweza kuwa na moyo huo ndio maana kunaudanganyifu mwingi kama huo ulioshika
Ugaidi ni nini? Maana Israel pia inafadhili ugaidi. Mfano inafadhili PKK (Turkey), SDF (Syria), YPG (Iraq) ambazo zipo listed kama magaidi na CIA.

Pia Rais wa sasa wa Syria yaani Al Jolani alikua mwenyekiti wa Al qaeda huko Syria na hilo kundi lake HTS/Al Nusra front ni designated terrorists kwa mujibu wa CIA. Sasa Israel walimuunga mkono kumpindua Al Assad, je huko sio kufadhili ugaidi?

Hivi Iran ingemfadhili mwenyekiti wa Al Qaeda kupindua Saudi Arabia asingekua amepigwa nuclear tayari?
 
Kwahiyo myahudi anayepingana na harakati za kizayuni hafai kuwa expose wayahudi wenzake!??

Bro point zako zimeonesha ni MPUMBAVU. Unaletewa ushahidi unadai ni za kuokoteza.
Watoto wako wasije kurithi akili zako ni MZIGO.
Wewe ndo mbumbu na hujui mjadala huu umetokea wapi. So kama ni hivo kwanini mnawalabel wayahudi wote kwa makosa ya baadhi ya wayahudi, kwann mnafikiria Hadi kutumia nyukilia kwa nchi ya Israel kuwauwa wayahudi wote wakati ni baadhi yao wenye itikadi za kishetani.

You are just a fool if you cannot see the logic behind shida mnaongozwa na antisemite motives na itikadi kali za kiislamu(jihad) kujenga hoja zenu f

Fool.
 
Katika kauli zao wenyewe walishasema wanataka kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia
Nani alisema na lini unaweza weka hapa evidence!! Mnapenda empty rhetorics tu kuliko ushahidi. Hao Israel wamewahi suggest siku wakipata existential threats basi wata activate "SAMSON OPTION" ambayo ni kuhakikisha wakipotezwa basi dunia nzima nayo ipotee nayo kwa kurusha nuclear bombs kwenye miji yote mikubwa hapa duniani. Hii itasababisha nuclear winter, vifo, magonjwa na mazao kupotea kabisa. But since then sijawahi ona wakishutumiwa na dunia kwa kutaka kuifuta nchi zote kwenye ramani ya dunia.
Huu unafiki wenu ni kwa faida ya nani?
Una maoni gani juu ya samson option? Je ni hatari kuliko nchi moja tu kupotezwa? Ila kwanini hamkemei
 
"Chuki wanayo hao wayahudi ndio maana wanavuruga hii dunia"

Kumbe sio wayahudi wote sasa hapa ulimaanisha nini!?

Kama ni chuki weka kwa baadhi ya individuals sio kuwalabel wayahudi wote kwamba ndo wanaoivuruga Dunia.

Kuna hadi wajinga wanasema et Hitler ilibidi awaue wayahudi wote ili Dunia iwe salama. Hayo ni mawazo ya kishetani kama na wewe unafikiria hivo then usilalamike ukiona ushetani anaoufanya Myahudi kwa watu wengine kwasababu wewe pia una the same mentality you are the same.

Evil antisemite.
 
UN security Council 90% ya viti vinampinga Netanyahu.
Kuna kikao kimoja cha UNSC alipoanza kuhutubia Netanyahu 99% ya viongozi waliondoka.
 
Hivi una habari kama Israel na Iran walikua marafiki??
1995 Israel ndio ilianza kuua wanasayansi na wasomi wa Iran ili Iran isijitegemee kisayansi na kiuchumi.
Nani hapo kamuanza mwenzake??
Basi iache Iran.
-1960 Lebanon ilimkosea nini Israel hadi akawaundia Beirut Crisis?
-1958 Syria ilimkosea nini Israel hadi akaiundia Dmascus Crisis??

Hivi unadhani Spain ni wajinga kuwafukuza Israel na kukata nao uhusiano wa kidiplomasia??
Au wewe unawajua Israel kuliko Spain ambao wanajua hadi kuhusu zionism movement??
 
Kumbe sio wayahudi wote sasa hapa ulimaanisha nini!?
Hakuna kitu ni 100%, I believe 90% of Jews support whatever nonsense is done by Netanyahu ila hao 10% wanapinga zionism. The Economist ni gazeti credible ila nimeweka disclaimer kuwa mmiliki ni myahudi ili usije sema nimeokoteza taarifa kwenye viblog uchwara au pro-iran media kama ulivyodai huko juu kuwa nimetoa kwenye Liberal media!!!
 
Asipokuelewa hapo mkuu funika kombe.
Wengi wanaendeshwa na ushabiki pasi na facts.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…