Dunia ina mambo Macron katupiwa fupa ahangaike nalo kwa sababu ya kiherehere chake

Dunia ina mambo Macron katupiwa fupa ahangaike nalo kwa sababu ya kiherehere chake

Actualy i dont recall when alitaka vita na iran, ni moja ya european countries zilizokataa kushiriki hilo jambo na lilimkera trump
Ufaransa alibadili gear angani. Alishaanza kupeleka jeshi la majini kufungua Hormuz. Ila Iran ilipomuonya alirudi nyuma. Macron alishiriki indirectly vita dhidi ya Iran. Tangu mwaka jana miongoni mwa Air Force zilizoshiriki kudungua makombora ya Iran yanayoenda Israel ni Ufaransa na Uingereza.
 
Macron hajawa na tatizo na Iran. Macron anapishana sana na Netanyau. Mjifunze siasa madogo. Macron anawapigania Wapalestine
Acha kuropoka wewe. Lini Macron alikua sawa na Iran!? Tangu mwaka jana Ufaransa ilihusika na vita dhidi ya Iran. Hata mwaka huu pia kambi yake ya siri pale UAE ilishambuliwa. Alipeleka meli vita Hormuz Iran akampa onyo ndio akarudi nyuma.
 
...ukiachana na hayo maandamano yanayoendelea, Macron ni miongoni mwa viongozi waliojaribu kupinga sera za Netanyahu kuhusu eneo la Gaza.

...France walikua na support kubwa sana kwenye kuingia madarakani kwa Ayattollah Ruhollah Khomein maana aliingia Iran kwenda kufanya mapinduzi akiwa anatoa France.
Tofautisha 1979 na 2026. Sera hubadilika kulingana na viongozi.
Hata vita ya 1980-1988 Israel aliisaidia Iran dhidi ya Iraq na Marekani. Je unataka kusema sasa hivi Israel rafiki wa Iran!??
 
Madogo inawezekana lugha inawapiga chenga huwa hamuelewi. Mimi sijaishia madrasa tu. Nimesoma mpaka nje ya nchi. Naweza Kiswahili, Kiarabu, Kiiengereza na Kifaransa kidogo. Hebu muelewe kuwa Macron na Netanyau hawana urafiki na Israel wanachekea chooni kwa sasa.
View attachment 3693224View attachment 3693225View attachment 3693226View attachment 3693227View attachment 3693228View attachment 3693229
We matako acha kuandika utumbo. Nchi 159 za UN ziliungana na Palestina na kuiacha Israel tangu UNSC 2023. Sio Ufaransa peke yake. Suala la Lebanon na Gaza ni tofauti na suala la vita dhidi ya Iran.
Mbona hayo maandamano hayajatokea nchi 158 zilizobaki!?
 
Maandamano yapo nchi kadhaa, mpaka huko Colombia watu wanalalamika gharama za maisha, alafu kuna MTU anajitokeza eti wakimbizi Wana haribu nchi za watu, ni ujinga kiwango cha lami
 
Kuna punguani humu ndani warakwambia eti Macron anashikishwa adabu na Mossad kisa anaungana na Palestina na Lebanon.
Muswada wa kuiunga mkono Palestina na Lebanon ni nchi takrin 150+ za UN ziliunga mkono. Hata kyra zile za kikao cha United Nations Security Council tangu 2024 ziliunga mkono kukamatwa kwa Netanyahu nchi 150+ na kuanzishwa kwa taifa la Palestina. Kikao cha mwaka jana na mwaka huu cha UNGA kilionesha 90% ya viongozi wakiondoka pindi Netanyahu alipoanza kuongea kikaoni.
Yanayoendelea Ufaransa,Albania,Ubelgiji ni athari mama ya vita za RUSSIA VS UKRAINE. Gharama za maisha zimepanda Ulaya kuliko kawaida. Mossad hahusiki huko. Mbona Albania mfuasi wa Israel na yeye kwake kuna maandamano!?
 
Well said, maandamano yapo Belgium, Colombia na baadhi ya nchi zingine, wanalalamika gharama za maisha, juzi nchi za ulaya katika vikao vyao, walisema wamepata hasara ya euro bil 100, na hii kutokana na vita Ukraine na kule Iran.

Je marekani wanasemaje? Wao wanasema gharama za mafuta zitapungua baada ya kupata suluhu na Iran. My take, watu waache kushikiwa akili, eti wakimbizi wanaharibu nchi za watu, bado kuna machafuko makubwa yanakuja kwa nchi nyingi, Hali ikiendelea hivi hivi
 
Tofautisha 1979 na 2026. Sera hubadilika kulingana na viongozi.
Hata vita ya 1980-1988 Israel aliisaidia Iran dhidi ya Iraq na Marekani. Je unataka kusema sasa hivi Israel rafiki wa Iran!??
Kwenye Geopolitics hamna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu, wakati wa vita vya Iran Vs Iraq Israel alimsaidia Iran sio kwa sababu Iran alikua rafiki yake ila kwa kipindi kile Saddam Husein alikua moto wa kuotea mbali, alikua na ushawishi mkubwa kwenye Pan Arabism kitu ambacho Israel hakutaka kuskia, Gulf War nyuma yake kulikua na michezo mingi sana.
 
Ufaransa na Italia wote walikataa marekani asitumie base zake zilizo kwenye maeneo Yao kumshambulia Iran

Wote wamepinga wazi wazi sera za netanyahu na Israel kwenye vita vyake Gaza Lebanon na Iran

Sasa wanavuna walicho panda next ni Spain na England
Wagalatia mbona mnakuza sana mambo....
Basi na TZ wanakuja..
Coz makam aliongea UNGA...
"PEACE FOR GAZA".....
 
Labda aachie ngazi ya Garofalo ila sio nchi
Binafsi spendi ujinga wa chadema na ujinga wa CCM
Ila kwa ule ujinga wenu muloufanya last time acha mupigwe tu
Awamu hii tumejipanga vya kutosha.lazima atokehuyo mama yenu.makombora tuliyoyapata urusi tutayatumia vyema kudai haki.
 
Acha kuropoka wewe. Lini Macron alikua sawa na Iran!? Tangu mwaka jana Ufaransa ilihusika na vita dhidi ya Iran. Hata mwaka huu pia kambi yake ya siri pale UAE ilishambuliwa. Alipeleka meli vita Hormuz Iran akampa onyo ndio akarudi nyuma.
Hujui kitu dogo unaharisha tu. Kajitawaze, then uvae nepi ndo uje ukae kitako wanaume wenye elimu na pesa tunapoongea.
 
Kwenye Geopolitics hamna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu, wakati wa vita vya Iran Vs Iraq Israel alimsaidia Iran sio kwa sababu Iran alikua rafiki yake ila kwa kipindi kile Saddam Husein alikua moto wa kuotea mbali, alikua na ushawishi mkubwa kwenye Pan Arabism kitu ambacho Israel hakutaka kuskia, Gulf War nyuma yake kulikua na michezo mingi sana.
Ndiyo hicho nachomueleza huyo jamaa hapo. Eti kisa France ilimficha Khomeini na kumrejesha 1979 baada ya mapinduzi anadhani hadi sasa Iran na France marafiki. Ilhali hata mwaka jana June war jeshi la anga la Ufaransa lilishiriki kuyaangusha makombora ya Iran yanayoelekea Israel.
 
Maisha ni magumu mpaka watakapo jifunze kuheshimu wakubwa wenzie kitendo cha kumbana Iran na urusi ndio kaburi la ulaya kiuchumi watakosa kila kitu wakijifanya kuendelea kuisapoti vita, maana wese na gesi itakata zaidi hapo hakuna chochote Saudia na Yemen ndio msumari wa mwisho ulioimaliza EU maana pipa milion 7 kwa siku pekee zilikuwa zikitoka saudi sasa muyemeni kakata mrija
 
Back
Top Bottom