MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,840
- 8,202
Kwa ufupi wanasiasa ndio wametufikisha hapa tulipo.
Siasa za Trumpa na Netanyahu hazina muelekeo salama ilitakiwa Dunia iwatenge ikibidi hata kivita,
Dunia inaaminishwa kuwa Marekani ndio walinda amani na demomrasia lakini kumbe ndio wafurugaji wa amani na demokrasia.
Wanasiasa wa Afrika wanajifunza nini kwa hili tatizo la Hormz je wanashindwa kuwa na refinery ya pamoja ili wasafishe mafuta wanayochimba kwa mfano Afrika mashariki Uganda mafuta yapo ila wanahangaika kujenga mabomba wasafirishe nje hayo mafuta ili yakasafishwe halafu yarudi tena Afrika..
Tuna gesi asilia lakini akili za wanasiasa ni nzito kupanga namna ya kutumika na wananchi
Mwananchi anatumia gesi kutoka nje ya nchi .(mabeberu wahawezi kuwafungua akili hawa wanasiasa wa afrika)
Serikali zimekuwa madali badala ya wao kuwa katika operation,mafuta ni kiungo muhimu cha uchumi wa nchi kama ilivyo kwa umeme ,ndio maana umeme umekuwa chini ya serikali kwa nini mafuta yasiwe hivyo ni mabeberu wamewapumbaza wanasiasa wa Afrika
Ushauri mmoja tu
Gesi asilia isitumike kuzalisha umeme
Gesi asilia itumike majumbani
Serikali ipunguze gharama za vifaa vya gesi vya magari vyombo vya usafiri vitumie gesi hasa usafiri wa umma na malori ya kubeba vyakula
Mnakumbuka dangote alisema anaweza akauza cement mfuko bei moja ikafanana nchi nzima na kwa bei haizidi 10,000 unajua kwa nini ni kwa sababu malori yake yote anayotumia kusafisha bidhaa yanatumia gesi sio mafuta