Dunia ina unafiki sana, Poshqueen anampost Harmonize karibia kila mara, kama vile anampenda kweli

Hilo nalo linakuumiza? Sasa kama wewe ndo una mpenda kweli si nawe uanze kumpost? Wanawake mnaoneana wivu wa kijinga sana.
 
Harmonize ninachomkubali ni kitu kimoja tu, Hana unafiki katika mapenzi yake na mizigo.... Yaani huyu ndo sheikh kipoozeo original, akitoa neema za allah anaweka neema za allah... Hana ujinga
Mmh
Sara nae alikuwa hivyo,yule x-wife
Kajala??!
 
Watoto. Wamejiharibu wenyewe usiwasingizie wazazi.
Unawajua sn?
Unamfaham Jaq before hajawa posh queen?
Mkuu hebu acha nipigie kimya tu....
Mdogo Ake ndo hakuwa mambo mengi,sijui Kwa ss km kabadirika.

Ila Jaq🙌......
Namfaham kabla hajaanza kujiongeza shep makalio hayo, na alikuwa mrembo...ni vile cm yangu iliibiwa those days tumepiga picha wote(tulikutana somewhere )akiwa kamaliza form 6 ndo anaenda IFM🙌......😷
baba wa watu ,sijui anaendeleaje sshv!
ila yule mama wa kinyarwanda kachangia sn huyu Binti kuharibika
 
Kiukweli siwajui, ila nnachofaham watoto wakike mkiharibu mnakimbilia huruma ya mama
mama anawatunzia siri baba anakuja kujua baadae sana, kwa hiyo unaweza kuwa sahihi.
wakina mama muda mwingine wanafuga uozo wa watoto wao nakubaliana na hilo,
hata siku moja mtoto wa kike hawezi mwambia baba amelokota mimba huko ila ni mama ataambiwa na watashirikiana kumficha baba ili kisinuke 😂
Kwa hiyo upo sahihi ila chanzo cha yote kinaanzia kwa mtoto mama anashiriki au kushirikishwa tu kama accessory ya kutimiza yasiyofaa katika malezi ya mtoto husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…