Black nyeti
JF-Expert Member
- Jun 30, 2025
- 692
- 1,131
Wakati mimi ndio mjuzi na nakufahamu sana huku kwenye nyeti za kila ainaKwa sababu wewe ni nyeti nyeusi hauwezi elewa bwashee.
Wakati mimi ndio mjuzi na nakufahamu sana huku kwenye nyeti za kila ainaKwa sababu wewe ni nyeti nyeusi hauwezi elewa bwashee.
Unavo isemea damu utasema wewe ndio boss wa damuDamu inaongea Mkuu, Damu inalia Mkuu, Damu inanena mkuu hivyo itakushitaki na kukulilia na kukunenea milele kwa yale uliyotenda.
kumbuka Damu iliyopo tumboni kwa mwanamke Sio yake yupo mwenye hati miliki ya hiyo Damu Kwahiyo ukiimwaga ardhini hiyo Damu itakuwa ikimlilia mmiliki wake...!! Itakuwa ikikushtaki kwa mmliki wake...!!! Itakuwa ikinena kwa mmliki wake...!!! kukuhusu wewe ulieimwaga ardhini tofauti na kusudi la mmiliki
Mnafiki huyo anaitetea damu kana kwamb ni nduguShetani wa kwenye biblia na Mungu muuaji wa kwenye biblia nani anadaiwa damu nyingi za mauaji , na alikua anatoa oda mpaka vitoto viuwawe ?
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤨🤨🤨🙄🙄🙄🙄Kuua mtoto ni sawa na kujiua wewe mwenyewe.
NdioTendo lolote la ndoa lengo kuu ni kuendeleza uhai. Mimba kutokea si bahati mbaya hilo ndilo lengo lake Kwa asili na si starehe. Hivyo hakuna mimba ya bahati mbaya.
Huwa Nikitoa huu ushauri naambiwa muuaji ila naelewa aina ya jamii nayotokea..... ningekuwa mwanamke mimba ya bahati mbaya naitoa....ilimradi haijafika miezi 3....naitoa kabisa.
Utakuta mtu anayekuambia usitoe mimba ya bahati mbaya ni mzinzi, mwizi, kahaba, n.k
Ndio wewe muuaji mkuu. Damu ya watoto itakulilia Kwa kuendelea kutoa ushauri huu, unashiriki uuaji.Huwa Nikitoa huu ushauri naambiwa muuaji ila naelewa aina ya jamii nayotokea..... ningekuwa mwanamke mimba ya bahati mbaya naitoa....ilimradi haijafika miezi 3....naitoa kabisa.
Utakuta mtu anayekuambia usitoe mimba ya bahati mbaya ni mzinzi, mwizi, kahaba, n.k
😄😄 maisha hayahitaji hasira mkuu.Haya ndio madhara ya kufikiria kwa kutumia ubongo wa makalioni
HayaNdio
Ndio wewe muuaji mkuu. Damu ya watoto itakulilia Kwa kuendelea kutoa ushauri huu, unashiriki uuaji.
Tutetee uhai Kwa watoto walio tumboni tusitumie udhaifu wao kuwa kwao tumboni na kushindwa kujitetea tuwaangamize.
Ile dhambi ya kutoa mimba inamuandama msichana daima haishii hapo. Tukubali matokeo yaliyopelekea mimba tunajua.
Hata jamii haimuoni vizuri mtu aliyetoa mimba kuliko aliyebeba mimba.
Unaumia mpaka mtoto anapata stress baadae mnasema.Nilipokutana naye kwa mara ya kwanza aliniambia ananipenda sana, na amekosa maneno mazuri ya kuweza kueleza ni vipi ananipenda......
Baada ya muda kupita niliupokea upendo wake na nilimpenda haswaa/ tulipendana
Yakatokea matunda ya upendo wetu
UPT - POSITIVE
nikamweleza mwanaume anayenipenda
Majibu yake yalikua haya
Nina familia nina mke na watoto wawili
Akinionyesha na ushahidi wa picha
Huku akisema hakuwahi kufikiria kuwa na mtoto nje ya ndoa yake na asingeweza kunioa hivyo nitoe huo ujauzito
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 27
Kwenye maisha yangu tangu kuzaliwa kwangu sikuwah kupata mimba kwenye mahusiano yangu ya huko nyuma.
Na sikuwahi kutumia chochote kujikinga
Miezi 2 iliyopita niliumwa sana tumbo nikaenda hospitalini BOCHI
na kukutana na doctor bingwa wa wanawake. Akanifanyia vipimo na akasema kuwa
Nina fibroids ndani ya uterus yenye 9.5 cm hakuna dawa nyingine zaidi ya OP niliambiwa niludi nyumban ili nijiandae kwa upasuaji siku chache zijazo
dacktar alisema sutoweza kupata ujauzito mpaka ile fibroids itolewe
Kipindi nipo nasubur nilirud kwa OP
nimejikuta nimepata ujauzito
Sikua na mawazo ya kujikinga na mimba kutokana na maneno haya ya dacktar kuwa nisingeweza kupata ujauzito
Nikiwa na miaka 27
Nilitamani kuwa na mama kwa mara ya kwanza.
Bahati mbaya nimepata mimba hii kwa mwanaume ambaye siyo sahihi
Kwahyo mimi ni upcoming single mama
Nimeumia sana mnoo mnooo
Nifanye nini sasa
Mwanaume huyu ambaye alisema ananipenda
Anahitaji nitoe mimba hii
Asilimia 95 tuko hivyo tunajuana huo ndio ukweli maisha ya chuo na madrama mengine usipime sidhani kama Kuna ambaye amesalimika ktk HiloNakuhakikishia watu wakianza kufunguka utashangaa. Sema wanaogopa wataonekanaje.
Sawa mkuu.Kuua mtoto ni sawa na kujiua wewe mwenyewe.
Pole sanaAnahitaji nitoe mimba hii
Yeye hakukupenda alitaka awe na sehemu ya kukojolea tu pale mkewe anapomkazia hataki kugongwaBaada ya muda kupita niliupokea upendo wake na nilimpenda haswaa/tulipendana
Kama anajiweza kulea azae maana 27 na hizo heka heka za fibroids, ila kama pangu pakavu my friend toaaa fasta.Huwa Nikitoa huu ushauri naambiwa muuaji ila naelewa aina ya jamii nayotokea..... ningekuwa mwanamke mimba ya bahati mbaya naitoa....ilimradi haijafika miezi 3....naitoa kabisa.
Utakuta mtu anayekuambia usitoe mimba ya bahati mbaya ni mzinzi, mwizi, kahaba, n.k
Usitoe mimba kamwe zaa,kubali matokeo ili maisha yaendeleeNilipokutana naye kwa mara ya kwanza aliniambia ananipenda sana, na amekosa maneno mazuri ya kuweza kueleza ni vipi ananipenda......
Baada ya muda kupita niliupokea upendo wake na nilimpenda haswaa/ tulipendana
Yakatokea matunda ya upendo wetu
UPT - POSITIVE
nikamweleza mwanaume anayenipenda
Majibu yake yalikua haya
Nina familia nina mke na watoto wawili
Akinionyesha na ushahidi wa picha
Huku akisema hakuwahi kufikiria kuwa na mtoto nje ya ndoa yake na asingeweza kunioa hivyo nitoe huo ujauzito
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 27
Kwenye maisha yangu tangu kuzaliwa kwangu sikuwah kupata mimba kwenye mahusiano yangu ya huko nyuma.
Na sikuwahi kutumia chochote kujikinga
Miezi 2 iliyopita niliumwa sana tumbo nikaenda hospitalini BOCHI
na kukutana na doctor bingwa wa wanawake. Akanifanyia vipimo na akasema kuwa
Nina fibroids ndani ya uterus yenye 9.5 cm hakuna dawa nyingine zaidi ya OP niliambiwa niludi nyumban ili nijiandae kwa upasuaji siku chache zijazo
dacktar alisema sutoweza kupata ujauzito mpaka ile fibroids itolewe
Kipindi nipo nasubur nilirud kwa OP
nimejikuta nimepata ujauzito
Sikua na mawazo ya kujikinga na mimba kutokana na maneno haya ya dacktar kuwa nisingeweza kupata ujauzito
Nikiwa na miaka 27
Nilitamani kuwa na mama kwa mara ya kwanza.
Bahati mbaya nimepata mimba hii kwa mwanaume ambaye siyo sahihi
Kwahyo mimi ni upcoming single mama
Nimeumia sana mnoo mnooo
Nifanye nini sasa
Mwanaume huyu ambaye alisema ananipenda
Anahitaji nitoe mimba hii
Watu kwa unafiki ni hatari...... Chuo/ A level mademu wengi wametoa mimba saana.Asilimia 95 tuko hivyo tunajuana huo ndio ukweli maisha ya chuo na madrama mengine usipime sidhani kama Kuna ambaye amesalimika ktk Hilo
Utaitwa muuaji shauri yakoKama anajiweza kulea azae maana 27 na hizo hela hela za fibroids, ila kama pangu pakavu my friend toaaa fasta.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kwa wewe sijui ni kanisa gani litakukubali😄😄 maisha hayahitaji hasira mkuu.
Nenda kanisani kanniombee mkuu.