Dunia ijiandae kushuhudia kile kitakachompata Israel -Tehran

Acha UPUNGUANI WEWE.
ANTI BALAKA wanatambulika kama kikundi cha kigaidi UN na AU.
Kwasababu Central African Republic ilikua na amani ila Anti BALAKA walianzisha kikundi cha vijana na kufanya fujo walikamata waislam wakiua hadi vitoto vichanga na kubakwa hadi wasichana wadogo.
Wakidai hawataki kuongozwa na rais muislam na hawataki kuongozwa na waislam.
Ilhali kabla ya hapo hakuna vurugu zilizowahi kutokea za kidini hapo Central African Republic.
Tambua unaongea na Watu wazima wanaojua mambo na wanaofuatilia mambo,hivyo usiropoke tutakuwasha makofi.
 
Zungumzia na Kikundi cha Seleka, ambacho ndio kilianza kabla ya Anti Baraka.
Unajua kilifanya nini ?
 
Ayatollah safari hi kawachezea game hata US hajui sa ngapi vitu vina land Israel, safari zile aliwachia na kuwatangazia. Safari hi nyaa yupo kwenye tundu lake pale Tela Aviv anaogopa Iran wasimflush πŸ˜„
Iran bure kabisa, wanaingiliwa hadi chumbani. Believe me Ayatollah is living on a borrowed time.
 
Iran bure kabisa, wanaingiliwa hadi chumbani. Believe me Ayatollah is living on a borrowed time.
Hahaha sa we jiulize Hezbullah amejuwa vipi siri za viwanja vya ndege vya Israel, silaha wana installed wapi, kama hana watu ndani ya jeshi la Israel linawapa infomation ndio anapeleka Houdi Houdi kuchukua target za kupiga.

Kila nchi ina wanafiki haswa hilo jeshi la Pampers mpaa silaha wanawapa Hamasi wakipewa tu unga na bangi. Hilo ndio jeshi bure kabisa.

Hao Israel bila haya mataifa angeisha ondoka zamani sana hapo US. UK, Jordan, Egypt, Saud Arabia, UAE, Baharain na Morocco wachana wengine kama kina Canada, Australia, France. Germany na Italy.
 
Zungumzia na Kikundi cha Seleka, ambacho ndio kilianza kabla ya Anti Baraka.
Unajua kilifanya nini ?
Anzia kuanzia 1965 CAR ilipoanza kupinduana serikali yake kwa matabaka ya kikabila na kidini.
Kesha ndio uje 2013 Seleka na Anti BALAKA walivyopigana pale Bangui na Seleka kuibuka na ushindi kwa kusaidiwa na South Africa.
 
Mkuu umu kuna utoto mwingi sana, mtu anaandika ujinga mpaka unashangaa, watu anashangilia vita kama yanga na simba, wajinga wengine wanausisha hayo yanayoendelea hapo mashariki ya kati na dini
ukiona mtu anashabikia mambo kama hayo jua fika hana la kufanya anatamani hata dunia iharibike leo kwakua hana la kupoteza ni hatari sana mtu anaishi bila sababu hapa duniani
 
ukiona mtu anashabikia mambo kama hayo jua fika hana la kufanya anatamani hata dunia iharibike leo kwakua hana la kupoteza ni hatari sana mtu anaishi bila sababu hapa duniani
πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜›
 
Hivi hiyo machine inakamataje hayo makombora?
Hiyo mashine haikamati ila inayasambaratisha kwa kuyalipua (kuyaunguza)hayo makombora yakiwa huko huko angani kabla hayajatua ardhini na kusababisha madhara.
 
Hiyo mashine haikamati ila inayasambaratisha kwa kuyalipua (kuyaunguza)hayo makombora yakiwa huko huko angani kabla hayajatua ardhini na kusababisha madhara.
Baada ya kombora kurushwa inapaa angani ama maana naona kama ni kigari kipo ardhini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…