Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Why there is something rather than nothing?
Because there can not be nothingWhy there is something rather than nothing?
Haya ni makadirio tu ya kisayansi hususani kwa kupima umri wa miamba kwa kutumia miyonzi.Dunia ina wastani wa miaka bilioni nne na nusu,hayo maswali yako baada ya miaka 400 ijayo vizazi vya huko pia vitajiuliza hivyo kwamba sisi tulikua vilaza kwa technojia itakavyokua
Logical non sequitur.Ajuaye umri exactly wa Dunia ni Mungu tu.
Einstein relativity inasema kwamba..Kwani dunia ilijitengeneza yenyewe? Ilijitengenezaje? Na kabla ya kuwepo dunia, nini kilikuwepo? Na kama vilikuwepo vitu (material) ambavyo viliunda (form) dunia, hivyo vitu vilitoka wapi? Je, unaweza kupata kitu pasipo na kitu?
Nothing doesn't exist.Why there is something rather than nothing?
Hakuna kinachoitwa kitu (object) ambacho hakikutengenezwa. Vitu vyote (vinavyoonekana na visivyoenekana) ni lazima kuna asili yake (mtengenezaji).Einstein relativity inasema kwamba..
"The rate at which time passes, Depends on your frame of reference"
Sasa kuuliza Dunia ili jitengenezaje, Unauliza kutoka frame ya reference ipi?
Kwa nini unadhani dunia imetengenezwa au ili jitengeneza?
Kama kila kitu lazima kiwe na mtengenezaji wake, Na Mtengenezaji wa dunia na yeye lazima awe na mtengenezaji wake.Hakuna kinachoitwa kitu (object) ambacho hakikutengenezwa. Vitu vyote (vinavyoonekana na visivyoenekana) ni lazima kuna asili yake (mtengenezaji).
Yawezekana kitu hicho kimejiunda kutokana na mkusanyiko wa vitu vidogo vidogo kutoka vyanzo tofauti, lakini vyanzo hivyo vitengenezwa. Kwa mfano diatomic gases kama oxygen, hizi zilijiunda kwa kuungana atomi mbili za oxygen, na vyanzo vya atomi hizo vinajulikana (vinaweza kuwa maji au mimea).
Dunia nayo huenda ni muunganiko wa vitu tofauti tofauti. Sasa hivyo vitu vilitengenezwa na nani? Huwezi kusema ilitokea kusikojulikana!
Kuhusu time reference, hii ihesabiwe tangu dunia ilipozaliwa (ilipojitokeza), kwani watu wanasema muda una uhusiano na "gravity", ambayo hupatikana kwenye uso wa dunia.
There is a super power which is the beginning of every thing including the earth!Kama kila kitu lazima kiwe na mtengenezaji wake, Na Mtengenezaji wa dunia na yeye lazima awe na mtengenezaji wake.
Mtengenezaji wa dunia na yeye hawezi kutokea tu from nothing.
Hapa sasa kuna infinity ya watengenezaji. Maana kila mtengenezaji lazima awe na mtengenezaji wake.
Ndio nikawa najiuliza haya madubwasha yalikufakufaje maana yamepotea yote hata huku fuvu lake liligunduliwa mojaChatatu ni pale dunia ilipopigwa kimondo kuua dinasour wote wasio ndege
Tuongezee nyama nyama hapa au fungua uzi mpya elezea kiundaniYani ya binadamu au viumbe.. Dunia imepitia vifo vya halaki kama vipindi vitatu hv. Kipindi cha kwanza ni pale cyno bacteria walipoanza tengeneza oxygen dunia ikaganda. Chapili kinaitwa great dying hatujui sababu yake ila asilimia 95% ya viumbe wa nchi kavu walikufa na 98% ya baharini walikufa... Chatatu ni pale dunia ilipopigwa kimondo kuua dinasour wote wasio ndege
Biblia kitabu Cha juzi, haiwezi kuwa na majibu hapaMwanzo 1:1-
"Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. Nayo nchi ilikuwa tupu, tena bila umbo, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji."
Biblia haijaweka wazi kuwa nchi ilikuwa tupu Kwa muda Gani.
Sayansi inaweza jibu ila Hilo jibu pia sio uhakika.
hapo ndipo imani inakuja. Kuna mwanasayansi mmoja aliamua kujiua ili ajue baada ya kufa unakwenda wapi, tunasubiri bandiko lake tulisome.Kwani dunia ilijitengeneza yenyewe? Ilijitengenezaje? Na kabla ya kuwepo dunia, nini kilikuwepo? Na kama vilikuwepo vitu (material) ambavyo viliunda (form) dunia, hivyo vitu vilitoka wapi? Je, unaweza kupata kitu pasipo na kitu?
tunaamini MUNGU kwa mara ya kwanza tangu kuubwa kwa ulimwengu alijifunua kupitia kwa Nabii wake Musa ili atuletee ujumbe huo kwenye Torati yenye vitabu 3.Biblia kitabu Cha juzi, haiwezi kuwa na majibu hapa
SawasawaDunia ina wastani wa miaka bilioni nne na nusu,hayo maswali yako baada ya miaka 400 ijayo vizazi vya huko pia vitajiuliza hivyo kwamba sisi tulikua vilaza kwa technojia itakavyokua
Mr dewijWanajamvi Salam.
Leo nataka kujua zaid kuhusu mada fikirishi ya umri wa dunia. Kupitia hadithi mbalimbali za historia na vitabu vya dini, zinatuambia Kwamba Dunia ilianza takriban miaka million kadhaa huko nyuma. Pia watu walioishi miaka hiyo ya nyuma sana inasimuliwa na kuaminika kwamba walikua ni watu wenye maumbile makubwa sana kimwili, wenye nguvu sana, wenye akili sana, majasiri, wenye uthubutu, na sifa nyinginezo kedekede.
Swali langu la msingi ni kwamba, kwa huu umri wa Dunia unaosimuliwa na aina ya watu waliokwepo zamani, kwanini Civilization na technological advancement zimechelewa sana? Kwanini maisha ya zamani yalikua magumu sana, (only strongest survived) Kwanini maisha yamekua some how simplified kuanzia karne ya angalau ya 15 hapo?
Does it mean hao watu wa zamani walikua vilaza sana tofauti na historia zinavowapamba? Kama sio, kwanini hawakuwa na hiyo akili na uvumbuzi wa teknolijia ambayo ingepunguza ugumu wa maisha tokea miaka hiyo??
Kwa wale Watu wazima waliozaliwa miaka kati ya 1930 hadi 1970 ambao wako hai hadi leo, wanasema wameishi katika ulimwengu wa zaid ya aina 3 hapahapa duniani. Kwanini wanasema hivyo? Angalia gap la mabadiriko ya dunia kuanzia 2010 hadi sasa, Rudi nyuma Kidogo angalia mabadiriko ya dunia ya 2000 hadi 2010, kisha endelea kurudi nyuma kwa kuangalia dunia ya miaka chini ya 2000. Nadhani hapo utakua umepata picha kidogo ya swali langu. Dunia ya 2000 ni tofauti kabisa na dunia ya 2023.
Hiyo dunia ya zamani na watu wake wenye uwezo mkubwa walishindwa hata kutengeneza simu ili wawasiliane? Computer zimekuja mwishoni mwa karne ya 20 (miaka ya 1940-1950) kama sikosei, Simu pia zilianza miaka ya 1980s, magari na vyombo vingi vya moto vilianza kuanzia angalau karne ya 15 hapo. Unaambiwa watu walikua wanasafiri hata miezi kadhaa wako tu njiani. Sasa hizo akili na uwezo wao mkubwa ulikua wap?
Mwisho, mi naamini hii dunia ni ya Juzijuzi tu hapo. Naombeni mje na hoja za kusema hii dunia ina hiyo miaka mamilioni.
Mabaki ya denouser tu yanaonyesha waliishi miaka milioni 200 iliyopita,mabaki ya fuvu waliloamua kuliita zinja hapo arusha linaonyeaha aliishi miaka milioni 2 iliyopita ,mapango yale ya amboni cave ya tanga yakipimwa yanaonyesha yalikuwpo miaka milioni 30 iliyopita sasa wewe hivyo vimiaka 6000 iliyopita ambayo baadhi ya mavuvu ya mapharao ambayo yapo hadi leo yanaonyesha baadhi waliishi miaka hiyo 6000 iliyopita.walioandika hayo maandiko ya biblia kwmba dunia ina miaka 6000 tubaadhi yao walikua hawajielewi au shule ilikua ndogo au waliandika kwaajili ya watu wasikua na akili ya kufikiriaKulingana na hesabu ya vizazi na miaka yao waliyoishi katika biblia, inakadiriwa tangu Edeni mpaka wakati wa Gharika, ni miaka elfu 2, na tangu wakati wa gharika mpaka kuzaliwa kwa Bwana Yesu ilipita miaka elfu 2 hivi, na tangu kipindi cha Bwana wetu Yesu hata leo nacho pia ni kipindi cha miaka elfu 2 kimepita. Kwahiyo jumla yake tangu Edeni mpaka sasa ni miaka kama elfu 6