Dunia imebadili wengi, alisema ananipenda leo ananiambia nitoe Mimba, hivi kweli!!



Izo damu zingekuandama hadi kizazi chako cha mwisho Mkuu, hakuna kitu kibaya kama kumwaga damu isiyokuwa na hatia
 
Wewe toa tu Mambo ya kuleta kiumbe Duniani wakati hauja andaa mazingira ya kukitunza utakuwa unakitesa hicho kiumbe na sio hivyo tu hata wewe mwenyewe utakuwa unajitesa maana utakuwa unateseka Kifikra pindi utakapo kuwa unashindwa kumpa mtoto basic needs zake


Ila kama uko vizuri kiuchumi sawa zaa
 
Wew ni muuaji kabisa bora azae aleee sio kuua kiumbe kwa utamu/tamaa za kimwili... Guy think outside
 
Wew ni muuaji kabisa bora azae aleee sio kuua kiumbe kwa utamu/tamaa za kimwili... Guy think outside
Hamna lolote Kuna Watu wengi humu wameshawahi kutoa mimba au kuwashawishi wanawake wao watoe mimba
Then katika mijadala kama hii wanashindwa kuongea ukweli wanaficha tabia zao ,

Kutoa mimba changa Wala hakuna tatizo kabisa as long as muhusika anaona kuwa Bado haja jipanga kuleta kiumbe Duniani mambo ya kuzaa zaa kiholela sio mpango ni kuirudisha Nyuma Jamii
 
Izo damu zingekuandama hadi kizazi chako cha mwisho Mkuu, hakuna kitu kibaya kama kumwaga damu isiyokuwa na hatia
Watu wamepigana vita na kuua watu kama kuku...Mungu mwenyewe anaenda kuchoma watu bilioni kadhaa kwenye moto usizimika eti leo mimi niandamwe na damu milele....

Vita vya Uganda tu tuliua waganda kibao kama kuku au kwa mimba ndiko kwenye madhara tu?
 
Nakuhakikishia watu wakianza kufunguka utashangaa. Sema wanaogopa wataonekanaje.
 
Kwanini mufunuane katika siku za hatari ili hali hauko tayari kushika ujauzito, lakini pia sikatai kuwa watu hawatoi mimba hapan ila kutoa ni kinyume na sheria ya uzazi
 
asikudanganye mtu yoyote eti uitoe hiyo mimba kwani hayo ni mauaji ya kukusudia na utabaki kuwa mama muuwaji kwa kipindi chote hapa ulimwenguni kwani utahesabika kama mama wa watoto 2,3 nk ila moja ulimuuwa
 
Kutoa mimba ina andama kivipi hiyo damu?


Damu inaongea Mkuu, Damu inalia Mkuu, Damu inanena mkuu hivyo itakushitaki na kukulilia na kukunenea milele kwa yale uliyotenda.


kumbuka Damu iliyopo tumboni kwa mwanamke Sio yake yupo mwenye hati miliki ya hiyo Damu Kwahiyo ukiimwaga ardhini hiyo Damu itakuwa ikimlilia mmiliki wake...!! Itakuwa ikikushtaki kwa mmliki wake...!!! Itakuwa ikinena kwa mmliki wake...!!! kukuhusu wewe ulieimwaga ardhini tofauti na kusudi la mmiliki
 
Watu wamepigana vita na kuua watu kama kuku...Mungu mwenyewe anaenda kuchoma watu bilioni kadhaa kwenye moto usizimika eti leo mimi niandamwe na damu milele....

Vita vya Uganda tu tuliua waganda kibao kama kuku au kwa mimba ndiko kwenye madhara tu?
Haya ndio madhara ya kufikiria kwa kutumia ubongo wa makalioni
 
Shetani wa kwenye biblia na Mungu muuaji wa kwenye biblia nani anadaiwa damu nyingi za mauaji , na alikua anatoa oda mpaka vitoto viuwawe ?
 
Kuua mtoto ni sawa na kujiua wewe mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…