Dunia ina unafiki sana, Poshqueen anampost Harmonize karibia kila mara, kama vile anampenda kweli

Mapenzi yalikuwepo enzi za mwalimu, sasa ni wiziwizi mtu mtupu. Enzi za mwalimu mtu na mkewe wanapigana busu shavuni wakiwa chumbani huku wamezima taa. Hizo ndio enzi za mwalimu.
Siku hizi wanapigana mabusu kuanzia kitovuni kwenda chini, sio kila unayemwona na toothpick mdomoni anatoka kula nyama choma, wengine wanaondoa vipande vya mavuzi kwenye meno.
Ni wiziwizi mtupu
Nimecheka kwa sauti kubwa sana usiku huu mpaka wapangaj wamenishangaa
 
Harmonize ninachomkubali ni kitu kimoja tu, Hana unafiki katika mapenzi yake na mizigo.... Yaani huyu ndo sheikh kipoozeo original, akitoa neema za allah anaweka neema za allah... Hana ujinga

Neema za Allah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Awe makini hasije akaanza kuwalaumu mameneja wake baadae akifulia,akawa mtu wa lawama wakati hela wanazitumbua maslay queen. Konde anatakiwa aende nao kihuni kama anavo fanya kiba/Hemed/Mondi,wanapiga then baada ya hapo kila kimpango wake.
 
Ila alikiba ni muhuni sana kuzidi wote naona, halafu ni Mr.I don't care akishapita kapita hajali dunia huko nje inaongea nini
 
Mapenzi yalikuwepo enzi za mwalimu, sasa ni wiziwizi mtu mtupu. Enzi za mwalimu mtu na mkewe wanapigana busu shavuni wakiwa chumbani huku wamezima taa. Hizo ndio enzi za mwalimu.
Siku hizi wanapigana mabusu kuanzia kitovuni kwenda chini, sio kila unayemwona na toothpick mdomoni anatoka kula nyama choma, wengine wanaondoa vipande vya mavuzi kwenye meno.
Ni wiziwizi mtupu
Najaribu kuimagine unavyotoa vipande vya vuzi kwenye meno 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Nakiri kwamba wewe ni Pagan
 
Mapenzi yalikuwepo enzi za mwalimu, sasa ni wiziwizi mtu mtupu. Enzi za mwalimu mtu na mkewe wanapigana busu shavuni wakiwa chumbani huku wamezima taa. Hizo ndio enzi za mwalimu.
Siku hizi wanapigana mabusu kuanzia kitovuni kwenda chini, sio kila unayemwona na toothpick mdomoni anatoka kula nyama choma, wengine wanaondoa vipande vya mavuzi kwenye meno.
Ni wiziwizi mtupu
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom