Dunia imetawaliwa na low thinkers

Dunia imetawaliwa na low thinkers

Kila kitu maana yake nini?

Wewe unajua kila kitu kuhusiana na dini?

Mimi sio mtu wakubishana bishana kwenye fact. Jaribu kuuliza maswali yenye mantic. Sijui unauliza nn. Au unataka nijibu unavyotaka?
 
Mimi sio mtu wakubishana bishana kwenye fact. Jaribu kuuliza maswali yenye mantic. Sijui unauliza nn. Au unataka nijibu unavyotaka?

Hii peke yake inaonesha ni namna gani usivyofikiri kama mada yako inavyosema.

Unadai kuwa sio mtu wa kubishana kwenye fact, hivi ni wapi umeweka hata hizo fact zako? Unajua maana ya fact wewe?

Unaendelea kujipalia kwa kudai eti niendelee kuuliza maswali yenye mantiki, kwanza hata mantiki yenyewe ni neno la kiswahili halafu umeliandika sijui kikabila chenu maana hiyo c huko mwishoni sijui ni ya nini,au unadhani mantiki ni neno la kiingereza?

Kibaya zaidi unaendelea kusema hujui hata nilichouliza nini,hivi utawezaje kujua kuwa maswali yasiyokuwa na mantiki bila kujua muulizaji anachouliza?

Unapohoji kama nataka ujibu ninavyotaka unakuwa unamaana gani wakati mimi nimekuwekea maswali mezani hata hujajibu?

Umedai kila kitu kwenye dini ukirejea kuwa ni uongo,imebidi nikuulize kama unajua maana ya kila kitu na nikuulize pia kama unajua kila kitu kwenye dini maana kwa maelezo yako haya dini kwa ujumla wake ni uongo na sijui kama unajua chochote kuhusiana na ukweli maana ungejua wala usingesema huu urojo wako hapa

Mada imeshakushinda hii!
 
Hii peke yake inaonesha ni namna gani usivyofikiri kama mada yako inavyosema

Unadai kuwa sio mtu nwa kubishana kwenye fact,hivi ni wapi umeweka hata hizo fact zako?
Unajua maana ya fact wewe?

Unaendelea kujipalia ----- kwa kudai eti niendelee kuuliza maswali yenye mantiki,kwanza hata mantiki yenyewe ni neno la kiswahili halafu umeliandika sijui kikabila chenu maana hiyo c huko mwishoni sijui ni ya nini,au unadhani mantiki ni neno la kiingereza?

Kibaya zaidi unaendelea kusema hujui hata nilichouliza nini,hivi utawezaje kujua kuwa maswali yasiyokuwa na mantiki bila kujua muulizaji anachouliza?

Unapohoji kama nataka ujibu ninavyotaka unakuwa unamaana gani wakati mimi nimekuwekea maswali mezani hata hujajibu?

Umedai kila kitu kwenye dini ukirejea kuwa ni uongo,imebidi nikuulize kama unajua maana ya kila kitu na nikuulize pia kama unajua kila kitu kwenye dini maana kwa maelezo yako haya dini kwa ujumla wake ni uongo na sijui kama unajua chochote kuhusiana na ukweli maana ungejua wala usingesema huu urojo wako hapa

Mada imeshakushinda hii!

Mimi sio mtu wa kujibishana na kurumbana kisiasa. Naongelea namna gani dini na siasa zilivyo fanya watu wasifikirie tofauti na maandiko yao.

Ungeelewa ninachoongelea name sio kuenda nje ya mada. Mimi naongelea kufikiria kuwa kama tulikuwa hatujui Kuwa dunia ni duara na sasa tunajua. Iweje kuhusu uwezekano wa kuwepo viumbe kwenye sayari zingine.

Hiyo ndio Mada halisi.
 
Inawezekana najadiliana na mtu asiejua hata anahitaji nini

Kwanza kama ungekuwa unakijua unachokijadili wala usingekileta hapa kwakuwa hapa sio mahala pake. Pili, sijui kama hata unajua siasa ni kitu gani maana inaonekana hata hujui na ndio maana unadhani kuna mahali hakuna siasa.

Tatu, Kwenye mada yako hujasema hizo siasa na dini zinawafanyaje watu wshindwe kufikiri, tutajadili nini sasa?

Ukiulizwa maswali na kushindwa kujibu unaanza kuleta ngonjera ambazo hazina hata mashiko, nilikuuliza kama unajua fact ni kitu gani hadi sasa hujajibu, unadhani kuongea tu kuwa dini zimefanya hiki au kile na kujadili mambo ya uwezekano wa kuwepo na uhai kwenye sayari zingine ndio kufikiri?

Hii mada yako ina kasoro nyingi sana, kwanza hujasema ni kwanini umesema kuwa uwezekano wa kuwepo viumbe kwenye sayari nyingine ni asilimia 100, kikubwa zaidi hujasema hiyo asilimia 100 umeitoa wapi kwasababu huna chombo ambacho chebyewe tu kipo sawa asilimia 100 ili kuweza kupima huo uwezekano ambao utapata hiyo asilimia 100 yako

Sijui hata kama hilo unalijua

Kujua kuwa dunia ni duara sio kujua maisha yapo sehemu nyingine, lakini pia hujui hata hiyo dunia yenyewe kuwa duara sio hakika kwa asilimia zako 100

Halafu unajichanganya, huwezi kusema jambo fulani uwezekano wake wa kuwepo ni asilimia 100 halafu ukaja kusema jambo lilelile kuwa huna hakika kama lipo

Huku ni kujikinza sana!
 
Inawezekana najadiliana na mtu asiejua hata anahitaji nini

Kwanza kama ungekuwa unakijua unachokijadili wala usingekileta hapa kwakuwa hapa sio mahala pake
Pili,sijui kama hata unajua siasa ni kitu gani maana inaonekana hata hujui na ndio maana unadhani kuna mahali hakuna siasa
Tatu,Kwenye mada yako hujasema hizo siasa na dini zinawafanyaje watu wshindwe kufikiri,tutajadili nini sasa?
Ukiulizwa maswali na kushindwa kujibu unaanza kuleta ngonjera ambazo hazina hata mashiko,nilikuuliza kama unajua fact ni kitu gani hadi sasa hujajibu,unadhani kuongea tu kuwa dini zimefanya hiki au kile na kujadili mambo ya uwezekano wa kuwepo na uhai kwenye sayari zingine ndio kufikiri?

Hii mada yako ina kasoro nyingi sana,kwanza hujasema ni kwanini umesema kuwa uwezekano wa kuwepo viumbe kwenye sayari nyingine ni asilimia 100,kikubwa zaidi hujasema hiyo asilimia 100 umeitoa wapi kwasababu huna chombo ambacho chebyewe tu kipo sawa asilimia 100 ili kuweza kupima huo uwezekano ambao utapata hiyo asilimia 100 yako

Sijui hata kama hilo unalijua

Kujua kuwa dunia ni duara sio kujua maisha yapo sehemu nyingine,lakini pia hujui hata hiyo dunia yenyewe kuwa duara sio hakika kwa asilimia zako 100

Halafu unajichanganya,huwezi kusema jambo fulani uwezekano wake wa kuwepo ni asilimia 100 halafu ukaja kusema jambo lilelile kuwa huna hakika kama lipo

Huku ni kujikinza sana!

Hujui kama hujui. Maana yake wewe ni m.pumbavu.
 
Walofeli darasani ndio wanaowaongoza waliofaulu vizuri
 
Unajua wakati mwingine kunamipaka ya upeo wako wakufikili na sio kwamba imani za dini ndo zinakufanya usifikili vizuri.

Kiukweli ni kwamba hakuna elimu bora kama unayo ipata kwenye vitabu vya kweli vya dini za kweli na haki. Mambo yote ya kisayansi unayo yaona ama yanayo gunduliwa karne hizi yameandikwa kwenye kuran miaka mingi ilo pita.

Mfano Wanasayansi wanaeleza kuhusu mtoto kufanana kwa mama (ujombani) au kwa baba,wanagutuka kuwa limeelezwa na Mungu kwa kina miaka mingi ilo pita. Sayari,mfumo wa jua,asili ya dunia,kwanini dunia inazunguka kulia kwenda kushoto yote yameelezwa kwa ufasaha kwenye quran hapo kabla na wanasayansi wanakili hilo.

Hawa washilikina hawawezi kukufanya wewe uwaze kwa nini matunda yanaradha na utamu tofauti?, lakini kwa MUNGU unapata majibu, kwanini binadam anaupeo wa kuwaza?, kwa MUNGU kunamajibu. N.K. Sasa wewe unataka nini zaidi ya hapo?.
 
Hivi mtu akifa huwakinatokea kitu gani. Je kweli watu huwasiliana na roho za waliokufa?

Ngoja nitafute notes nakumbuka tulisomaga hii kitu kwenye somo moja hivi la anthropology!
 
Maandiko unayoyaita matakatifu yamejichanga kuanzia ukurasa wa kwanza kuhusu uumbaji. Vitabu vile havina ukweli wowote zaidi ya kuhadithia tamaduni za mashariki ya kati.
 
Mada imeingiliwa na wakristo & waislam ambao akili zao wamezifungia kwenye vitabu vyao.😱
 
Sidhani kama ni sahihi sana kusema dini zinazuia watu kufikiri au kutumia upeo wao wa akili ktk kutambua mambo mbalimbali. Mi nadhani dini zimewafumbua watu akili juu ya mambo mengi isipokuwa watu wamekuwa wavivu wa kutafakari maneno ya Mungu ktk vitabu vya dini.

Katika kushindwa kutafakari kwa binadamu juu ya maandiko matakatifu, watu wengi wamebaki kutegemea maombi au wachungaji na mashekhe ktk kufanikiwa mambo yao. Mfano biblia inasema "Ukiwa na iman ndogo kama chembe ya haradali unaweza kuhamisha mlima" Neno hilo ukilisoma ni la kawaida sana lakin ndani yake lina ujumbe mzito sana.

IMANI sio kumwamini Mungu tu bali chochote unachofanya ukaweka tumain na iman juu ya jambo hilo kweli linatokea. Ndio maana kuna watu wanafanikiwa kwa kufanya meditation, astroprojection nk. Kuna wengine wanafanikiwa kwa kumuomba Mungu na wengine kwa kumuomba shetani. All in all ni kuwa na positive beleave juu ya kile unachokifanya.

Huo ni mfano mdogo wa dini. Wengi tumesongwa na shughuli za maisha ndo mana hakuna muda.
 
Na wale wasioamini chochote lakini bado wanafanikiwa?
 
Hivi dini kama zina uongo na hali ya kuwa ukweli upo,sasa kwanini watu wanaendelea kufuata dini hadi leo ikiwa zinasema uongo?

Mi ningetegemea watu wangeachana na hizi dini ikiwa zinasema uongo na kuufuta huo ukweli,lakini ajabu kila miaka invyozidi kwenda tunaona waumini wa dini wakiongezeka.
 
Na wale wasioamini chochote lakini bado wanafanikiwa?

Wale ambao hawana dini wanaamini juu ya kila ambacho wanakifanya. Nadhan unajua kabisa kuwa ukijenga iman juu ya kila unachokifanya mara nyingi unafanikiwa na hiyo inatokana na physic power ambayo kila mtu anayo. Kinachotakiwa ni kuweka na kuamini juu ya kile unachokifanya ANY THING IS POSSIBLE.
 
Uoni we mwenyewe ushakosea, kuna uhusiano gani wa post yako na kunishawishi mimi. Uoni kwamba binadamu tunategemeana, hii post si ungeipeleka kule mbugani mikumi
 
Nakubaliana na wewe kwamba dini ndio zinawafanya watu wasifikiri kabisa. Ukiangalia nchi maskini utagundua ndio wanapambana na dini kuliko zilizoendelea. Dini zinawafanya watu watumwa wa fikra wasiweze kufikiri zaidi ya kuamini wasichokijua.

Binadamu hajaweza kutumia uwezo wake wa kufikiri kwa sababu mbali mbali ikiwemo dini. Itambulike kwamba fikra ndio kila kitu. Kila kitu duniani kimetokana na fikra au wazo. Dini zitakuambia kuwa kila kitu kimeumbwa na Mungu. Huu sio ukweli. Mungu aliumba mara ya kwanza tena vitu vichache tu, lakini binadamu ndiye amekuwa akiumba vingine hadi leo. Mtoto akizaliwa ni matokeo ya uhai uliwekwa ndani mwanaume ukiunganishwa na mazingira ya uumbaji kwenye tumbo la uzazi la mwanamke na baadae kutokea au kumanifest kama binadamu. Hapa sii Mungu bali binadam wameendeleza uumbaji. Leo hii Mungu haumbi tena. Hii ndio procreation. Ila tukisema Mungu aliumba binadam tuko sahihi.

BTW Mbegu ya mwanume ndiyo yenye uhai tuu. Bahati mbaya hata yai la mwanamke halina uhai.

Najua wengine mtapiga mawe lakini ni kwa sababu ya dini zao.
 
Back
Top Bottom