Kwasasa Ulaya yote kutatokea Maandamano makubwa yenye kagisia
Tatizo kubwa Kazi hakuna Masoko hakuna
Vijana wa kizungu wamechaguo
kupombeka na Usodoma
Sio kusoma sana !!
Wametegeana kusoma !!
Kila mmoja anadhani mwenzie ndio atasoma badala yake yeye!!!!!!
Sasa wamejikuta njia panda
Matumizi yao Makubwa ukilinganisha na kuuza bidhaa zao nje ya nchi zao !!!!
Lkn mbaya zaidi uzalishaji Viwandani napo gharama zake zipo juu sana
Wkt uhakika wa Soko ni tatizo
Bidhaa za kilimo napo tatizo lile lile kukosekana Soko la uhakika!!!!!
WAZUNGU wa ULAYA wanaenda kufirisika kabisa kiuchumi na wanaenda kupigana Vita za kugombea kile kidogo wanacho !!
Sababu ktk nchi za Ulaya Magharibi ni chache sana zenye rasilimali zakujitutumuanazo
Wengi utegemea Masoko ya Viwandani na Mashambani !!!!
WAZUNGU wapo hoi sana kwasasa kipesa
Misaada yao kwa Africa imekata na ikiwepo ni vipesa kidogo sana!!
Tukumbuke WAZUNGU bado wana changamoto kubwa ya kuzaliana hawapendi kuzaa
Sasa Umasikini ukiongezeka manake Sababu za kuto kuzaliana zitaongezeka zaidi
Kwasasa Serikali zao zinatoa pesa kuwalipa Wazazi ili wazaliane !!
Lkn ugumu wa maisha unaokuja kwa kasi unaweza kuwa kikwazo kwa project ya Serikali ya kuwafanya raia wao wazaliane ✍️