Mpaka pale nikipata dada atakayenikubali lakini mimi ndiye mwanaume wa faraja kwa wenye shida kama hizi .Nilipokutana naye kwa mara ya kwanza aliniambia ananipenda sana, na amekosa maneno mazuri ya kuweza kueleza ni vipi ananipenda......
Baada ya muda kupita niliupokea upendo wake na nilimpenda haswaa/ tulipendana
Yakatokea matunda ya upendo wetu
UPT - POSITIVE
nikamweleza mwanaume anayenipenda
Majibu yake yalikua haya
Nina familia nina mke na watoto wawili
Akinionyesha na ushahidi wa picha
Huku akisema hakuwahi kufikiria kuwa na mtoto nje ya ndoa yake na asingeweza kunioa hivyo nitoe huo ujauzito
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 27
Kwenye maisha yangu tangu kuzaliwa kwangu sikuwah kupata mimba kwenye mahusiano yangu ya huko nyuma.
Na sikuwahi kutumia chochote kujikinga
Miezi 2 iliyopita niliumwa sana tumbo nikaenda hospitalini BOCHI
na kukutana na doctor bingwa wa wanawake. Akanifanyia vipimo na akasema kuwa
Nina fibroids ndani ya uterus yenye 9.5 cm hakuna dawa nyingine zaidi ya OP niliambiwa niludi nyumban ili nijiandae kwa upasuaji siku chache zijazo
dacktar alisema sutoweza kupata ujauzito mpaka ile fibroids itolewe
Kipindi nipo nasubur nilirud kwa OP
nimejikuta nimepata ujauzito
Sikua na mawazo ya kujikinga na mimba kutokana na maneno haya ya dacktar kuwa nisingeweza kupata ujauzito
Nikiwa na miaka 27
Nilitamani kuwa na mama kwa mara ya kwanza.
Bahati mbaya nimepata mimba hii kwa mwanaume ambaye siyo sahihi
Kwahyo mimi ni upcoming single mama
Nimeumia sana mnoo mnooo
Nifanye nini sasa
Mwanaume huyu ambaye alisema ananipenda
Anahitaji nitoe mimba hii
Nimelewa naomba nikujibu kesho bwashee
Kuzaa au kujifungua???Kama angekubali kumlea mtoto kumuhudumia mtoto wake kwa kilakitu
Mimi na yeye tusutishe mahusiano.
Mimi ningezaa
Awajibike tu kwa mtoto wake
Nataka nitupe ndoano kwako uwe mama wa watoto wangu vp uko tayari??
Muombe Mungu akusaidieNilipokutana naye kwa mara ya kwanza aliniambia ananipenda sana, na amekosa maneno mazuri ya kuweza kueleza ni vipi ananipenda......
Baada ya muda kupita niliupokea upendo wake na nilimpenda haswaa/ tulipendana
Yakatokea matunda ya upendo wetu
UPT - POSITIVE
nikamweleza mwanaume anayenipenda
Majibu yake yalikua haya
Nina familia nina mke na watoto wawili
Akinionyesha na ushahidi wa picha
Huku akisema hakuwahi kufikiria kuwa na mtoto nje ya ndoa yake na asingeweza kunioa hivyo nitoe huo ujauzito
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 27
Kwenye maisha yangu tangu kuzaliwa kwangu sikuwah kupata mimba kwenye mahusiano yangu ya huko nyuma.
Na sikuwahi kutumia chochote kujikinga
Miezi 2 iliyopita niliumwa sana tumbo nikaenda hospitalini BOCHI
na kukutana na doctor bingwa wa wanawake. Akanifanyia vipimo na akasema kuwa
Nina fibroids ndani ya uterus yenye 9.5 cm hakuna dawa nyingine zaidi ya OP niliambiwa niludi nyumban ili nijiandae kwa upasuaji siku chache zijazo
dacktar alisema sutoweza kupata ujauzito mpaka ile fibroids itolewe
Kipindi nipo nasubur nilirud kwa OP
nimejikuta nimepata ujauzito
Sikua na mawazo ya kujikinga na mimba kutokana na maneno haya ya dacktar kuwa nisingeweza kupata ujauzito
Nikiwa na miaka 27
Nilitamani kuwa na mama kwa mara ya kwanza.
Bahati mbaya nimepata mimba hii kwa mwanaume ambaye siyo sahihi
Kwahyo mimi ni upcoming single mama
Nimeumia sana mnoo mnooo
Nifanye nini sasa
Mwanaume huyu ambaye alisema ananipenda
Anahitaji nitoe mimba hii
Mawazo ya kijinga na ambayo hayana logic .Huwa Nikitoa huu ushauri naambiwa muuaji ila naelewa aina ya jamii nayotokea..... ningekuwa mwanamke mimba ya bahati mbaya naitoa....ilimradi haijafika miezi 3....naitoa kabisa.
Utakuta mtu anayekuambia usitoe mimba ya bahati mbaya ni mzinzi, mwizi, kahaba, n.k
Watajijua! wa Tanzania unafki umetujaa,wanakushauri uzae ukishazaa ndo wakwanza kukunyooshea vidole kukuzodoa na kukuona mjinga.Utaitwa muuaji shauri yako
Kuzaa kitu chengine na hayo unayo yasema pia ni kitu chengineWatajijua! wa Tanzania unafki umetujaa,wanakushauri uzae ukishazaa ndo wakwanza kukunyooshea vidole kukuzodoa na kukuona mjinga.
Kulea jukumu lake huenda ndio ikawa ni milango ya baraka kwake kufungukaDuh pole we lea tu mwaya
Mawazo ya kijinga na ambayo hayana logic .
Je anatoa mimba kwa sababu zipi
-Ugumu wa maisha
-Baba kumkataa mtoto
-Hakujiandaa kuwa single mama.
Ni vizuri ukatoa maelezo ya kutosha .
Abortion is killing of innocent kid.
Ngono zembe/uzinziAlikufanya nini mpaka mimba ikatokea?
Kuwa mvumilivu, zaa mwanao atakufaa baadae.Nilipokutana naye kwa mara ya kwanza aliniambia ananipenda sana, na amekosa maneno mazuri ya kuweza kueleza ni vipi ananipenda......