Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Kila kitu kuhusu imani za dini na mambo yote ya kisiasa.
Kila kitu maana yake nini?
Wewe unajua kila kitu kuhusiana na dini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila kitu kuhusu imani za dini na mambo yote ya kisiasa.
Mimi sio mtu wakubishana bishana kwenye fact. Jaribu kuuliza maswali yenye mantic. Sijui unauliza nn. Au unataka nijibu unavyotaka?
Hii peke yake inaonesha ni namna gani usivyofikiri kama mada yako inavyosema
Unadai kuwa sio mtu nwa kubishana kwenye fact,hivi ni wapi umeweka hata hizo fact zako?
Unajua maana ya fact wewe?
Unaendelea kujipalia ----- kwa kudai eti niendelee kuuliza maswali yenye mantiki,kwanza hata mantiki yenyewe ni neno la kiswahili halafu umeliandika sijui kikabila chenu maana hiyo c huko mwishoni sijui ni ya nini,au unadhani mantiki ni neno la kiingereza?
Kibaya zaidi unaendelea kusema hujui hata nilichouliza nini,hivi utawezaje kujua kuwa maswali yasiyokuwa na mantiki bila kujua muulizaji anachouliza?
Unapohoji kama nataka ujibu ninavyotaka unakuwa unamaana gani wakati mimi nimekuwekea maswali mezani hata hujajibu?
Umedai kila kitu kwenye dini ukirejea kuwa ni uongo,imebidi nikuulize kama unajua maana ya kila kitu na nikuulize pia kama unajua kila kitu kwenye dini maana kwa maelezo yako haya dini kwa ujumla wake ni uongo na sijui kama unajua chochote kuhusiana na ukweli maana ungejua wala usingesema huu urojo wako hapa
Mada imeshakushinda hii!
Mimi sio mtu wa kujibishana na kurumbana kisiasa. Naongelea namna gani dini na siasa zilivyo fanya watu wasifikirie tofauti na maandiko yao.
Ungeelewa ninachoongelea name sio kuenda nje ya mada. Mimi naongelea kufikiria kuwa kama tulikuwa hatujui Kuwa dunia ni duara na sasa tunajua. Iweje kuhusu uwezekano wa kuwepo viumbe kwenye sayari zingine.
Hiyo ndio Mada halisi.
Inawezekana najadiliana na mtu asiejua hata anahitaji nini
Kwanza kama ungekuwa unakijua unachokijadili wala usingekileta hapa kwakuwa hapa sio mahala pake
Pili,sijui kama hata unajua siasa ni kitu gani maana inaonekana hata hujui na ndio maana unadhani kuna mahali hakuna siasa
Tatu,Kwenye mada yako hujasema hizo siasa na dini zinawafanyaje watu wshindwe kufikiri,tutajadili nini sasa?
Ukiulizwa maswali na kushindwa kujibu unaanza kuleta ngonjera ambazo hazina hata mashiko,nilikuuliza kama unajua fact ni kitu gani hadi sasa hujajibu,unadhani kuongea tu kuwa dini zimefanya hiki au kile na kujadili mambo ya uwezekano wa kuwepo na uhai kwenye sayari zingine ndio kufikiri?
Hii mada yako ina kasoro nyingi sana,kwanza hujasema ni kwanini umesema kuwa uwezekano wa kuwepo viumbe kwenye sayari nyingine ni asilimia 100,kikubwa zaidi hujasema hiyo asilimia 100 umeitoa wapi kwasababu huna chombo ambacho chebyewe tu kipo sawa asilimia 100 ili kuweza kupima huo uwezekano ambao utapata hiyo asilimia 100 yako
Sijui hata kama hilo unalijua
Kujua kuwa dunia ni duara sio kujua maisha yapo sehemu nyingine,lakini pia hujui hata hiyo dunia yenyewe kuwa duara sio hakika kwa asilimia zako 100
Halafu unajichanganya,huwezi kusema jambo fulani uwezekano wake wa kuwepo ni asilimia 100 halafu ukaja kusema jambo lilelile kuwa huna hakika kama lipo
Huku ni kujikinza sana!
Hujui kama hujui. Maana yake wewe ni m.pumbavu.
Hivi mtu akifa huwakinatokea kitu gani. Je kweli watu huwasiliana na roho za waliokufa?
Sidhani kama ni sahihi sana kusema dini zinazuia watu kufikiri au kutumia upeo wao wa akili ktk kutambua mambo mbalimbali. Mi nadhani dini zimewafumbua watu akili juu ya mambo mengi isipokuwa watu wamekuwa wavivu wa kutafakari maneno ya Mungu ktk vitabu vya dini.
Katika kushindwa kutafakari kwa binadamu juu ya maandiko matakatifu, watu wengi wamebaki kutegemea maombi au wachungaji na mashekhe ktk kufanikiwa mambo yao. Mfano biblia inasema "Ukiwa na iman ndogo kama chembe ya haradali unaweza kuhamisha mlima" Neno hilo ukilisoma ni la kawaida sana lakin ndani yake lina ujumbe mzito sana.
IMANI sio kumwamini Mungu tu bali chochote unachofanya ukaweka tumain na iman juu ya jambo hilo kweli linatokea. Ndio maana kuna watu wanafanikiwa kwa kufanya meditation, astroprojection nk. Kuna wengine wanafanikiwa kwa kumuomba Mungu na wengine kwa kumuomba shetani. All in all ni kuwa na positive beleave juu ya kile unachokifanya.
Huo ni mfano mdogo wa dini. Wengi tumesongwa na shughuli za maisha ndo mana hakuna muda.
Na wale wasioamini chochote lakini bado wanafanikiwa?