Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hawa ni majangili tupuWasomi ambao wanaamini kwa kuvaa suti na tai ndio ataheshimika zaidi kwa jamii hata kama yupo kwenye nchi yenye joto Kali !!!
Nakubaliana na weweZamani apakuwepo na Google nisingepoteza mda kutafuta vyeti ambavyo si vitumii nimekuja kutoka kimaisha kwa akill na sio vyeti
Mkuu kwakusoma kwako hata kama ulipata one ya point 3 six utaweza kufika hata robo ya mbowe ? Usimbeze usiye mjua vizuriHell no, Chama gani hicho? Maana sijafuatilia biography za viongozi wa chama vya siasa mbali mbali tokea JPM atutoke. Nachojua Mbowe ana div 0 ya Form 6, sio vizuri kusema sema, ila sasa mtu kama kapata Div 0, tuiteje?
Una bifu na ccm? Maana hayo mapopoma yapo huko kijaniniFanyeni mabadiliko maana hata siasa ni sayansi.
Mnatakiwa kwenda na sayansi na teknolojia.
Siasa pia ni Sayansi inayohitaji elimu ili kujua mahitaji ya wakati.
Sijui tu wanachama wenu wako vipi kama viongozi ndio wako namna hiyo.
Basi wewe msomi andika hayo kwa Kiingereza.Fanyeni mabadiliko maana hata siasa ni sayansi.
Mnatakiwa kwenda na sayansi na teknolojia.
Siasa pia ni Sayansi inayohitaji elimu ili kujua mahitaji ya wakati.
Sijui tu wanachama wenu wako vipi kama viongozi ndio wako namna hiyo.
Umeamua kuidhalilisha elimu kwa sababu ya kumtetea gaidi. Kumbe aliyetoa huu uzi umemthibitishia yale aliyosema...kama Mwenyekiti yuko hivi, wanachama wakoje?
Elimu itabaki na hadhi yake tu.
Kuchapa kazi, ubunifu, uadilifu ni lazima lkn elimu ni muhimu pia
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Pole kwa kukimbia umandeTena wasomi ndiyo wajinga zaidi kuliko hata wasio wasomi