Dunia hii ya sayansi na teknolojia Kiongozi wa chama form 4, katibu form 6 mtatoboa kweli? Wanachama si ndio itakuwa bora liende? Fanyeni mabadiliko

Dunia hii ya sayansi na teknolojia Kiongozi wa chama form 4, katibu form 6 mtatoboa kweli? Wanachama si ndio itakuwa bora liende? Fanyeni mabadiliko

Hell no, Chama gani hicho? Maana sijafuatilia biography za viongozi wa chama vya siasa mbali mbali tokea JPM atutoke. Nachojua Mbowe ana div 0 ya Form 6, sio vizuri kusema sema, ila sasa mtu kama kapata Div 0, tuiteje?
Mkuu kwakusoma kwako hata kama ulipata one ya point 3 six utaweza kufika hata robo ya mbowe ? Usimbeze usiye mjua vizuri
 
Fanyeni mabadiliko maana hata siasa ni sayansi.

Mnatakiwa kwenda na sayansi na teknolojia.

Siasa pia ni Sayansi inayohitaji elimu ili kujua mahitaji ya wakati.

Sijui tu wanachama wenu wako vipi kama viongozi ndio wako namna hiyo.
Una bifu na ccm? Maana hayo mapopoma yapo huko kijanini
 
Fanyeni mabadiliko maana hata siasa ni sayansi.

Mnatakiwa kwenda na sayansi na teknolojia.

Siasa pia ni Sayansi inayohitaji elimu ili kujua mahitaji ya wakati.

Sijui tu wanachama wenu wako vipi kama viongozi ndio wako namna hiyo.
Basi wewe msomi andika hayo kwa Kiingereza.
 
Umeamua kuidhalilisha elimu kwa sababu ya kumtetea gaidi. Kumbe aliyetoa huu uzi umemthibitishia yale aliyosema...kama Mwenyekiti yuko hivi, wanachama wakoje?
Elimu itabaki na hadhi yake tu.
Kuchapa kazi, ubunifu, uadilifu ni lazima lkn elimu ni muhimu pia

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app

Kwa ukhanithi unaofanywa na wasomi ni aibu hata kujiita msomi.
 
Back
Top Bottom