Daah hii ya mabenki ndiyo imepoa kabisa, wahuni wameletewa hadi ATM, pesa nje nje, sijui wanakwama wapi 🤣😂🤣.Wahuni walivamia mpaka benki, mara usikie benki fulani wameingia na kutoka na maburungutu ya noti. Mabasi nayo yalitekwa sana huko maporini abiria kusachiwa mifukoni
Dunia ya sasa imepoa sana.
Kipindi fulani cha nyuma, minyukano ilikuwa mikali sana. Haupiti mwezi watu wanapiga tukio. Mara umesikia mapinduzi ya kijeshi kule, mara wahuni wameteka ndege wakairusha hadi destination fulani salama. Wahuni walikuwa wanateka hadi treni. Yaani ilikuwa dunia fulani haipoi wala haiboi. Ni vibe tu full time.
Hata bata lilikuwa bata kweli, sasa hivi wengi ni washamba wa pesa ndiyo maana wanatumia pesa kishambashamba.
Sasa hivi vijana wamekalia kumsikiliza Drake na Future. Wanajiita wahuni ila mlolongo wao wa dhambi wala haushtui. Kwenye harakati za siasa ndiyo kabisa hawajishughulishi, halafu wanataka maisha yao yabadilike.
| APT Group | Attribution | Main Focus | Primary Route | Typical Targets |
|---|---|---|---|---|
| Salt Typhoon | China / PRC | Telecom espionage | Network-device intrusion | Telecom, service providers, government communications |
| Volt Typhoon | China / PRC | Critical infrastructure access | Living-off-the-land | Energy, water, transport, aviation, communications |
| Flax Typhoon | China / PRC | Covert relay operations | Router and IoT botnets | Government, enterprise, infrastructure networks |
| Mustang Panda | China / PRC | Diplomatic intelligence | Spearphishing | Government, defense, NGOs, policy targets |
| APT41 / Wicked Panda | China / PRC | Espionage and financial gain | Web and supply-chain exploitation | Software, healthcare, telecom, gaming, technology |
| APT28 / Fancy Bear | Russia / GRU | Military intelligence | Credential theft | Logistics, IT, defense-linked organizations |
| APT29 / Cozy Bear | Russia / SVR | Strategic espionage | Password spraying and cloud abuse | Governments, embassies, think tanks, research |
| Sandworm / APT44 | Russia / GRU | Disruption and sabotage | Wipers and ICS targeting | Energy, transport, logistics, critical services |
| Turla / Secret Blizzard | Russia / FSB | Diplomatic espionage | Custom backdoors | Embassies, diplomats, journalists, government |
| Lazarus / TraderTraitor | North Korea / DPRK | Revenue generation | Social engineering and crypto compromise | Exchanges, fintech, blockchain platforms |
| Kimsuky / APT43 | North Korea / DPRK | Policy intelligence | QR phishing and account takeover | Think tanks, academia, NGOs, government experts |
| APT42 / Charming Kitten | Iran | Surveillance | Spearphishing and account compromise | Journalists, academics, diaspora groups, NGOs |
Wewe ndio unaamka kwenye usingizi wa pono na kuleta taarfia za 19 kweusiHata hapa bongo kina memba waliteka ndege wakaenda zao jedda kisha london. Kuna wale wapelistina wa black september waliiteka ndege ya abiria ya ufaransa wakaja kutua entebbe kwa iddi amin
ninayowafundisha watoto yapo kwenye mtaala uliopangwa wazi. Sifundishi mambo yangu hukoWewe ndio unaamka kwenye usingizi wa pono na kuleta taarfia za 19 kweusi
Hivi hao watoto wetu mashuleni unawafundisha upupu gani
Ticha kalale saa hizi kesho shuleninayowafundisha watoto yapo kwenye mtaala uliopangwa wazi. Sifundishi mambo yangu huko
usiku wa manane usingizi umekata utarudi saa kumi kuelekea mapambazuko, shule ipo karibuTicha kalale saa hizi kesho shule
Sasa ndugu yangu mfano zamani watu kuvamia benki ilikuwa rahisi hata namna ya kutoroka na kutoonekana.Huu ni ukweli hata hapa bongo kidogo miaka ya nyuma kulikua hakupoi , kuna kipindi nilikua nabishana na watu nawaambia kuna kizazi Cha nyuma kilikua Bora kuliko kizazi cha sasa kwa upande Fulani .
Zamani watu walikua wanatuliza akili wanavamia benki na kutokomea na kitita na wanachora michoro kibao miaka 1995-2008 hivi kesi za watu kuiba benki zilikua nyingi.
Saivi hamna kitu vijana na watu wa makamo wapo bize na ubishani wa Simba na yanga na vijana kucheza TikTok sijui ma challenge wengine kujifanya comedians .
Hamna challenge kabisa kwa serikali ndio maana kina makonda na wajinga wengine wanazidi kutajirika .
Mtu pekee ambae amekua challenge ni Tundu Antipas Lisuu na sadly he fights alone hamna hata support *****