Dunia ina mambo ya ajabu hii, nikisikia mtu kajiua sishangai kabisa

Hayo mambo sio ya famlia zilizozaa nje tu

Hata familia zenye watoto wote baba. Mmoja mama mmoja hayo mambo yapo

Tunafamilia ya watto kumi ila tunaishi kama maadui vile
 
hili uliloongea hapa ni jambo la kawaida..pambana..tukikueleza side zetu huu uzi utafuta
mwaga tu mkuu unitag nione huko kwengine tufarajiane nshapoteza ndugu wawil mmoja kajinyoga na wa pili kifo chake kimejaa utata kilichoniuma mm ni mazish yao kugharimu pesa nying zaid ya hata msaaada walioutaka wakiwa hai
 
Hayo mambo sio ya famlia zilizozaa nje tu

Hata familia zenye watoto wote baba. Mmoja mama mmoja hayo mambo yapo

Tunafamilia ya watto kumi ila tunaishi kama maadui vile
kuzaliwa one family kuna afadhali ww sio nje ni balaa la kufa mtu
 
Dada unakoelekea utaolewa kizembe sana.
 
Mwisho wa siku tafuta vya kwako, ndugu kama wewe wa kujiliza liza kila jambo mpo sana, dunia ya kibepari hii ukisubiri kupewa utasubiri sana!
Et wana uwezo, sasa wewe umekatazwa kuwa na uwezo?[emoji1]

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
mm nakuelewa ila nielewe kitu kimoja mbona baadh wanapewa support na kutambiana inakuaje hii apa nina mqwazo kufutq namba zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…