Dunia imebadili wengi, alisema ananipenda leo ananiambia nitoe Mimba, hivi kweli!!

We zaa tu baadae atakutafuta mwenyewe sku hzi chngamoto za uzazi ni kubwa mno kwa wanawake
 
Ni
Maumivu ya muda mchache TU mtoto ni Raha saàana sema wewe mapenzi ndo yanakuumiza komaa
 
Pole sana , watu wengi kwa sasa si sahihi linapokuja swala la maslahi binafsi na uwajibikaji.

Pole kwa kukutana na mtu wa aina hio , kwa muda mfupi utapitia changamoto kidogo ngumu ya ujauzito na uzazi ila hapo mbele kidogo utamfurahia mwanao.

Atakurudia kwa kukuomba radhi japo inauma ila kuwa tayari kusamehe na usimnyime mwanao baba yake.

Ujaliwe uwezo .
 


Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa na UPENDO na mtu na kuwa na MAPENZI na mtu (i.e UPENDO na MAPENZI ni vitu viwili tofauti na watu wengi wa dunia hi wanachanganya Sana hivi vitu ambavyo Hakika vimebeba hatima zetu)


Kikanuni lazima UPENDO uanze then baadae ndiyo MAPENZI yanafuata B'se UPENDO ni kama mzizi wa MAPENZI i.e UPENDO ukiwa mzizi utakuwa unanayahuhisha MAPENZI kila wakati hivyo MAPENZI hayawezi kupungua wala kuisha kwasababu MAPENZI ni dhaifu Sana
 
Pole kwa changamoto mdogo wangu, wewe akili yako weka kwenye hali yako ya sasa mpaka ujifungue kuwa single maza sio mwisho wa maisha, mbona mimi ni single baba na maisha yanasonga tu?
 
Huwa Nikitoa huu ushauri naambiwa muuaji ila naelewa aina ya jamii nayotokea..... ningekuwa mwanamke mimba ya bahati mbaya naitoa....ilimradi haijafika miezi 3....naitoa kabisa.

Utakuta mtu anayekuambia usitoe mimba ya bahati mbaya ni mzinzi, mwizi, kahaba, n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…