Dunia ina Umri gani?

Haya ni makadirio tu ya kisayansi hususani kwa kupima umri wa miamba kwa kutumia miyonzi.

Lakini hili sio jibu la uhakika
Yes ni makadirio yanayokaribia ukweli baada ya tafiti za kisayansi ,sio kuambiwa eti dunia ina miaka 6000 bila tafiti yoyote ,na kulazimika kuamini kwa hofu ya kuchomwa moto huko kwenye mawingu
 
Time passes different to different observers ,

1st scenario.
Now imagine you're having a cup of coffee and unfortunately you slightly displaced the cup of coffee on the ground and it broke into several pieces

2.nd scenario.

Now imagine you are sitting beside a broken pieces of the cup and they started coming up together reform a cup and gently the cup traject itself back on toP of the table( Reverse of the first scenario).

Do you think the time taken for the cup to break down into several pieces will be equal to its reverse scenario?


What does it tell us about the energy?

Is there any possibility that their will be and interconnectedness of the two scenario where by a person can observe two events ?


Is scenario two even possible in real life situation? Why do you think so
 
Mkuu Enzi za farao,simu zilikuwepo..Tena mobile na hata laptop...ndege pia zilikuwepo.
 
Yes ni makadirio yanayokaribia ukweli baada ya tafiti za kisayansi ,sio kuambiwa eti dunia ina miaka 6000 bila tafiti yoyote ,na kulazimika kuamini kwa hofu ya kuchomwa moto huko kwenye mawingu
Makadirio yanaweza kuwa sawa au yasiwe sawa au yanayokaribiana kuwa sawa na ukweli... haimaanishi kila kadirio ni sahihi au ni la kweli, linaweza kuwa si kweli vilevile.
 
There is a super power which is the beginning of every thing including the earth!
Hiyo super power iliwezaje kuwepo kutoka kwa kutokuwepo kitu?

Yani kwamba hiyo super power ilitokea tu, from nothing?

Kwa nini unadhani ulimwengu una chanzo na una amini hiyo Super Power ilitokea tu from nothing?

Unashindwaje kuamini pia Ulimwengu hauna chanzo?

Kama kila kitu lazima kiwe na mtengenezaji basi hata hiyo "Super Power" lazima iwe na mtengenezaji na watengenezaji endless, infinity hukooo ya watengenezaji.
 
Mkuu Enzi za farao,simu zilikuwepo..Tena mobile na hata laptop...ndege pia zilikuwepo.
Braza hii mbona kama kamba๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… tunaamini misri enzi hizo kemet kama historia inavotuambia ilkua mbele sana ya muda lkn sio kua na laptop ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
tunaamini MUNGU kwa mara ya kwanza tangu kuubwa kwa ulimwengu alijifunua kupitia kwa Nabii wake Musa ili atuletee ujumbe huo kwenye Torati yenye vitabu 3.
Sasa hili swali sio la IMANI.
Hili ni swali la kisayansi
 
Nimeweka position ilivyo kwenye biblia sijachukua upande wowote Mkuu
 
Mm nadhani teknolojia inazidi kukua tangu mwaka wa kwanza duniani.
Kama ambavyo tunavowashangaa watu wa miaka ya nyuma na teknolojia yao, nao watu wa miaka ijayo pia watatushangaa.
Mfano, miaka kadhaa ijayo watu watashangaa hii teknolojia yetu ya 2023 jinsi ilivyo ya kiboya.
Watu wataanza kusafiri na kuishi popote pale bila kutegemea passport wala visa na wataanza kushangaa haya maisha yetu ya 2023 tunawezaje kutegemea passport na visa.
Watu watakuwa na intanet ya kasi zaidi ya sasa na kutushangaa tulikuwa tunawezaje kuvumilia kasi ya kobe ya 5G

N.K
 
Dunia Haina umri mazee vitu vingine anajua Mungu tu
Ajuaye umri exactly wa Dunia ni Mungu tu.
Nyie ndio mnaosababisha watu waendelee kumtukana huyo Mungu sababu mmejiwekea limitation ya kutumia akili badala yake mnatumia hisia.

Akili mlipewa na huyo Mungu muzitumie kufikiri mambo magumu na sio kumuachia yeye awasaidie kuwaza..dunia mlipewa muitawale na kutawala kwenyewe lazima utumie akili kujua kitu unachokitawala.

Acheni ujinga tumien akili msimuachie Mungu mambo yaliyo ktk uwezo wenu
 
Ndio nikawa najiuliza haya madubwasha yalikufakufaje maana yamepotea yote hata huku fuvu lake liligunduliwa moja
Ndege, kuku ni dinasour uje [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Ujue kuku na mamba wanafanana kuliko mamba na kenge [emoji1787][emoji1787][emoji1787]kenge anafanana zaidi na nyoka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila ukifuatilia dini watakuambia kula kuku ila usile mamba
 
Kumbe gharika sio maji Tena?
Halafu Nuhu si aliingiza viumbe wote kwenye safina?
Madudu hayo kipindi yapo mamalia waliokuwepo duniani walikua size ya panya au paka hata tembo au nyangumi hakuwepo duniani.

Actually mammals wamekuja shikilia dunia miaka mil 65 iliyopita


Je unajua majani ya savanna yalianza kuota lini?

Au maua yalianza kutokea lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ