Dunia ijiandae kushuhudia kile kitakachompata Israel -Tehran

Huwa nawashangaa sana wanaosema itatokea WW3, aisee sasa hv hakuna nchi yoyote kubwa inayotaka vita hasa vita na mkubwa mwenzake, tutaendelea kusikia tuu vita ya Russia na Ukraine na hapo Mashariki ya Kati, ila tusahau khs China, Russia, Iran na USA kupigana
 
leo inaenda siku ya 4, hakuna lolote, Iran hawezi kufanya hayo makosa sasaivi, anajua wamemtegea ndoana. ndio maana myahudi anazidi tu kutindua kule lebanon na gaza kila siku, kaweka mtego wake anasubiri tu mtu atie ndoana mdomoni. Israel haiwezi kuishi na threat ya Iran muda wote, wameamua kama vita na iwe vita manake hata wasipopigana kuna siku mbeleni watapigana tu na jinsi wanavyozidi kuahirisha vita ndivyo iran inavyojijenga. juzi kamanda wake mwingine kule syria aliuawa na hakuna kitu.
 
Mambo yanazidi kunoga
IMG_20240806_110454.jpg
 
Waswahili wa masjid ubwabwa na maneno ya kwenye khanga mko vizuri sana hata zaidi ya makafiri wa Iran.🤣🤣🤣🤣
 
Israel on high alert in anticipation of Tehran retaliation 😂
-------------------------
Unaambiwa wayahudi hata chooni hawezi kwenda. Wamekaa wakisubiria mashambulizi kutoka kwa mahasimu wao Iran na Hezbollah mpaka
- imebidi wa upgrade mfumo wao wa kujilinda Iron dom Air defense system).
-wengi wanalala na kushinda kwenye maandaki na underground spaces za kupaki magari maofisini
 
leo inaenda siku ya 4, hakuna lolote, Iran hawezi kufanya hayo makosa sasaivi, anajua wamemtegea ndoana. ndio maana myahudi anazidi tu kutindua kule lebanon na gaza kila siku, kaweka mtego wake anasubiri tu mtu atie ndoana mdomoni. Israel haiwezi kuishi na threat ya Iran muda wote, wameamua kama vita na iwe vita manake hata wasipopigana kuna siku mbeleni watapigana tu na jinsi wanavyozidi kuahirisha vita ndivyo iran inavyojijenga. juzi kamanda wake mwingine kule syria aliuawa na hakuna kitu.
Kukaa kimya kwa Tehran kunazidi kumpa kiwewe Netanyau
 
Sasa hivi Hezbullah kafunua huko kwenye mshono kabisa kwenye Base yao katumia Missile ya Burkan .

US anamuambia Iran mpige kidogo Iran ukimpiga sana eti Iran atapigwa kipigo hajawahi kukiona 😄

Huyu US Kwanza atuambie zile Carriers zake mbili zimeripuliwa jana vipi, ataficha mpaka lini.
 
Adios Amigo unakuwaga na akili?
 
Adios Amigo unakuwaga na akili?
Akili zitatoka wapi na wengine wanasema binadamu ni Mungu. Bora mkazime kichwa cha kondoo mnaweza pata akili angalau, na siku zingine mnaweza kubahatika mkapata kama zangu kuliko kukosa kabisa 😄
 
Wewe Mungu ushawahi kumuona
 
Wewe Mungu ushawahi kumuona
Tuliwachia wakristo walikuwa wanapiga naye story chalinze. Sisi Waislam Mungu wetu tunamini yeye anakuona wewe huwezi muona kama alivyo sema Yesu. Hakuna binadamu atakaye weza Muona Mungu akaishi. Nyie wakristo Mungu wrnu.mnasema alizaliwa kwenye zizi la ngo'mbe lazima mtamuona tu 😄
 
Allah anaonewa huko Gaza
 
Allah anaonewa huko Gaza
Kwani Allah ni sawa sawa na binadamu.mpaa awe yuko Gaza, huyo labda cousin yake na yule Mungu wenu aliye zaliwa kwenye zizi la ngo'mbe. 😄

Nimeisha kuambia sisi na Yesu Mungu wetu haonekani yeye anakuona.
 
Back
Top Bottom