Dunia hii ya sayansi na teknolojia Kiongozi wa chama form 4, katibu form 6 mtatoboa kweli? Wanachama si ndio itakuwa bora liende? Fanyeni mabadiliko

Kwa Tanzania hakuna tofauti ya msomi na ambaye hajaenda shule, tofauti ipo kwenye uchapa kazi na vipawa toka kwa Mungu. Nchi yetu toka imeanza inaongozwa na wasomi, lakini bado nchi ni masikini. Kibaya zaidi hata hao wasomi hawajui kwanini sisi ni masikini! Tafuta dongo lingine maana hili halikutoi.

Na kwa taarifa yako elimu yetu ni mbovu kupita maelezo, kiasi kwamba inazalisha wajanja wajanja, na watu wenye uwezo duni, matokeo yake watu wanaishi kwa kujipendekeza zaidi kwani ndio kinga ya wenye uwezo mdogo, na mavyeti ya kukariri. Najuta hata nilienda chuo kikuu kufuata nini kwa aibu ninayoona toka kwa tunaojiita wasomi.
Yaani ukiingia humu makazini ndo utajionea picha halisi ya hao wanaojiita wasomi nilikua sielewi kwanini nchi inakua masikini na watu wanasema wameenda shule....ila baada ya kuajiriwa ndo nimeelewa , kwa sasa naona afadhali hata ya hao walioishia madarasa ya chini au hawakuingia kabisa darasani,, wasomi wetu wengi wamekariri tu mambo tena ni watu rigid kwa mabadiliko kuliko hata ambao hawakwenda shule, kwa hali hii tuna haki ya kua masikini tokea tupate uhuru, wasomi wengi viazi tu na ni watu wa kujipendekeza elimu haijawasaidia lolote
 
Uko sahihi kabisa, unakuta jitu linajifanya lisomi lakini linaogopa kufukuzwa kazi ile mbaya. Halafu unakuta kinacholinda ajira yake sio elimu yake bali ni ushirikina, majungu, kujipendekeza, wizi na hila. Huo ujinga wa kujinyenyekeza ulinishinda, ikabidi nijiajiri kwenye biashara ambazo wala situmii elimu niliyosomea na niko poa tu.
 
Hell no, Chama gani hicho? Maana sijafuatilia biography za viongozi wa chama vya siasa mbali mbali tokea JPM atutoke. Nachojua Mbowe ana div 0 ya Form 6, sio vizuri kusema sema, ila sasa mtu kama kapata Div 0, tuiteje?
Duuh mjuba aligonga nunge kabisa 😃😃.
Kama ni kweli arudie mtihani apate cheti sasa.
 
Dah!! ndugu bado upo katika zama za giza!!Kwa kifupi umekariri maisha!!! Elewa kitu kimoja tu, huwezi kumtofautisha mtu mwenye elimu kubwa na elimu ndogo katika nchi yetu kwa sasa!!!

Huyu anayejiita mwenye elimu kubwa atajisifia ufaulu wake wa darasani tu zaidi ya hapo ni mweupe tu kichwani!!

Mtu mwenye elimu ya kidato cha nne na sita wa nyakati hizi kwa ulimwengu wa sayansi na teknolojia wapo vizuri kwa sababu ni dunia yao wanayoiishi.Mfano mzuri mwangalie mwanao kwenye matumizi ya simu janja,tv,compyuta n.k. Halafu nani kakudanganya ukiwa msomi lazima ujue sayansi na teknolojia???

Ujumbe: Akili na elimu ni vitu viwili tofauti.
 
Mnawalalamikia wasomi wa Tanzania kua hawajatufikisha popote, vp kuhusu wasomi wa inchi nyingine za Africa?msilaumu usomi wao, mlaumu mfumo wao wa Elimu tulio achiwa Africa ambao ndugu zetu wa ng'ambo hawataki ubadilike ili waendelee kututawala remotely.
Km wasomi wetufikisha hapa then wasio wasomi hawata tusogeza ht hatua moja. Km ww ni muajiri toa ajira kwa msomi na kwa asie msomi then utaona matokeo yake. Tunalaumu wasomi kwakua hatujawahi jaribu wasio wasomi.
Kuna msemo unasema ukiona Elimu ni ghali then jaribu ujinga.
 
Dah!! ndugu bado upo katika zama za giza!!Kwa kifupi umekariri maisha!!! Elewa kitu kimoja tu, huwezi kumtofautisha mtu mwenye elimu kubwa na elimu ndogo katika nchi yetu kwa sasa!!!

Huyu anayejiita mwenye elimu kubwa atajisifia ufaulu wake wa darasani tu zaidi ya hapo ni mweupe tu kichwani!!

Mtu mwenye elimu ya kidato cha nne na sita wa nyakati hizi kwa ulimwengu wa sayansi na teknolojia wapo vizuri kwa sababu ni dunia yao wanayoiishi.Mfano mzuri mwangalie mwanao kwenye matumizi ya simu janja,tv,compyuta n.k. Halafu nani kakudanganya ukiwa msomi lazima ujue sayansi na teknolojia???

Ujumbe: Akili na elimu ni vitu viwili tofauti.
Acha uongo ndugu, yaani darasa la saba umlinganishe na degree, huu ni ukosefu mwingine wa elimu. Siwezi kuzungumza mengi katika hili. Ila tuache kudanganyana.
 
Fanyeni mabadiliko maana hata siasa ni sayansi.

Mnatakiwa kwenda na sayansi na teknolojia.

Siasa pia ni Sayansi inayohitaji elimu ili kujua mahitaji ya wakati.

Sijui tu wanachama wenu wako vipi kama viongozi ndio wako namna hiyo.
CCM imejaa madokta na maprofesa ambao wameisambaratisha nchi kutoka kwenye maisha bora ya miaka ya sitini na kabla na kuwa maisha ya ukiwa bila viwanda na elimu duni isiyo na muelekeo, wao ni kupanga kuiba kura za 2025!
Mleta Post amka achana na kumsifu mama, dai serikali ifufue viwanda ambavyo CCM iliviua.
 
Wasomi wengi wa bongo ni watu wa hovyo sana kifikra, na wako shallow karibia kwenye kila jambo.
Yaani ukiingia humu makazini ndo utajionea picha halisi ya hao wanaojiita wasomi nilikua sielewi kwanini nchi inakua masikini na watu wanasema wameenda shule....ila baada ya kuajiriwa ndo nimeelewa , kwa sasa naona afadhali hata ya hao walioishia madarasa ya chini au hawakuingia kabisa darasani,, wasomi wetu wengi wamekariri tu mambo tena ni watu rigid kwa mabadiliko kuliko hata ambao hawakwenda shule, kwa hali hii tuna haki ya kua masikini tokea tupate uhuru, wasomi wengi viazi tu na ni watu wa kujipendekeza elimu haijawasaidia lolote
 
Hell no, Chama gani hicho? Maana sijafuatilia biography za viongozi wa chama vya siasa mbali mbali tokea JPM atutoke. Nachojua Mbowe ana div 0 ya Form 6, sio vizuri kusema sema, ila sasa mtu kama kapata Div 0, tuiteje?
😀😀😀
 
M
Fanyeni mabadiliko maana hata siasa ni sayansi.

Mnatakiwa kwenda na sayansi na teknolojia.

Siasa pia ni Sayansi inayohitaji elimu ili kujua mahitaji ya wakati.

Sijui tu wanachama wenu wako vipi kama viongozi ndio wako namna hiyo.
Mwenye CV ya Chologolo tafadhali.
 
Hell no, Chama gani hicho? Maana sijafuatilia biography za viongozi wa chama vya siasa mbali mbali tokea JPM atutoke. Nachojua Mbowe ana div 0 ya Form 6, sio vizuri kusema sema, ila sasa mtu kama kapata Div 0, tuiteje?
Na mumeo ana div gani F4?
 
Acha uongo ndugu, yaani darasa la saba umlinganishe na degree, huu ni ukosefu mwingine wa elimu. Siwezi kuzungumza mengi katika hili. Ila tuache kudanganyana.
Wewe ndiyo umekariri kuwa darasa la saba hana akili na mwenye shahada ana akili. Badilisha mtazamo ndugu kwani hiyo ni dhana potofu.

Narudia tena wasomi wa Tanzania ya sasa (wengi wao siyo wote) watajivunia division one, two, three, degree,G.P.A, Masters, PHD n.k plus kiburi,dharau,majivuno,kebehi n.k. Nje ya hapo ni weupe kichwani. Ukielewa maana ya akili kwa dunia ya sasa utaelewa namaanisha nini.
 
Back
Top Bottom