Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Kwa namna gani?kuna mambo mengi labda wengi hamuelewi, huyo macron ndiyo yuko nyuma ya hayo yote yanayoendelea …
Kwa namna gani?kuna mambo mengi labda wengi hamuelewi, huyo macron ndiyo yuko nyuma ya hayo yote yanayoendelea …
Labda upande wa iran ya jfFrance alikuwa upande wa Iran
Na mie nimefatilia nimefikia hitimisho kwamba licha ya hilo tatizo utaendelea kuteseka tu😁😜😁Nimeifatilia hii ishu na kuhitimisha, tatizo kubwa ni Uislam na harakati za mwarabu nchini Ufaransa ndo tatizo
Kama mende tu mpaka umwite shemegi 😁😁😁Wewe dakika moja tuu kama wa palestina wenzako tunavyo waua
😁😁😁 wewe unafatilia nini acha keleleMacron hajawa na tatizo na Iran. Macron anapishana sana na Netanyau. Mjifunze siasa madogo. Macron anawapigania Wapalestine
Sasa haya maandamano kwanini yasingetokea kipindi cha ruhullah yanatokea leo...ukiachana na hayo maandamano yanayoendelea, Macron ni miongoni mwa viongozi waliojaribu kupinga sera za Netanyahu kuhusu eneo la Gaza.
...France walikua na support kubwa sana kwenye kuingia madarakani kwa Ayattollah Ruhollah Khomein maana aliingia Iran kwenda kufanya mapinduzi akiwa anatoa France.
Una uhakika vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran hakushiriki?
Nachojaribu kusema ni huu uongozi wa Ayattolah una mkono wa France katika kuichukua Ile nchi ya Iran.Sasa haya maandamano kwanini yasingetokea kipindi cha ruhullah yanatokea leo
😁😁😁 wewe unafatilia nini acha kelele
Madogo inawezekana lugha inawapiga chenga huwa hamuelewi. Mimi sijaishia madrasa tu. Nimesoma mpaka nje ya nchi. Naweza Kiswahili, Kiarabu, Kiiengereza na Kifaransa kidogo. Hebu muelewe kuwa Macron na Netanyau hawana urafiki na Israel wanachekea chooni kwa sasa.Nachojaribu kusema ni huu uongozi wa Ayattolah una mkono wa France katika kuichukua Ile nchi ya Iran.
Madogo inawezekana lugha inawapiga chenga huwa hamuelewi. Mimi sijaishia madrasa tu. Nimesoma mpaka nje ya nchi. Naweza Kiswahili, Kiarabu, Kiiengereza na Kifaransa kidogo. Hebu muelewe kuwa Macron na Netanyau hawana urafiki na Israel wanachekea chooni kwa sasa.mtamkana sana, atulie sasa dawa iingie vizuri
Iran ashikilie hapohapo, hakuna kufungua Hormuz
Labda aachie ngazi ya Garofalo ila sio nchiNa sisi watanganyika lazima tumwondoe huyu mama tarehe 29/10/2026. Lazima nchi tuichome moto mara 10 ya ilivyokuwa maandamano ya mwanzo ili kumlazimisha huyu mmama kuachia ngazi
Kwasababu ruhullah alikaa uhamishoni ufaransaNachojaribu kusema ni huu uongozi wa Ayattolah una mkono wa France katika kuichukua Ile nchi ya Iran.
Kwahio ukisema umesoma nje ndio utamtisha nani sasa😁Madogo inawezekana lugha inawapiga chenga huwa hamuelewi. Mimi sijaishia madrasa tu. Nimesoma mpaka nje ya nchi. Naweza Kiswahili, Kiarabu, Kiiengereza na Kifaransa kidogo. Hebu muelewe kuwa Macron na Netanyau hawana urafiki na Israel wanachekea chooni kwa sasa.
View attachment 3693224View attachment 3693225View attachment 3693226View attachment 3693227View attachment 3693228View attachment 3693229
....Ufaransa hua tunamweka kundi moja na mataifa ya magharibi tu lakini hajawahi kua na sera kali ya mambo ya nje hasa hasa middle east yeye hua anaangaliia Afriica.Kwasababu ruhullah alikaa uhamishoni ufaransa
Hili nilikuelewa sana ila kwanini kwasasa sera zao zinaonekana kupishana
Ama zinapishana kwenye media ila huko back wanajuana
😀😀😀umenikumbusha sijui ni Spain ileKimemlamba alikua Ana mdomo mrefu kwa Netanyahu na Israel
mossad wameingia kazini wanachoma kiberiti nchi yake haamini macho yake kwenye hayo maandamano wanaume wenye muonekano wa middle East ndio wamejaa front wazungu wamabaki kushangaa tu
Unabisha hovyo tuMtetezi wa Palestine ni Spain sio Ufaransa
Yangetoke Spain japo tungesema pengine ni Mossad lkn Ufaransa ni Umasikini wa Ufaransa tu
Msisahau PUTIN alisema ktk Ulaya Ufaransa aina aja kupigananayo kivita
Kasema Ufaransa wakikosa tu rasilimali za Africa Ufaransa inaenda Sambaratika yenyewe
Mabomu hayaitajiti
kwa Ufaransa 😛
na ndio tunao leo !!
Mjue leo tena
kuna kundi kubwa zaid linaingia nalo kuandamana
sasa ndio kizazaa kikubwa kinaendatokea
kuliko siku zote za Wanafunzi na walimu wao !!
Kwahio ukisema umesoma nje ndio utamtisha nani sasa😁
Ufaaransa chini ya macaroni maandamano jambo la kawaida sana
Unaikumbuka yellow vest au nayo aliiunga mkono iran
Kama wewe ndio umesoma nje bora urudi st kayumba ukapigwe msasa maaana huko nje itakua ulienda kushangaa maghorofa tu na wazungu
Na usikute uliona wacongo man wamejichubua ukahisi wazungu kumbe weusi wenzio