Dunia ina mambo Macron katupiwa fupa ahangaike nalo kwa sababu ya kiherehere chake

Dunia ina mambo Macron katupiwa fupa ahangaike nalo kwa sababu ya kiherehere chake

Macron hajawa na tatizo na Iran. Macron anapishana sana na Netanyau. Mjifunze siasa madogo. Macron anawapigania Wapalestine
😁😁😁 ungekua unafuatilia siasa pekeako sawa tungekubaliana na wewe
Haya Macron anakuambia iran isiwe na nyuklia isiwe na makombora ya masafa marefu na is ifunguliwe hormuz
Haya nitajie nchi ipi ya ulaya ambayo inaenda kinyume na mambo anayoyataka macron 😁😁😁 mpaka useme kama macaroni hana shida na iran
Huu sio mwaka 60s kusema TV unayo mwenyewe chumbani
 
Ufaransa na Italia wote walikataa marekani asitumie base zake zilizo kwenye maeneo Yao kumshambulia Iran

Wote wamepinga wazi wazi sera za netanyahu na Israel kwenye vita vyake Gaza Lebanon na Iran

Sasa wanavuna walicho panda next ni Spain na England
Naona umeamua kukurupuka kama umetoka kuamka
Kama nchi zilizopinga vita na iran na kukatalia kambi zao mbona zipo nyingi tu
Nakwanini yakutokea yatokee kwa hao yanayotokea kwao
Yaani munataka kuwafanya mossad waonekane special wakati huo uspecial hawana
Zaidi ya kuwapamba tu kwenye media 😁😁😁
 
Ufaransa ni adui wa Iranian ni adui wa Palestine

Mwamba ni Spain pekee ktk Ulaya Magharibi

Wananchi wanaenda kupiga kura t Spain
Japo napo Uchumi wake sio mzuri lkn japo wamechaguo kusimama na HAKI ✍️
 
Naona umeamua kukurupuka kama umetoka kuamka
Kama nchi zilizopinga vita na iran na kukatalia kambi zao mbona zipo nyingi tu
Nakwanini yakutokea yatokee kwa hao yanayotokea kwao
Yaani munataka kuwafanya mossad waonekane special wakati huo uspecial hawana
Zaidi ya kuwapamba tu kwenye media 😁😁😁
Wewe huwezi kujua u special wa mossad ila Ayatollah Khamenei,Hassan Nasrallah top official wote wa IRGC hezbollah Hamas wote wanaujua u special wao

Mpaka leo mojtaba anaogopa kamera kuliko kitu chochote hapa duniani
 
Ufaransa na Italia wote walikataa marekani asitumie base zake zilizo kwenye maeneo Yao kumshambulia Iran

Wote wamepinga wazi wazi sera za netanyahu na Israel kwenye vita vyake Gaza Lebanon na Iran

Sasa wanavuna walicho panda next ni Spain na England
We nawe huna akili kilicho sababisha maandamano kwenye hizo nchi ni ugumu wa maisha ulio sababishwa na vita ya kipumbavu iliyo anzishwa na Trump na Netanyau dhidi ya Iran hivyo walikuwa sahihi kuvipinga Kwa sababu walijua ni nn kingetokea kwenye uchumi wa nchi zao.
Hata ww hapo ilipo upo unaugulia maumivu kutokana na hiyo vita.
 
Alikuwa na kiherehere sana huyu bwege
zile nchi ziko stable sana,hata wachome nini nchi haiwezi kuanguka,sababu vyombo vya usalama vyao vinaheshimu katiba,huwezi kupindua nchi ui gereza,ufaransa,italy,etc,,sababu vyombo vya ulinzi vinasimama na katiba,utafanya fujo zote,lakini utawala unabaki stable,njia pekee ya kuondoa utawala ni kupitia sanduku la kura tu,au kiongozi mwenyewe aamue kujiuzulu,uitishwe uchaguzi upya
 
Kwasasa Ulaya yote kutatokea Maandamano makubwa yenye kagisia

Tatizo kubwa Kazi hakuna Masoko hakuna

Vijana wa kizungu wamechaguo
kupombeka na Usodoma

Sio kusoma sana !!

Wametegeana kusoma !!
Kila mmoja anadhani mwenzie ndio atasoma badala yake yeye!!!!!!

Sasa wamejikuta njia panda

Matumizi yao Makubwa ukilinganisha na kuuza bidhaa zao nje ya nchi zao !!!!

Lkn mbaya zaidi uzalishaji Viwandani napo gharama zake zipo juu sana

Wkt uhakika wa Soko ni tatizo
Bidhaa za kilimo napo tatizo lile lile kukosekana Soko la uhakika!!!!!

WAZUNGU wa ULAYA wanaenda kufirisika kabisa kiuchumi na wanaenda kupigana Vita za kugombea kile kidogo wanacho !!

Sababu ktk nchi za Ulaya Magharibi ni chache sana zenye rasilimali zakujitutumuanazo

Wengi utegemea Masoko ya Viwandani na Mashambani !!!!

WAZUNGU wapo hoi sana kwasasa kipesa
Misaada yao kwa Africa imekata na ikiwepo ni vipesa kidogo sana!!

Tukumbuke WAZUNGU bado wana changamoto kubwa ya kuzaliana hawapendi kuzaa

Sasa Umasikini ukiongezeka manake Sababu za kuto kuzaliana zitaongezeka zaidi

Kwasasa Serikali zao zinatoa pesa kuwalipa Wazazi ili wazaliane !!

Lkn ugumu wa maisha unaokuja kwa kasi unaweza kuwa kikwazo kwa project ya Serikali ya kuwafanya raia wao wazaliane ✍️
Wanaoandamana sio wazawa,ni wapalestina,wa iran na waislamu wenzako kutoka mashariki ya kati,ndio maana kwenye hayo maandamano hamna bendela ya ufarasansa,ni bendela za Irani na Palestina tuu.
 
Umeandika kama vile una ujauzito wa miezi miwili,
Tafuna maembe mabichi huenda yakakusaidia.
Nyie mkienda kuweka makazi sehemu,hasa nchi za wakristo lazima mlete fujo,ndio maana saivi Marekani na Poland amewashtukia.
Rudini Oman mkale tende
 
Naona umeamua kukurupuka kama umetoka kuamka
Kama nchi zilizopinga vita na iran na kukatalia kambi zao mbona zipo nyingi tu
Nakwanini yakutokea yatokee kwa hao yanayotokea kwao
Yaani munataka kuwafanya mossad waonekane special wakati huo uspecial hawana
Zaidi ya kuwapamba tu kwenye media 😁😁😁
Ni kweli hawana u special, lakini walimpeleka ayatollah jehanamu ili akatombe mabikra 72 na mito ya pombe
 
Nyie mkienda kuweka makazi sehemu,hasa nchi za wakristo lazima mlete fujo,ndio maana saivi Marekani na Poland amewashtukia.
Rudini Oman mkale tende
Una maanisha fujo hii?
 

Attachments

  • Screenshot_20250909_192740_Gallery.jpg
    Screenshot_20250909_192740_Gallery.jpg
    144.9 KB · Views: 7
Ni kweli hawana u special, lakini walimpeleka ayatollah jehanamu ili akatombe mabikra 72 na mito ya pombe
Unawasifu wayahudi waliomsulubu yule Mungu wako sio?

Wewe bikra yako uliipoteza kwa wauza chipsi au kwa Bodaboda? naona umeanza kuwaonea wivu wenye bikra zao.
 
Back
Top Bottom