Jaws
JF-Expert Member
- Jun 13, 2023
- 622
- 2,251
We nawe! Mbona unauliza maswali yasiyo na kichwa wala miguu? Kwani wanabakwa? Ukiona watu wanatombana basi jua mwanamke kakubali; na ndiye mwenye uamuzi wa mwisho labda kama amebakwa. Acha kutetea wazinzi mkuu.Hivi kati ya wanawake na wanaume wepi wana stahili kuitwa wazinzi????? Kama ujuavyo uchu wa mwanaume kula kila mwanamke mzuri anaye pita machoni pake na kuja na maneno mengi matamu ya uongo..........
Mbona wanawake ambao siyo wazinzi hawaingii kwenye masaibu haya ya kupigwa mimba na kutelekezwa? Jitu lina mke na watoto juu unashindwaje kuligundua? Mbona ni rahisi tu? Kataa kutombwa kwanza mpaka likupeleke linakoishi; na ukajiridhishe. Do your research. Kwenye social media accounts zake. Mbona ukweli utaujua tu? Wanawake wengi tamaa huwa zinawaponza - ama za kuolewa au hela. Likibumburuka ndo wanaanza kulalamika na kutaka waonewe huruma utafikiri wako under 18 au walilazimishwa wakati walijipeleka wenyewe.