Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
πππ ungekua unafuatilia siasa pekeako sawa tungekubaliana na weweMacron hajawa na tatizo na Iran. Macron anapishana sana na Netanyau. Mjifunze siasa madogo. Macron anawapigania Wapalestine
Naona umeamua kukurupuka kama umetoka kuamkaUfaransa na Italia wote walikataa marekani asitumie base zake zilizo kwenye maeneo Yao kumshambulia Iran
Wote wamepinga wazi wazi sera za netanyahu na Israel kwenye vita vyake Gaza Lebanon na Iran
Sasa wanavuna walicho panda next ni Spain na England
Wewe huwezi kujua u special wa mossad ila Ayatollah Khamenei,Hassan Nasrallah top official wote wa IRGC hezbollah Hamas wote wanaujua u special waoNaona umeamua kukurupuka kama umetoka kuamka
Kama nchi zilizopinga vita na iran na kukatalia kambi zao mbona zipo nyingi tu
Nakwanini yakutokea yatokee kwa hao yanayotokea kwao
Yaani munataka kuwafanya mossad waonekane special wakati huo uspecial hawana
Zaidi ya kuwapamba tu kwenye media πππ
We nawe huna akili kilicho sababisha maandamano kwenye hizo nchi ni ugumu wa maisha ulio sababishwa na vita ya kipumbavu iliyo anzishwa na Trump na Netanyau dhidi ya Iran hivyo walikuwa sahihi kuvipinga Kwa sababu walijua ni nn kingetokea kwenye uchumi wa nchi zao.Ufaransa na Italia wote walikataa marekani asitumie base zake zilizo kwenye maeneo Yao kumshambulia Iran
Wote wamepinga wazi wazi sera za netanyahu na Israel kwenye vita vyake Gaza Lebanon na Iran
Sasa wanavuna walicho panda next ni Spain na England
Ulokore ni Moja wapo ya ugonjwa wa akili hapa dunianiMacron atashika adabu,chezea Israel wewe!
Kama alivyoogopa Turampet akajificha kwenye gari la sausage πππWewe huwezi kujua u special wa mossad ila Ayatollah Khamenei,Hassan Nasrallah top official wote wa IRGC hezbollah Hamas wote wanaujua u special wao
Mpaka leo mojtaba anaogopa kamera kuliko kitu chochote hapa duniani
zile nchi ziko stable sana,hata wachome nini nchi haiwezi kuanguka,sababu vyombo vya usalama vyao vinaheshimu katiba,huwezi kupindua nchi ui gereza,ufaransa,italy,etc,,sababu vyombo vya ulinzi vinasimama na katiba,utafanya fujo zote,lakini utawala unabaki stable,njia pekee ya kuondoa utawala ni kupitia sanduku la kura tu,au kiongozi mwenyewe aamue kujiuzulu,uitishwe uchaguzi upyaAlikuwa na kiherehere sana huyu bwege
Mtumishi,Hormuz mbona hawafungui?Wewe huwezi kujua u special wa mossad ila Ayatollah Khamenei,Hassan Nasrallah top official wote wa IRGC hezbollah Hamas wote wanaujua u special wao
Mpaka leo mojtaba anaogopa kamera kuliko kitu chochote hapa duniani
Kuwatetea Palestina,Asa Palestina na makobazi wenzako wameenda nchini kwake kumuonesha athari zao.Kiherehere cha kwenye nini mkuu?
Umeandika kama vile una ujauzito wa miezi miwili,Kuwatetea Palestina,Asa Palestina na makobazi wenzako wameenda nchini kwake kumuonesha athari zao.
Wanaoandamana sio wazawa,ni wapalestina,wa iran na waislamu wenzako kutoka mashariki ya kati,ndio maana kwenye hayo maandamano hamna bendela ya ufarasansa,ni bendela za Irani na Palestina tuu.Kwasasa Ulaya yote kutatokea Maandamano makubwa yenye kagisia
Tatizo kubwa Kazi hakuna Masoko hakuna
Vijana wa kizungu wamechaguo
kupombeka na Usodoma
Sio kusoma sana !!
Wametegeana kusoma !!
Kila mmoja anadhani mwenzie ndio atasoma badala yake yeye!!!!!!
Sasa wamejikuta njia panda
Matumizi yao Makubwa ukilinganisha na kuuza bidhaa zao nje ya nchi zao !!!!
Lkn mbaya zaidi uzalishaji Viwandani napo gharama zake zipo juu sana
Wkt uhakika wa Soko ni tatizo
Bidhaa za kilimo napo tatizo lile lile kukosekana Soko la uhakika!!!!!
WAZUNGU wa ULAYA wanaenda kufirisika kabisa kiuchumi na wanaenda kupigana Vita za kugombea kile kidogo wanacho !!
Sababu ktk nchi za Ulaya Magharibi ni chache sana zenye rasilimali zakujitutumuanazo
Wengi utegemea Masoko ya Viwandani na Mashambani !!!!
WAZUNGU wapo hoi sana kwasasa kipesa
Misaada yao kwa Africa imekata na ikiwepo ni vipesa kidogo sana!!
Tukumbuke WAZUNGU bado wana changamoto kubwa ya kuzaliana hawapendi kuzaa
Sasa Umasikini ukiongezeka manake Sababu za kuto kuzaliana zitaongezeka zaidi
Kwasasa Serikali zao zinatoa pesa kuwalipa Wazazi ili wazaliane !!
Lkn ugumu wa maisha unaokuja kwa kasi unaweza kuwa kikwazo kwa project ya Serikali ya kuwafanya raia wao wazaliane βοΈ
Nyie mkienda kuweka makazi sehemu,hasa nchi za wakristo lazima mlete fujo,ndio maana saivi Marekani na Poland amewashtukia.Umeandika kama vile una ujauzito wa miezi miwili,
Tafuna maembe mabichi huenda yakakusaidia.
Ni kweli hawana u special, lakini walimpeleka ayatollah jehanamu ili akatombe mabikra 72 na mito ya pombeNaona umeamua kukurupuka kama umetoka kuamka
Kama nchi zilizopinga vita na iran na kukatalia kambi zao mbona zipo nyingi tu
Nakwanini yakutokea yatokee kwa hao yanayotokea kwao
Yaani munataka kuwafanya mossad waonekane special wakati huo uspecial hawana
Zaidi ya kuwapamba tu kwenye media πππ
Una maanisha fujo hii?Nyie mkienda kuweka makazi sehemu,hasa nchi za wakristo lazima mlete fujo,ndio maana saivi Marekani na Poland amewashtukia.
Rudini Oman mkale tende
Hapo ni ufaransa?Una maanisha fujo hii?
Unawasifu wayahudi waliomsulubu yule Mungu wako sio?Ni kweli hawana u special, lakini walimpeleka ayatollah jehanamu ili akatombe mabikra 72 na mito ya pombe
Wewe ulipoandika Marekani na Poland,hizo nchi zipo Ufaransa?Hapo ni ufaransa?