Dunia imeanza kuelewa ni kwanini CHADEMA wanapigania kufa na kupona Katiba Mpya

Hayo ni mawazo yako finyu afadhali ungeuliza sababu
Mawazo yangu finyu yanaona sababu za bunge kujaa wabunge wa NEC CCM ni hii katiba mbovu tuliyonayo. Ukiwa mpinzani sahau nafasi hata ya kuwa kiongozi wa mtaa. Anaeitetea hii katiba ni mmoja kati ya wale wachache wanaonufaika nayo.
 
Hivi hata ukitumia akili ndogo tu, hayo mataifa yawasaidieni ninyi kupata katiba kwa manufaa yenu na raia wa nchi ambazo mmeona hata kupitisha sheria ya mageuzi kuhusu maliasili ilikuwa kama kutenda kosa la jinai?

Unapenda mno kupata madaraka kwa nguvu...Na kusema ukweli muombe Mungu isijetokea mimi nikawa Rais wa nchi hii, nitakuwa zaidi ya Hayati JPM....You arw so obsessed na kutwaa madaraka hata kwa gharama za maisha ya watu...Mungu na awahukumu saqasawa na dhamira zenu....I hate even being in one country na watu wa aina yenu; Wasaliti wakubwa!
 
Mawazo yangu finyu yanaona sababu za bunge kujaa wabunge wa NEC CCM ni hii katiba mbovu tuliyonayo. Ukiwa mpinzani sahau nafasi hata ya kuwa kiongozi wa mtaa. Anaeitetea hii katiba ni mmoja kati ya wale wachache wanaonufaika nayo.
Kumbe mnalilia vyeo?
 
Reactions: Ame
Duniani kurekebisha na kubadilisha katiba ni kitu cha kawaida. Watu wote wanawashangaa CCM kuwa mbogo wakisikia mabadiliko ya katiba.
Kwa kweli inashangaza mno, namna CCM wanavyoshupalia shingo wanaposikia Chadema, wakipigania kufa na kupona uundwaji wa Katiba mpya.

Wananchi tunajiuliza hivi kuna nini hadi hawa maccm yakatae uundwaji wa Katiba mpya, ambapo ni hitaji kuu la wananchi kwa hivi sasa??
 
Kwa kweli inashangaza mno, namna CCM wanavyoshupalia shingo wanaposikia Chadema, wakipigania kufa na kupona uundwaji wa Katiba mpya.

Wananchi tunajiuliza hivi kuna nini hadi hawa maccm yakatae uundwaji wa Katiba mpya??
Tatizo siyo kupata Katiba lakini noa ya hao wanaopigania katiba....Kwao katiba inahusu kuingia madarakani na wala siyo welfare ya watanzania...Wameshakuwa chama kikuu cha upinzani kwa zaidi ya muongo moja watuonyeshe walichowahi kukifanya chenye tija zaidi ya kupinga tu kila kitu na kugeukageuka kama vinyonga katika hoja zao....CCM ikilegea na kukabidhi nchi kwa watu wa jinsi hii, vizazi vyetu havitawasamehe!
 
Hii serikali ya mama imechafuka mapema mno kimataifa sababu ya kutofuata katiba. Mama amefeli kabisa. Urais ni rahisi kabisa kama rais atazingatia katiba na sheria. Lakini awamu ya 5 na 6 zimetia fora kwa uvunjifu wa katiba na sheria na ndiyo chanzo cha matatizo yote
 
Watu ambao wapo radhi kufanya lolote ilimradi wapate wanacho hitaji...HATARI SANA KWA USALAMA WA TAIFA HILI!
 
Acha kulazimisha si wote bali baadhi. Mfano mimi sioni umuhimu wa katiba mpya
Wewe bado unaishi kwa shemeji yako mme wa dadako unashinda sebureni ukiangalia tamthilia na usiku unalala sebureni huku ukisikiliza dadako anavyomkatikia mme wenu chumbani huwezi kujua chochote kuhusu maisha.
 
Una uhakika gani na una hiki sema? Kama kwa miaka 60 chama tawala kimeshindwa kuisimamia serikali ili hata kupata maji kila kijiji na nyumba bora kwa raia tutegemee ni nini zaidi?
 
Una uhakika gani na una hiki sema? Kama kwa miaka 60 chama tawala kimeshindwa kuisimamia serikali ili hata kupata maji kila kijiji na nyumba bora kwa raia tutegemee ni nini zaidi?
Nina uhakika na zaidi kwakua I was once with these people!
Nilijitolea kwa jasho na damu kukijenga kwa fikra na mawazo kisha sikutaka hata kuwa na nafasi hata moja yakujifaidisha, lakini hata yale mapendekezo ya maana hawakuyataka wala kuyatilia maanani, zaidi ya kugawana vyeo na mapato wasiyoyatolea jasho maarufu kama ruzuku to suit their personal needs!
 
Chama hiki na watu wake wanatumia weakness za raia kupenyeza agenda zake mfu zisizoitakia mema nchi yetu...Vijana amkeni, jiungeni na chama chenye institution iliyojijenga vizuri na chenye misingi imara ya taifa hili ili kuwaondoa wale wachacje wanaotaka kukitumia kwa faida binafsi. Hapo mtakuwa mnaitendea haki nchi hii...Huko mliko mnatumia tu na ole wenu mkishiriki hii dhambi ya kuiuza nchi yetu kwa wageni!
 
Una uhakika gani na una hiki sema? Kama kwa miaka 60 chama tawala kimeshindwa kuisimamia serikali ili hata kupata maji kila kijiji na nyumba bora kwa raia tutegemee ni nini zaidi?
Dawa ni kuingia kwa wingi kukiboresha chama hicho kilichopo ambacho atleast kimeonyesha kubadilika kila awamu...Hii ni our own style of democracy...CCM haijawahi kuwa ile ile unaona trend...Which means ndani ya CCM kuna democracy illa nje ya CCM hakuna chama kinachoweza kuizidi CCM kwa strategies na processes, CCM ni institution imara kabisa naweza kusema imara kuliko hata serikali yenyewe....CCM ilichokosa ni vijana ambao walidanganywa na vyama vilivyoundwa kwa malengo ya kutugawanya na kutu distract kwenye maendeleo hivyo kubakiza wengi ambao ni ma opportunists na wenye kuwa na God fathers...Hata hivyo trend ilibadilika alipoingia hayati JPM na kwa sasa CCM ina vijana wazuri lakini bahati mbaya fulani hivi bado wengi hawajapata strategic positions.
 
Mawazo yangu finyu yanaona sababu za bunge kujaa wabunge wa NEC CCM ni hii katiba mbovu tuliyonayo. Ukiwa mpinzani sahau nafasi hata ya kuwa kiongozi wa mtaa. Anaeitetea hii katiba ni mmoja kati ya wale wachache wanaonufaika nayo.
Very true
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…