Dunia ina mambo Macron katupiwa fupa ahangaike nalo kwa sababu ya kiherehere chake

Dunia ina mambo Macron katupiwa fupa ahangaike nalo kwa sababu ya kiherehere chake

Kimemlamba alikua Ana mdomo mrefu kwa Netanyahu na Israel
mossad wameingia kazini wanachoma kiberiti nchi yake haamini macho yake kwenye hayo maandamano wanaume wenye muonekano wa middle East ndio wamejaa front wazungu wamabaki kushangaa tu
Sio iran wamepeleka maajent wao kumuonyesha nayeye utamu na uchungu wa regime change na matokeo yake
 
Back
Top Bottom