Dunia imebadili wengi, alisema ananipenda leo ananiambia nitoe Mimba, hivi kweli!!

Dunia imebadili wengi, alisema ananipenda leo ananiambia nitoe Mimba, hivi kweli!!

639d8428729cbf872d077443293375f7.jpg
 
Kwanini ubebe mimba bila ya kukubaliana na upande wa pili? Mwanaume kukupenda haimaanishi ujibebee mimba bila makubaliano
 
Makusudi kwa vile wewe unafanyag kimya kimya na yeye aliesema hadharani ndo aonekane mjinga kweli lakini?? Mdogo wangu fikiria nje ya box kwamba mpaka leo hujawai kufanya kosa ambalo ulikuja kujutia????
Hayo anatakiwa kuyatafakari kabla hajalala na mwanaume kitandani ambaye sie mume wake. Hakunaga bahati mbaya ni makusudi.
 
Tatizo la mabinti ni mnawakataa vijana wa rika lenu mnaenda kukomaa na waume za watu pasina kujari maumivu mnayopeleka kwenye familia za hao wake wenzenu
Jifunzeni kudhibiti tamaa na muwe radhi kutengeneza vya kwenu muache kuparamia familia za wenzenu
Wew haukumuelew alisema kwamba hakujua kuwa alikuwa anatoka na mume wake mtu. Tena mwenye familia ya mke na watoto mkorofi hapo mwanaume
 
Ndo ufahamu sasa kwamba sio kila anayejiita mtakatifu basi ameokoka la hasha wanajificha kwenye vivuli vya Iman na kujifany kujua kwingi
Kuna mtu namfahamu humu alishatoa mimba mbili akiwa chuo kwenye ndoa bubu. Sasa ameolewa mwaka wa nne huu mimba hakamati. Ukimkuta analia kwa Mwamposa sasa utashangaa. Na humu kujifanya ana busara na kukwoti mafungu ya Bible, kutoa ushauri wa kimahusiano na viingereza vingi na nyuzi za kiroho kumbe hopulesi kabisa!
 
Ajabu sasa jamaa hili hili limemtelekeza. Akipata mwanaume akajitoa kulea hiyo mimba na yeye mwenyewe. Baada ya miaka mitano 2030 jamaa litaibuka na kutaka kuwa katika maisha ya mtoto. Halafu likitaka litamla na hata kumtia mimba nyingine. Na huyo Mr. Nice Guy anaweza kuachwa. Single mothers akili zao wanazijua wenyewe tu.

Single mama wa kuhurumiwa ni mjane tu. Wengine hawa acha wavune matunda ya uzinzi wao!
 
Nilipokutana naye kwa mara ya kwanza aliniambia ananipenda sana, na amekosa maneno mazuri ya kuweza kueleza ni vipi ananipenda......

Baada ya muda kupita niliupokea upendo wake na nilimpenda haswaa/ tulipendana

Yakatokea matunda ya upendo wetu

UPT - POSITIVE

nikamweleza mwanaume anayenipenda

Majibu yake yalikua haya

Nina familia nina mke na watoto wawili

Akinionyesha na ushahidi wa picha

Huku akisema hakuwahi kufikiria kuwa na mtoto nje ya ndoa yake na asingeweza kunioa hivyo nitoe huo ujauzito

Mimi ni mwanamke mwenye miaka 27

Kwenye maisha yangu tangu kuzaliwa kwangu sikuwah kupata mimba kwenye mahusiano yangu ya huko nyuma.

Na sikuwahi kutumia chochote kujikinga

Miezi 2 iliyopita niliumwa sana tumbo nikaenda hospitalini BOCHI

na kukutana na doctor bingwa wa wanawake. Akanifanyia vipimo na akasema kuwa

Nina fibroids ndani ya uterus yenye 9.5 cm hakuna dawa nyingine zaidi ya OP niliambiwa niludi nyumban ili nijiandae kwa upasuaji siku chache zijazo

dacktar alisema sutoweza kupata ujauzito mpaka ile fibroids itolewe

Kipindi nipo nasubur nilirud kwa OP

nimejikuta nimepata ujauzito
Sikua na mawazo ya kujikinga na mimba kutokana na maneno haya ya dacktar kuwa nisingeweza kupata ujauzito


Nikiwa na miaka 27

Nilitamani kuwa na mama kwa mara ya kwanza.

Bahati mbaya nimepata mimba hii kwa mwanaume ambaye siyo sahihi

Kwahyo mimi ni upcoming single mama

Nimeumia sana mnoo mnooo

Nifanye nini sasa

Mwanaume huyu ambaye alisema ananipenda

Anahitaji nitoe mimba hii
Mapenzi ya mjini raha sana mtu mnakutana mnaazisha mahusiano bila hata kujuwa jina la mwisho. Huyo baba mmefahamiana kwa mda gani? Hata kama uliambiwa huwezi kupata mimba ndio ujiqchie hivyo kwani huongopi ukimwi?
 
Ajabu sasa jamaa hili hili limemtelekeza. Akipata mwanaume akajitoa kulea hiyo mimba na yeye mwenyewe. Baada ya miaka mitano 2030 jamaa litaibuka na kutaka kuwa katika maisha ya mtoto. Halafu likitaka litamla na hata kumtia mimba nyingine. Na huyo Mr. Nice Guy anaweza kuachwa. Single mothers akili zao wanazijua wenyewe tu.

Single mama wa kuhurumiwa ni mjane tu. Wengine hawa acha wavune matunda ya uzinzi wao! 🚮🚮🚮🚮
Hivi kati ya wanawake na wanaume wepi wana stahili kuitwa wazinzi????? Kama ujuavyo uchu wa mwanaume kula kila mwanamke mzuri anaye pita machoni pake na kuja na maneno mengi matamu ya uongo..........
 
Back
Top Bottom