Dunia ina mambo Macron katupiwa fupa ahangaike nalo kwa sababu ya kiherehere chake

Huna unalojua. You are such a nincompoop claiming to be clever and intellect. Kiazi mbatata wewe.
You know nothing. You are such a nincompoop bitch claiming to be clever and intellect. Mazafanta wewe
 
Hakuna mzungu anaewapenda wairan mzee hata huyo Russia sina imani nae kwa mimi lakini
Umeona umetoa mfano kwa libya na Gaddafi
Hivyo ndio wazungu popote pale walivyo
Linapokuja suala la maslahi yao wewe watakukataa tu na watakuua kama Gaddafi
Kwahio kuwa na imani na hao watu ni shida sana
Ufaransa inaipenda iran ipi ilitangaza iran isiwe na makombora ya masafa marefu isiwe na silaha za nyuklia isiufunge mlango bahari wa Hormuz (haikusema kwamba sirikali ipinduliwe)
Sasa kwa hayo waloyasema hapo juu unaona ndo kuipenda iran huku mzee
Yaani iran isiwe na makombora ya masafa marefu ili siku israhell ikiamua kuipiga iran waipige tu ili isiweze kujitetea (mbona wao ufaransa wanayo)
Yaani iran isiwe na nyuklia wakati huo huo hawataki israhell ikae bila ya nyuklia (mbona wao ufaransa wanazo)
Yaani iran iufungue mlango bahari wa hormuz ambao awali ulikua upo wazi na wao wakatishia kupeleka mpaka meli za kivita ili kuufungua mlango (mbona hawakuangalia chanzo cha tatizo)
Ufaransa na western wote lao moja linapokuja suala la iran sababu wapo kwaajili ya kuilinda israhell na kwasasa anaeitisha israhell ni iran pekee
 
Licha ya kua sijapata elimu nzuri ila. A uhakika hujanizidi
 
Licha ya kua sijapata elimu nzuri ila. A uhakika hujanizidi
Elimu ya Tanzania ni ngumu sana ndo maana hatutaki nyie mkasome shule nzuri. Bado hujaelewa kitu mpaka hapo? Ni lugha ndo mtihani au basi tu we ni slow learner? Huwezi elewa ndo athari ya ninyi Gen Z miaka hii ndo kabisa hamna elimu sababu hamjapata shule nzuri
 
Wewe endelea kupiga kelele ila huna unalojua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…