Hii kitu hii inaweza ikawa kweli!Watu wapo kwenye cults...achana kabisa na kuuza soul
Maisha ni biashara. Ni kuuza na kununua.Yani mdada kama poshqueen ni mtu wa ku fall in love na mwanaume, hahaaaaa tena mwanaume mwenyewe harmonize.๐
Baadhi ya wanawake (wengi wenu) mmetisha, mkiona mwanaume ana hela, mnajua kuigiza mmempenda kuliko waigiza filamu wa Hollywood, nje mnaonesha mnampenda kumbe moyoni mko tofauti, mnawaza maokoto.
Nimpe kongole harmonize kwa kula ule mzigo wa poshqueen, ila naamini hata harmonize mwenyewe kimoyo moyo anajua na kuwaza hapa kiuhalisia sipendwi, naigiziwa tu, ni hela zimemleta huyu mdada
cocastic huenda akawa na la kuongezea
Raha uiweke dog arafu ilie paah paahSema na kupiga miti shehena kama lile ina raha yake
Mda wa kukojoa ukienda spidi Kali utapoteza kendeRaha uiweke dog arafu ilie paah paah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mambo yao tuachie wenyewe
Mbona smart anampost mahondaw
Ila yote ni ubatili na wote wataachana tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mapenzi yalikuwepo enzi za mwalimu, sasa ni wiziwizi mtu mtupu. Enzi za mwalimu mtu na mkewe wanapigana busu shavuni wakiwa chumbani huku wamezima taa. Hizo ndio enzi za mwalimu.
Siku hizi wanapigana mabusu kuanzia kitovuni kwenda chini, sio kila unayemwona na toothpick mdomoni anatoka kula nyama choma, wengine wanaondoa vipande vya mavuzi kwenye meno.
Ni wiziwizi mtupu