Muramwaito
JF-Expert Member
- Feb 13, 2023
- 420
- 829
Huwa Nikitoa huu ushauri naambiwa muuaji ila naelewa aina ya jamii nayotokea..... ningekuwa mwanamke mimba ya bahati mbaya naitoa....ilimradi haijafika miezi 3....naitoa kabisa.
Utakuta mtu anayekuambia usitoe mimba ya bahati mbaya ni mzinzi, mwizi, kahaba, n.k
Izo damu zingekuandama hadi kizazi chako cha mwisho Mkuu, hakuna kitu kibaya kama kumwaga damu isiyokuwa na hatia